Hakuna kibaraka mkubwa wa CCM kama huyo Salimu japo alipigwa na chini katika kuutaka uraisi lakini bado ni mwandamizi katika safu ya CCM hana jipya ,huyo katika mauaji yaliofanywa dhidi ya jamaa zake kule Pemba hakusema hata kwinn'yoo na mpaka hii leo hata hajagusia ,sasa awache kujikomba baada ya kuona kuwa kuna mambo yameanza kuingia sura abakie huko huko kwa wanyarugusu wenzake ,huyo hafai kabisa tena hana msaada wa aina yeyote yeye yupo tu kulinda maslahi binafsi na si ya waTz ,hivi muulizeni aliifanyia nini Tz alipokuwa kiongozi pale UN na hata AU ,hana hata moja muoneneni hivyo hivyo ,hutatua mambo kwa nguvu za wengine.Unajua kuna watu wana bahati au wanabahatika basi yeye ni mmoja wao.