Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
FIELD MARSHAL, Mbona unatudanganya. Akiwa Makamo hayupo madaraka huenda kwa Aidha Spika Wa Bunge au Jaji Mkuu na sio Waziri Mkuu.

Ilikuwa hivyo zamani. Sasa hivi ni Rais, Makamu wake na kama wote wawili hawapo anakaimu WM. Hii ilitokana na ile dhana ya kutenganisha ile MIHIMILI mikuu mitatu ya DOLA ingawa bado SERIKALI kwa sehemu kubwa inaundwa na WABUNGE.
 
Mkuu kwenye hili hoja zote zimeshasemwa wazi kuwa Zanzibar ni mkoa ndani ya muungano, sasa unapoteza muda wako tu maana mimi sio rais wa jamhuri, wala kiongozi wa serikali na sioni hoja yoyote toka kwako ya muhimu sana kuijadili,

Labda nirudie tu kuwa Zanzibar ni mkoa wa jamhuri ya muungano na rais wenu ni sawa na RC, sasa usichoelewa ni kipi hapa unataka nirudie rudie? Mimi huko ?Zanzibar nikatafute nini? Wala sijawahi kufika huko na sina mpango hata hivi karibuni wa kufika huko nikafanye nini hjasa cha maaana huko?

Kila mara tujaribu kurejea KATIBA yetu inasemaje katika masuala kama haya badala ya kutumia HISIA na HOJA ZA NGUVU.
 
Yupo wapi Mwiba naona kaingia mitini au yupo busy na box UK!
Nipo naangalia matokea na mashindano ya Olympic ,nimekuwa na tamaa na wanaolympic wetu ,basi huwa navizia pengine tukaibuka na chochote nasikia wengine wameonekana kwenye maduka wakifanya biashala na kuulizia wapi wanaweza kupata container.
 
Maandamano makubwa ya aina yake yanataarishwa ambayo yatashirikisha ngalawa na majahazi pamoja na waenda kwa miguu ambayo yanatayarishwa na WaZanzibari ,wanasema itakuwa kama sherehe ambayo ni ya kupata uhuru na tarehe itakayofanyika itawekwa kwenye kumbukumbu na kusherehekewa kila baada ya miaka mitatu.
Sababu haswa ni kutoridhishwa na wabunge waliopoteza dira wa CCM Bara ambao kwao imekuwa vigumu kukubalika na sasa wamejificha katika shimo la Zanzibar ni nchi au Ncha.
Wakizidi kuelezea wananchi waliooneka vikundi vikundi kujadili shinikizo la machogo hao ,wamesema sasa hawa watu baada kusuka imewabidi wanyoe kwa kumaniisha wametoa dukuduku lao ambalo sio limewapunguza nguvu WaZanzibar bali limewazidisha nguvu na kuona sasa mambo yanaelekea mwisho na hivyo mshikamano ndio utakaowalaza mafisadi.
Na wamezidi kutonya kuwa kama Mafisadi walifikiri WaZanzibari wamelala basi itakuwa wamekosea na wamezidi kupoteza dira katika uongozi wao.
Niliongea na mkazi wa Kaskazini kwenye ngome ya Kamandoo Salmini Amour aitwae Mjaka Bakari ambae amesema CCM imeshindwa kuendelea kuzitawala Nchi hizi kwa akili sasa wanataka kutumia manguvu si hapa Zanzibar bali hata huko Tanganyika ,akizidi kudai alisema hapo zamani haya matatizo yakizimishwa kwa maneno matamu lakini leo kila mbunge wa CCM amekuwa mkubwa kuliko Raisi ,hili ni tatizo ndani ya Chama chao na inafaa hata WaTanganyika walione hili kuwa tuendako ni matatizo matupu kama wataiweka tena madarakani basi kuna hatari kukazuka maraisi wadogo wadogo.
 
Nipo naangalia matokea na mashindano ya Olympic ,nimekuwa na tamaa na wanaolympic wetu ,basi huwa navizia pengine tukaibuka na chochote nasikia wengine wameonekana kwenye maduka wakifanya biashala na kuulizia wapi wanaweza kupata container.

Kwani kuna mzanzibari huko kwenye olympiki? Naona watanzania tu wanaoshindana!
 
D
JF KWELI HUTOZWI KODI KWA KUTOFIKIRI au kufikiri!!

..nilikuwa nafikiria mbali kuliko wewe unayelipa kodi.

..umemsikia JK alivyoitaja tanganyika mara kadhaa leo?

..haki imetendeka kwa kutambua uwepo wa tanganyika!

..haki nyingine ni kwa wazenj kuachwa wajitoe kwenye muungano kama wanataka!
 
