Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mkijiji sijakupata hapo wamaanisha nini mkuu?
NChi zinapoamua kuungana kama USA, zile nchi hugeuka na kuwa States, au mikoa ya nchi, sasa mnaosema kuwa Zanzibar sio State, au mkoa mna maana muungano wetu una tofauti na ya wenzetu?
Stop kidding yourself, Zanzibar ni state ndani ya Tanzania yaani mkoa, au? Maana maneno ya Seleli yako very clear kama yangu hebu someni kule tena wakuu!
Wazenj acheni pumba
Kila kiumbe kinafahamu fika m-mewamiss waume zenu waarabu.Yakiwashinda hatuwapi John Okello mwingine.
JK vunja muungano,uwape nafasi.
Ala. Na ukianzisha Tanganyika yako kuwa tayari kuanzisha na nchi za Ziwa Victoria Republic. Nyanda za Juu Republic, Unyanyem,be Republic, bilam ya kusahau Machinga Republic. Sawa.
Seleli ana mawazo mgando ya kuimeza Zanzibar ndani ya Muungano. Waasisi walikemea sana mawazo kama hayo. Kupiga mbiu kuimeza Zanzibar ndani ya Muungano ni kitendo cha uhaini kama vile ulivyo uasi wa kutaka kujitenga. Mheshimiwa Seleli upo?
sometime nakuwa siwaelewi ndugu zangu watanganyika, mara mnapiga kelele wapemba ndio wachapa kazi huko bongo na waliomiliki maduka makubwa2, na huyu sasa anasema wazanzibari ni wavivu. tushike lipi tuache lipi?Safi sana muungano ukifa. Jinsi mlivyo wavivu lazima mtakufa njaa tu!
.NChi zinapoamua kuungana kama USA, zile nchi hugeuka na kuwa States, au mikoa ya nchi, sasa mnaosema kuwa Zanzibar sio State, au mkoa mna maana muungano wetu una tofauti na ya wenzetu?
Msijifanye politically sensitive, wakati neno lenu ni lile lile tu kuwa Zanzibar ni State au mkoa wa Tanzania, hilo halina ubishi, hayo maneno yenu ya politically kujaribu kuwa sensitive ndio yametufikisha hapa tulipo sasa hatuelewani wakati ukweli upo wazi na very clear,
Semeni ukweli kwamba Zainzibar ni state au mkoa wa Tanzania, kama kubadilisha waanze sasa ili tujua kwenye huu muungano bado nchi zilizomo zinaendelea kuwa nchi, what a muungano!
Stop kidding yourself, Zanzibar ni state ndani ya Tanzania yaani mkoa, au? Maana maneno ya Seleli yako very clear kama yangu hebu someni kule tena wakuu!
mimi sijaenda shule , lakini je wewe mwenzangu angalau umekwenda shule walau madarasa matano? mlipoungana na zanzibar mliungana na idadi ya watu au mliungana na nchi ya zanzibar?Mzee nipe sababu kubwa tatu kwanini Unguja na pemba sio mikoa, sio za kikatiba nataka.
Angalia idadi ya watu
Uchumi
Eneo
Asante
Kwani malumbano hapa yapo wapi? Nakubaliana nawe kuwa Tanzania ina states mbili. State of Zanzibar na State of Tanganyika. State of Tanganyika ina vijisehemu vyake huko kama Mwanza, Iringa, Rukwa etc. na state ya Zanzibar ina visehemu vyake kama Mkoa Mjini /Magharibi, na Kaskazini Pemba etc. Sikubaliani nawe hata siku-moja kuwa Zanzibar state ni sawa na kijisehemu kinachoitwa Mwanza. Abadan.
siasa za propaganda again!Muda mfupi Seleli kamaliza yote,
Kwa ufupi amesema kuwa Zanzibar tukivunja muungano nao watajiingiza kwenye VITA na kuuwana wenyewe kwa wenyewe.
Au tuvunje serikali ya Zanzibar ibakie serikali moja tu!
Mi nakubaliana na hili la pili, TUWE NA SERIKALI YA MUUNGANO TU
siasa za propaganda again!
ikisemwa waziri mkuu wa muungano ina maana waziri mkuu wa tanganyika , ni lugha ya kisiasa tu wala isikushtue. sie wazanzibari tunakuwa tunazugwa kwa kuambiwa tuna waziri kiongozi wetu, lakini mamlaka yake yanaishia chumbe hata bahari hayavuki.We Ami waziri mkuu wa Tanganyika ndo nani tena? Nchi gani hiyo inaitwa Tanganyika? Au ulikuwa na maana ya mkoa wa Tanga?. Na hakuna aliyesema Pinda ni waziri mkuu wa Zanzibar.
Duh kaazi kweli kweli ami
Sijakuelewa ami
Muungano huu una matatizo yake na mazuri yake. Sasa ifike mahala viongozi wakubali marekebisho yanayolalamikiwa kama yapo. Kwani katiba ni biblia au qurani isirekebishwe? Mbona kuna mambo mengi tu yalishatokea yaliyohitaji marekebisho yaliwezekana? Hili la muungano lina ugumu gani? Hebu ifikie mahali watanzania tuwe wawazi, wakweli na tuache siasa za kubishana, kutishana kwa mambo ambayn yanawezekana kutatuliwa.
Nasikia mzee wa kizenji anakwenda na nazi zake 10 anauza 3 ukitaka kununua zoote anasema yakhe, za kesho hizi.......Besides Zenji naona tuwape nchi yao bana kwani Bara wanafaidkika nini zaidi ya kuumia tu......Na wewe Under_age Aliyesema maduka ni ujasiri au uhodari ni nani? maduka yanayofungwa saa saba mpaka saa tisa mchana? wanaenda kulala kama sio uvivu ni nini?
mbona hueleweki kijana. sasa wazanzibari ni wachapa kazi au ni wavivu?Sorry nilisahau.
Hata Wazanzibar pia wana utajiri mkubwa tu huku bara na wengine ukitaka kuwajua vizuri wamejilipua wengi tu Uingereza!
ikisemwa waziri mkuu wa muungano ina maana waziri mkuu wa tanganyika , ni lugha ya kisiasa tu wala isikushtue. sie wazanzibari tunakuwa tunazugwa kwa kuambiwa tuna waziri kiongozi wetu, lakini mamlaka yake yanaishia chumbe hata bahari hayavuki.
ah ha ah ha , kijana unafurahisha sana . bara hamna serikali? hebu leo inamisha kichwa chako dakika kumi kisha fikiri na kisha njoo tena na urudie haya maneno kwamba bara hamna serikali.Mshkaji ni reality. Zenji mmezidi kulalamika sana. Mbona sisi bara hatuna serikali lakini hatulalamiki?