zanzibar ina almost every economic opportunities walizonazo wa-singapore tatizo kubwa fursa ya kuzitumia kwa mapana imewekewa "herizi" Dodoma, itawachukua kama miaka kumi kuwafikia wa - singapore,kama haya "mambo" ya kukwazana mnayoita muungano yatarekebishwa kwa maslahi.Junius,
Singapore???? Kwani sii Comoro au Madagaska??
LOL!
Kuwepo kwa Wapemba na wacomoro hakutazuia walio wengi kudai ikiwa wanaona Muungano haupo katika njia sahihi ,ikiwa Muungano unawakilisha nchi moja na nchi nyingine haijulikani ilipo ,inaonekana mnababaisha au ni wagumu wa kufahamu au hamtaki kufahamu,WaZanzibari wanahoji ipo wapi Tanganyika ,hilo tu,na huko iliko ijitokeze ili kuijenga Tanzania sasa hapo pana ugumu gani ?Junius,
Mkuu wangu huu ni mwaka wa 7 toka nimetoa suggestion ya referendum kwa viongozi wa CUF bara na visiwani..Nilimwandikia in personal, Sharrif Hamad (2003) kuhusiana na hili na hakunijibu pengine yawezekana hakupata ujumbe wangu..
Kwa nini viongozi wote wanacheza mchezo wa siasa mahala ambapo wazi waamuzi wa Muungano ni wananchi wenyewe?.. Kama kweli wananchi wa Zanzibar wanataka Muungano ufe, Referendum ndio mwamuzi na ikumbukwe tu kwamba Bara na Visiwani hapatakalika!..
Leo hii kuna Wapemba na Wakomoro kibao bara, Wabara wapo Visiwani wote wana enjoy uraia wao kwa sababu ya Muungano wa watu na sio nchi wala vyama..Muungano Ukivunjika tu kuweni tayari kwa yote yatokanayo na kuvunjika kwa Muungano huu, kwani Mapinduzi ya mwaka 1964 yalifanywa na wahuni wakuli wabeba mizigo bandarini walioweka rekord ya dunia ktk Mapinduzi ya haraka!.
JK yuko kwenye wakati mgumu kweli sasa hivi, mara mafisadi, mara ZNZ
kwanza tukubaliane si kweli kuwa wazanzibar wanataka muungano ufe, suala liliopo hapa ni muundo gani bora wa muungano,ambao utasimamia majukumu ya kila upande(yasiyokuwa ya muungano) kwa wazanzibar na hata watanganyika wanaona huu tulionao, si muundo bora wa muungano(serikali mbili)kwa kuwa hauweki wazi mambo hayo.Hivi kweli kama wananchi wataamua muundo wa muungano wanaoutaka wao ndo nchi hazitakalika? hata kama wataamua iwe basi mm si dhani hivyo, kwa kuwa huu utakuwa si muungano wa kwanza duniani kufa, Yugoslavia ipo vipande vipande sasa na kila nchi na lake, hakuna ugomvi, nimeskia hivi karibuni kuwa hata hiyo Montenegro iliyobaki imeshajitenga hakuna tatizo lolote. Hata muungano wa USSR ulikuwa na nchi nyingi na matatizo kama yetu hapa na walipoona kuwa hawawezani kila mmoja kenda na hamsini zake na hakuna ugomvi. Muungano wa Malay,walipelekana kama Tanganyika na zanzibar, kama hivi , walipoona hawawezani, kero hazishi kila mmoja akatafuta njia yake. Na nchi zote hizo watu walioana, wakazaana na kutengena kwao hakukuwasumbua kitu kila mtu akatafta lake linalo muhusu basi.Junius,
Mkuu wangu huu ni mwaka wa 7 toka nimetoa suggestion ya referendum kwa viongozi wa CUF bara na visiwani..Nilimwandikia in personal, Sharrif Hamad (2003) kuhusiana na hili na hakunijibu pengine yawezekana hakupata ujumbe wangu..
Kwa nini viongozi wote wanacheza mchezo wa siasa mahala ambapo wazi waamuzi wa Muungano ni wananchi wenyewe?.. Kama kweli wananchi wa Zanzibar wanataka Muungano ufe, Referendum ndio mwamuzi na ikumbukwe tu kwamba Bara na Visiwani hapatakalika!..