JK ameitaja Tanganyika kiusaniii ndugu yangu. hakuna Tanganyika ndugu yangu!

JK anaelewa kuna Tanzania na Zanzibar au Tanzania visiwani!

Amka kaka
 
Zanzibar sasa itaanza kutanua ndani ya Muungano madai yao yote itabidi yasikilizwe kama Nchi na sio kama Ntwala au Chinyanga.
Maamuzi yao itabidi yasikilizwe na watakachoona hakina faida na nchi yao Ndani ya Tanzania wanayo haki ya kukipeleka Baraza la wawakilishi kwenda kupata baraka kwa manufaa ya Nchi yao.

Kama ni mafuta Mheshimiwa Kikwete kila mtu akachimbe ya kwake faida ale na mafisadi wake mfano hai ni madini.
 
Jana wakati rais wenu anaongelea swala la muungano,ingawa na yeye alikuwa akijichanganya ila nilihisi nini tatizo ingawa sina uhakika kama niko sahihi,mtasema.
Kuna hofu kubwa ya wazanzibar kuipoteza nchi yao katika muungano na hili ndo tatizo.Nina wasiwasi kuna uwezekano hata Karume original alipatwa na hofu hii kipindi anatakiwa kuiunganisha zanzibar na tanganyika.Inawezekana hofu hii inasababishwa na udogo wa nchi yao ukilinganisha na ukubwa wa tanganyika wakihisi kuwa wazanzibar watakuwa hawana chao kama nchi yao itamezwa ndani ya muungano.Inawezekana hii ikawa ndo sababu ya zanzibar kuachiwa serikali yao huku tanganyika ikimezwa ndani ya muungano,hapa ndipo zikazaliwa serikali mbili na hapa ndipo palipo na tatizo.
Sasa wakati wazanzibar wana chao,watanganyika hawana cha kwao,hii ikasababisha watanganyika waifanye serikali ya muungano kuwa yakwao.Si hivyo tu bali hata wazanzibar nao wakahisi serikali ya muungano haiwahusu sana kwa kujua wanayo ya kwao.Tabu inakuja pale kiongozi wa serikali ya muungano anaposimama na kuongelea suala la muungano,kama alivyosema kikwete jana"TUNAZUNGUMZA NAO"unashindwa kuulewa wao wakina nani? wao watanganyika? wao serikali ya muungano?Hapa ni vigumu kusema wao serikali ya muungano wanaongea na wazanzibar kuhusu muungano,bali hapa alikuwa anamaanisha wao watanganyika wanaongea na wazanzibar juu ya mstakabali wa muunagano. Kwa kuwa watanganyika walikosa jinsi ya kusema sisi pindi wazanzibar wanaposema sisi,ndipo walipoamua kuiteka serikali ya muungano ikawa yao watanganyika na hapa ndipo wazanzibar wanapokosa imani na muungano kwamba unawanyonya ingawa wanashindwa kukumbuka kwamba bara hawana serikali kama wao.Hivyo moja ya suluhisho la muungano ni kuhakikisha kuwa pande zote mbili zinapewa uwezo wa kutumia neno sisi au pande zote zinyimwe uwezo huo,na wala msije kusema hakuna haja eti kwa sababu bara wenyewe hawalalamiki kwa kuwaondolea msamiati wa sisi katika muungano wao na wazanzibar.Ni kweli hawalalamiki ingawa wanautumia msamiati huo huo tena kwa vitendo.na ukijaribu kuangalia kwa makini wanao lalamika sana kuhusu muungano ni wazanzibar hata Selelii halilisema hilo kwa sababu wanahisi hawatendewi haki katika muungano.
Sasa kwanza kuna haja ya muungano kuangaliwa upya,ingawa kuna wale kama akina seif khatibu wanojifanya kutokuona haja ya suala hili.Pili hakuna jinsi suluhisho ni moja kati ya mawili haya,kuwa na serikali tatu au serikali moja,HILO LA TATU SI ZURI KWETU SOTE.
 
nimeipenda sana hiii ..upembuzi yakinifu na uliojaa hekma iliyojificha sana..
lazima kuwe na sisi na wao hilo halihepukiki kuwa na sisi tu peke yake kwa mazingira haya itatuletea taabu kubwa..wanastahili kuwa na utambulisho kama taifa "wao-wanzibari" na sisi tunastahili utambulisho wetu kama "sisi-watanganyika"...
tukitaka kuwaondolea "wao" yao na kujidai eti hatuioni kuna siku watasema inatosha...tuwaachie "wao" yao na sisi tuwe na "sisi" yetu then tuuwe na shirikisho moja kama iliyo kwa africa mashariki....iendeshwe kura ya maoni wananchi tuamue katika ili...
lazima sasa tukubali kuwa wao ni wao na sisi ni sisi..
 
