Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Haya filimbi imeshapulizwa lets the game start.
Wale waliodharau maoni ya wenye hekima ndo wataona upumbavu wao sasa.
 
Kwani hamuitaki Tanganyika nyenu?
.
Kwanini mnakasirika kuitwa watanganyika?
.
WATANGANYIKA!!!
 
Hapa kuna ujinga na upumbavu ,hivi niwaulize wenye Tanganyika mmeshakufa ?Wale akina G+Kikwete group wapo wapi ? Au ndio wameshalipata sega na wamo kwenye kasi ya kurina asali ? Ikiwa kulikuwa na watu Mil 10 na sasa wapo Mil 40 hivi watakuwa wamekufa au wamefufuka ,kwa maana kunapozuka madai basi haya husababishwa na wajukuu na virembwe na ndipo tulipo ,kama hao wenye Tanganyika au walioanzisha Muungano walishakufa basi watoto wao wajukuu na virembwe wanadai urithi wao ,jamani tusizinguane kwa kulinda tonge.
Inataka WaTanganyika mfahamu Wabunge wa Zanzibar wanapokuja na hoja hizo mjue kuwa huko visiwani kunafukuta na watu weshachoka na kuburuzwa ,na kuburuzwa kwenyewe ni kuwa Muungano huu unawafaidisha wachache tu ,na wachache wenyewe sio mimi na wewe bali wale wanaokalia viti vya Uraisi na Uwaziri,kila anekalia viti hivyo basi hugema kwa muda wa miaka kumi au mitano halafu huyo hujikata ,huku wananchi walio wengi kati ya hao milioni arubaini wakipigana na makali ya maisha.

Unaweza kusema kuwa au kama wanavyosema Muungano unaathiri zaidi wenyeji wa Zanzibar na Pemba lakini ukweli ulio wazi hata WaTanganyika walio wengi wanaonja joto hili,hali za mashule mahospitali na mambo mengine yahusuyo public yamezorota kwa kuwa uongozi uliokuwepo hauna muwajibishaji anaeweza kukemea na kumpandisha mtu mahakamani ,hivyo umuhimu wa serikali tatu ni uwepo wa uwajibishaji na utekelezaji kwa vitendo na si ahadi hewa na mikakati ya baada ya miaka mia.
 
Haya filimbi imeshapulizwa lets the game start.
Wale waliodharau maoni ya wenye hekima ndo wataona upumbavu wao sasa.
Tunaomba ukumbushe jamvini. Ni maoni gani hayo unayoyaita wewe kuwa yana hekima- kuhusiana na mada hii ya Muungano na mustakbala wa Zanzibar na Wazanzibari wake.
 
By Samuel Kamndaya, Dodoma

The Government said it had addressed three hurdles bedevilling the Union, but heated debate on the current structure of the coalition ensued in parliament yesterday.

The opposition demanded the creation of the Government of Tanganyika as the only solution to the current problems affecting the Union.

Among the three problematic issues the Government said to have resolved is the regulation of the Human Rights and Good Governance Commission. This was revealed by Dr Batilda Burian, the State Minister in the Vice-President Office (Environment), while tabling the VPO's Budget Speech.

She named the second resolved hurdle as the regulations governing the Fishing Authorities Act. At present, it is only the Mainland that has the authority to deal with fishing activities on the Tanzanian side of the Indian Ocean.

The third issue is Zanzibar's membership to the International Maritime Organisation (IMO), the minister said requesting parliament to approve a Sh4.493 billion budget for the VPO's Union Affairs section and another Sh63.398billion for Environment.

She said the Isles now had its own Maritime Organisation that handles certain international issues under the close administration of the Union Government.

Debating the 2009/10 Budget estimates, the opposition spokesperson in parliament, Mr Riziki Omar Juma (Special seats - CUF) said the Articles of the Union, on which the Union was built, recognise the existence of the Government of Tanganyika.