Leo hii kuna Wapemba na Wakomoro kibao bara, Wabara wapo Visiwani wote wana enjoy uraia wao kwa sababu ya Muungano wa watu na sio nchi wala vyama..Muungano Ukivunjika tu kuweni tayari kwa yote yatokanayo na kuvunjika kwa Muungano huu, kwani Mapinduzi ya mwaka 1964 yalifanywa na wahuni wakuli wabeba mizigo bandarini walioweka rekord ya dunia ktk Mapinduzi ya haraka!.
hapa nikubaliane nawewe kuwa , pana kesi ya washirika wawili "partners" na tatizo limejitokeza. Ili tutatuwe tatizo lazima patners wote wawepo. "status quo"Kuwepo kwa Wapemba na wacomoro hakutazuia walio wengi kudai ikiwa wanaona Muungano haupo katika njia sahihi ,ikiwa Muungano unawakilisha nchi moja na nchi nyingine haijulikani ilipo ,inaonekana mnababaisha au ni wagumu wa kufahamu au hamtaki kufahamu,WaZanzibari wanahoji ipo wapi Tanganyika ,hilo tu,na huko iliko ijitokeze ili kuijenga Tanzania sasa hapo pana ugumu gani ?
WE needs the lost Tanganyika and the existing Zanzibar to be on the same line on constructing Tanzania ,Zanzibar alone can do nothing at all to deal with Union matters ,let Tanganyika ijitokeze ili kupanga mikakati. Union set hatuikubali ,hivi kwanini Mawaziri wa Muungano hawaishughulikii Zanzibar na wanapoamua kuishughulikia inaonekana ni kuibana kiuchumi ?
huyooo tena, matatizo ya muungano yameanza tokea "day one" ya kuundwa kwa muungano wenyewe. Hili la mafuta limekuja kuengeza muwako wa kandili.mambo yaliharibika toke asubui bwana..haya ni mafuta tuu wanayoamini wanayo,waache waende wakajenge islamic republic yao!
Mchukia Fisadi, Bubu Ataka Kusema, n.k.,
Mimi sioni ni vipi kiongozi wa Tanzania Bara, fisadi and such, anaweza kunufaika binafsi na Muungano. Kwa mfano kivipi, hebu nipeni nadharia moja. Nionavyo mimi, kama wewe ni kiongozi wa Tanzania bara, ungetaka huu muungano ufe, sababu moja ikiwa ni kwamba Wazanzibari wanamaliza Oxygen ya uongozi huku kwetu.
Wazanzibari tumewapa ki affirmative action fulani hivi, wanatengewa nafasi za uongozi lukuki wakati wanatoka kwenye kiwilaya kimoja tu, I mean, Unguja, Pemba zote (1660 sq. km) zinamezwa na Masasi (8,940 sq. km). zaidi ya mara tano. Lakini tunawapa V.P. wa muungano, mawaziri kibao, yani ni bwena, na wabunge lukuki wakati wanawakilisha watu kiduchu. Can't believe it, I mean, there are more Mtwarans than Zanzibaris. Sasa ni kwa nini waachwe wamalize Oxygen ya uongozi huku kwetu bara?
Dawa mmetuandalia ili mtunyweshe sisi, lakini bahati mbaya mmeamua kuonja wenyewe kabla hamjatunywesha sasa mnapata maumivu ya bure. Tunywesheni basi hiyo ilobaki nasi tupate maumivu ili yatupe nguvu ya kudai Tanganyika.
ukweli uliopo, jamaa wa CUF, wamewawin CCM kwa hili, lakini agenda ya CUF siku zote ni ubaguzi tu japokuwa wanauficha, lengo na madhumuni makubwa ya wana CUF ni kuchukua Pemba na kisha kujirudisha kwa sultan wao wa Oman, kwani sidhani kabisa kwamba hawa jamaa wanajiona ni waswahili, na ni ukweli usiofichika kama hawa jamaa wakijitenga hata mwaka haufiki Pemba na Unguja nazo zitajitenga
Mbona mnazungumzia kuunda serikali ya tanganyika kama suluhisho la muungano....kama tatizo kila upande uwe na serikali yake basi kwanini tusiondoe serikali zote ijulikane kuwa wote tumekosa na ibaki hii ya Jamhuri ya Muungano maana naona tu wazanzibar wanatuamulia mambo yetu kama vile sie hatuna hisa kama hii UNION....nilichangia kwenye thread zilizopita na naendelea na msimamo wangu kuwa wanazenji acheni kutumika kisiasa kwani hakuna mantiki ya hoja mnazozitoa.
Kama ni usawa basi uanze kwa kuvunja serikali yenu afu ndo tuanze kuongelea haja ya serikali mbili. Mambo ya kumangamanga kisiasa hayatasaidia.