hawajawa wao hata siku moja .. ni kujikaza tu .. kila kitu wanategemea huku .. maybe for preparation to be wao .. waanze kutunga sheria zao, pesa zao, mipaka yao , na jeshi lao

Ila ningependa tuwe kitukimoja ....maendeleo yapelekwe kule pia i.e zanzibar na pemba kwani kwa kweli maisha kule ni magumu kwa mwananchi wa kawaida ... ukiangalia kwa makini wana haki ya kulalamika ... kwani wanatengwa kusema ule ukweli ... huyo JK angeukata mzizi wa fitna hii kabisa .. ila sijui kasema nini maana hata kufuatilia aliyoyasema bungeni naona taabu wallahi nahisi kama nitajitwika mzigo wa mawe
 
Kama ni nguo ni ile inayotiwa viraka sasa, imekwisha chakaa.

Wapeni wazenji ka nchi kao, kwanza wao hawana mafisadi kwahio wataendelea haraka.
Kwahio tutawaiga wao kwamba pamoja kwamba hawana tanzanite dhahabu na vipato vingine muhimu lakini wanaendelea.
Hapo ndio sisi wabara tutaamka usingizini? na ile kasi mpya ari mpya itafanyiwa kivitendo.
 
Jana wakati rais wenu anaongelea swala la muungano,ingawa na yeye alikuwa akijichanganya ila nilihisi nini tatizo ingawa sina uhakika kama niko sahihi,mtasema.
Kuna hofu kubwa ya wazanzibar kuipoteza nchi yao katika muungano na hili ndo tatizo.Nina wasiwasi kuna uwezekano hata Karume original alipatwa na hofu hii kipindi anatakiwa kuiunganisha zanzibar na tanganyika.Inawezekana hofu hii inasababishwa na udogo wa nchi yao ukilinganisha na ukubwa wa tanganyika wakihisi kuwa wazanzibar watakuwa hawana chao kama nchi yao itamezwa ndani ya muungano.Inawezekana hii ikawa ndo sababu ya zanzibar kuachiwa serikali yao huku tanganyika ikimezwa ndani ya muungano,hapa ndipo zikazaliwa serikali mbili na hapa ndipo palipo na tatizo.
Sasa wakati wazanzibar wana chao,watanganyika hawana cha kwao,hii ikasababisha watanganyika waifanye serikali ya muungano kuwa yakwao.Si hivyo tu bali hata wazanzibar nao wakahisi serikali ya muungano haiwahusu sana kwa kujua wanayo ya kwao.Tabu inakuja pale kiongozi wa serikali ya muungano anaposimama na kuongelea suala la muungano,kama alivyosema kikwete jana"TUNAZUNGUMZA NAO"unashindwa kuulewa wao wakina nani? wao watanganyika? wao serikali ya muungano?Hapa ni vigumu kusema wao serikali ya muungano wanaongea na wazanzibar kuhusu muungano,bali hapa alikuwa anamaanisha wao watanganyika wanaongea na wazanzibar juu ya mstakabali wa muunagano. Kwa kuwa watanganyika walikosa jinsi ya kusema sisi pindi wazanzibar wanaposema sisi,ndipo walipoamua kuiteka serikali ya muungano ikawa yao watanganyika na hapa ndipo wazanzibar wanapokosa imani na muungano kwamba unawanyonya ingawa wanashindwa kukumbuka kwamba bara hawana serikali kama wao.Hivyo moja ya suluhisho la muungano ni kuhakikisha kuwa pande zote mbili zinapewa uwezo wa kutumia neno sisi au pande zote zinyimwe uwezo huo,na wala msije kusema hakuna haja eti kwa sababu bara wenyewe hawalalamiki kwa kuwaondolea msamiati wa sisi katika muungano wao na wazanzibar.Ni kweli hawalalamiki ingawa wanautumia msamiati huo huo tena kwa vitendo.na ukijaribu kuangalia kwa makini wanao lalamika sana kuhusu muungano ni wazanzibar hata Selelii halilisema hilo kwa sababu wanahisi hawatendewi haki katika muungano.
Sasa kwanza kuna haja ya muungano kuangaliwa upya,ingawa kuna wale kama akina seif khatibu wanojifanya kutokuona haja ya suala hili.Pili hakuna jinsi suluhisho ni moja kati ya mawili haya,kuwa na serikali tatu au serikali moja,HILO LA TATU SI ZURI KWETU SOTE.

baba, umeongea maneno matamu kuliko rais wa dunia. haya ulioongea wewe hapo juu ilipaswa iwe moja ya hotuba za bungeni. post yako imenielimisha sana father. many tnx
 
Baba na asifiwe. Unaenda sambamba na jina lako nimwelewa na mwenye busara na nakubaliana na karibu yote uliyotuusia ila kama mtoto mtiifu naomba nikujuvye kwanini Watanganyika hawalalamiki.

