Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kabla ya Uhuru nchi zao zote zolikua chini ya Jumuia ya Madola, na shughuli nyingi / kiuchumi ziliingiliana. Baada ya Uhuru wazee hawa waloamia kuendeleza uhusiano ule chini ya shirika jipya la East African Community.