Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 71
Hakuna mafuta ZNZ, na hata kama yapo si sababu tosha kuvunja muungano nafikiri ndiyo sababu hasa ya kuungana??? who told you kwamba ZNZ kukiwa na mafuta Mainland hayatapatikana??? si ndo yatakuwa mengi zaidi nduguSula la kuwapo mafuta Zanzibar si ndoto tena hivi sasa ni ukweli kabisa, anayekataa na akataye.