Jina la nchi linaweza likawa na maana sana lakini linapobadilishwa watu hulikubali mradi kitu kikubwa ni UHURU WA KUJIAMULIA KAMA NCHI.
Kwenye Muungano wetu Jina la Zanzibar limebaki lakini hawana uhuru wa kujiamulia mambo yao. Wameachiwa kujitegemea lakini hawana uhuru wa kutafuta mbinu za kujitegemea huko. Kwa upande mwengine Tanganyika wamepoteza jina lakini hakuna walichopoteza kwenye mihimili ya kujitawala. Rais wa Muungano ni wao na hata hapo alipotoka Zanzibar alikuwa na kazi ya kuijenga Tanganyika, Bunge ni lao na Waziri Mkuu anatoka kwao na kubwa Bunge hilo halizungumzii masuala ya Makunduchi au Chake Chake bali huzungumzia mambo ya Arusha , Mwanza, Tabora , namikoa mengine ya Bara. Makamo wa Rais pia ambaye kwa mara nyingi anatoka Zanzibar ziara zake ni huko huko Tanganyika, Nafasi zinazoitwa za Muungano nyingi zinahodhiwa na Watanganyika.
Sasa mzee wangu hapa ipo haja ya Watanganyika kulalamika na wakilalamika watalalamikia nini? Watawalalamikia "Wao" kama ulivyosema?
Mfano halisi wewe umeuona kwenye hotuba ya Rais anapowaita Wazanzibari Wao. Kwa masaa matatu mambo aliyozungumza Rais ni ya Tanganyika ukiondowa nafasi ya wao kwenye Muungano,mazungumzo yakero na mwafaka ambao sisi tunajaribu kuwaunganisha wao. Baba mimi sioni sababu ya Tanganyika kulalamika. Tuseme malipo ya Wabunge wanaokuja kushuhudia, malipo ya majeshi yanayolinda mipaka ya Kigoma na Mbeya, Malipo ya ruzuku ya vyama vilivyolazimishwa kuwepo sehemu mbili na mikopo ya wanafunzi wanaoshindwa kusoma zanzibar kutokana na vikwazo vya kutotambuliwa vyuo vya SMZ, viwe sababu ya kulalamka kwa Watanganyika?
 
hawajawa wao hata siku moja .. ni kujikaza tu .. kila kitu wanategemea huku .. maybe for preparation to be wao .. waanze kutunga sheria zao, pesa zao, mipaka yao , na jeshi lao

Ila ningependa tuwe kitukimoja ....maendeleo yapelekwe kule pia i.e zanzibar na pemba kwani kwa kweli maisha kule ni magumu kwa mwananchi wa kawaida ... ukiangalia kwa makini wana haki ya kulalamika ... kwani wanatengwa kusema ule ukweli ... huyo JK angeukata mzizi wa fitna hii kabisa .. ila sijui kasema nini maana hata kufuatilia aliyoyasema bungeni naona taabu wallahi nahisi kama nitajitwika mzigo wa mawe

Nakubalina nawe dada angu kuwa wao wanajikaza tu lakini wanawategemea nyinyi kwa kila kitu. Pengine ingekuwa vizuri ukaeleza kiasi na kwa namna gani wanawategemea nyinyi.
Tulielezwa hapo nyuma na SMZ kuwa serikali ya Muungano au Tanganyika haisaidii chochote kwenye bajeti ya Zanzibar. Mengine kama umeme,maharage,mbatata ni biashara hamtowi msaada kwa Wazanzibri. Mlishindwa hata kuwakumbuka kwa misaada ya chakula wakati wa EL NINO na pale mwaka 2006 mliposaidia mikoa iliyopata janga la njaa hamkuuliza Wazanzibari waliponea nini. Nafikiri suala hapa si utegemezi bali ni ubanaji wa kuwafanya Wazanzibari wasipate maendeleo.
 
Hivi nyie watu humu haya niliyoandika ni upuuzi ama nini? Watanzania tumezoea mpaka kitu kitendeke ndiyo tuanze kulalamika. Haya mambo yataingizwa kwenye katiba ya muungano. Hivi ni kweli watu humu ndani mnayaunga mkono au hamna la kusema. Najua Mkandara unayaunga mkono how about the rest?

kwanini wananchi nao wasiwe na nguvu kwa kuongea na wabunge wao kwani ndio watakaopitisha huu muswada
kwa maoni yao kuliko kama unavyosema kuwa watasubiiri na baadaye ndio maneno chungu nzima
 
Back
Top Bottom