Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
wapumbavu hawa wanapenda kuambiwa uwongo ndiyo wafurahi. Mtaalamu kasema uwezekano wa kuwepo mafuta ni mdogo lakini hamkubali sasa mlimwita mtaalamu wa nini kama majibu ya maswali yenu mlikuwa nayo?
Hii imekaa kifisadi zaidi...Huyu Bwana Reading angewaambia kuwa Zanzibar mafuta ni mengi sana kuliko nchi yoyote duniani, halafu awaombe wampe contract ya kutathmini gharama za uchimbaji wake. najua kuwa hiyo contact ingepita bila kupingwa na kwa gharama yoyote ile. Sasa baada ya kuwala hela, ndipo angekuja awaambie kuwa mafuta ya Zanzibar yako chini ya mwamba mgumu kuliko yote duniani, na hivyo uchimbaji wake utachukua takribani miaka sabini usiku na mchana kabla ya kuyafikia. Full stop.
Kwa sababu wanakataa kuambiwa ukweli, kwa hiyo inaelekea wanataka wafanyiziwe ufisadi ndipo wakubali.Hii imekaa kifisadi zaidi...
Huyu Bwana Reading angewaambia kuwa Zanzibar mafuta ni mengi sana kuliko nchi yoyote duniani, halafu awaombe wampe contract ya kutathmini gharama za uchimbaji wake. najua kuwa hiyo contact ingepita bila kupingwa na kwa gharama yoyote ile. Sasa baada ya kuwala hela, ndipo angekuja awaambie kuwa mafuta ya Zanzibar yako chini ya mwamba mgumu kuliko yote duniani, na hivyo uchimbaji wake utachukua takribani miaka sabini usiku na mchana kabla ya kuyafikia. Full stop.
Kwa sababu wanakataa kuambiwa ukweli, kwa hiyo inaelekea wanataka wafanyiziwe ufisadi ndipo wakubali.
Nafikiri aliye mpumbavu ni wewe. La msingi ni kuwa kwa nini nyinyi wa Bara mshikilie hili la mafuta tu. Kama kweli ni watu mnaojali haki na usawa.-Na ujadiliwe Muungano sasa na kurekebisha mapungufu yote (tena mengi tu yaliyopo) Siyo kugawana mafuta tu. Tafadhali Bwana msiwafanye Wazanzibari ni mazuzu sikuzote. Hao waliotoa maoni ni Wawakilishi waliochaguliwa na Wazanzibari majimboni mwao. Hayo ni maoni ya Wazanzibari. Kama unayabeza, nafikiri ni wewe wa kubezwa na kuambiwa zuzu. Fahantum?wapumbavu hawa wanapenda kuambiwa uwongo ndiyo wafurahi. Mtaalamu kasema uwezekano wa kuwepo mafuta ni mdogo lakini hamkubali sasa mlimwita mtaalamu wa nini kama majibu ya maswali yenu mlikuwa nayo?
Nafikiri aliye mpumbavu ni wewe. La msingi ni kuwa kwa nini nyinyi wa Bara mshikilie hili la mafuta tu. Kama kweli ni watu mnaojali haki na usawa.-Na ujadiliwe Muungano sasa na kurekebisha mapungufu yote (tena mengi tu yaliyopo) Siyo kugawana mafuta tu. Tafadhali Bwana msiwafanye Wazanzibari ni mazuzu sikuzote. Hao waliotoa maoni ni Wawakilishi waliochaguliwa na Wazanzibari majimboni mwao. Hayo ni maoni ya Wazanzibari. Kama unayabeza, nafikiri ni wewe wa kubezwa na kuambiwa zuzu. Fahantum?