"According to the agreements, the Government of Tanganyika, just like the Revolutionary Government of Zanzibar, is protected by Section 5 of the Articles of the Union between Tanganyika and Zanzibar," she said, as some legislators from the Isles applauded.

Part of the section reads: 'The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their existing territories.'

According to the MP, this means "the Constitution of Tanganyika could be the one in use in mainland Tanzania on issues that do not pertain to Zanzibar".

She added: "The Government of Tanganyika has to be there, complete with its leaders and its laws.'

In a 20-page presentation, Ms Omar Juma said all problems within the Union boiled down to "the mistakes in the Constitution of the United Republic of Tanzania".

"This is because, instead of translating the Articles of the Union, upon which the Union is built, the 1977 constitution opposed the Articles of the Union," she said.

"Therefore the decision to 'delete' the Government of Tanganyika by the Parliament of the United Republic of Tanzania on April 25 1964 was contravening the Articles of the Union unfortunately, the mistake is troubling us to date," she argued.

The MP also faulted the idea to have Union matters discussed by the Prime Ministers and the Zanzibar Chief Minister.


"It is a deliberate move to have issues of Zanzibar and Tanganyika discussed by a body that is not legally recognised to handle union matters," she said.

However, she said she was not questioning the credibility of Prime Minister Mizengo Pinda, but had queries on the PM institution's legal mandate to deal with Union matters.

Despite having existed for decades, the union between Tanzania and Zanzibar faces numerous challenges, with Zanzibaris questioning the status of the Isles on the international scene.

But responding, the State Minister in the VPO, Mr Mohamed Seif Khatib, said the Tanganyika Government was dissolved legally and there were no plans to revive it.

He said the Prime Minitser and the Zanzibar Chief Minister were dealing with Union issues to fulfill the responsibilities entrusted to them by the Vice President who was the overseer of Union affairs.

This debate comes only a few days after MPs from Zanzibar brought out another contentious issue with regards to whether Zanzibar is a sovereign state or not.

And Issues like why the Zanzibari President does not chair the Union cabinet meetings in the absence of the Union President and Vice President have also been spotlighted of late.

Some MPs from Zanzibar also wanted to know the position of Zanzibar in the on-going East African Community (EAC) negotiations. In addition, the lawmakers said the 4.5 per cent share of foreign aid that Zanzibar gets from the Union government was "too little".

In response, Dr Burian said eight of Zanzibars projects had been presented to the EAC secretariat for approval. She also said until May 2009, Zanzibar had received Sh23.5billion from the Union government out of all the money that Tanzania received in aid from donors.

"Tanzania also contributed Sh3.3 billion for to transfer electricity from Pangani in Tanga to Pemba," she said.


Source: The Citizen Newspaper
 
Khatibu.jpg

Minister of State in the Vice-President`s Office (Union Affairs) Mohamed Seif Khatibu


The two-government structure is here to stay, Minister of State in the Vice-President's Office (Union Affairs) Mohamed Seif Khatibu told the National Assembly on Monday.

Winding up debate on the budget estimates for the Vice-President's Office for next fiscal year, Khatibu criticised the Opposition's suggestion for a three-government form of union.

Riziki Omari Juma (Special Seats, CUF), airing the Opposition's stand, said they preferred a three-government structure for the sake of a stronger 45-year-old union between then Tanganyika and Zanzibar.

She advocated for the reinstatement of the Tanganyika government in a bid to negotiate union affairs with its counterpart in the union, i.e. Zanzibar.

“It is very strange that Zanzibaris are mourning the demise of the Tanganyika government while the true sons of Tanganyika are tight-lipped.

Why are you crying bitterly while the concerned people are silent?” Khatibu asked amid laughter from the floor.

“
There is neither the Tanganyika nor Zanzibar governments in existence; we have only the United Republic of Tanzania,” he added.

The Opposition camp in parliament had earlier called for formation of a three-tier government union structure for the smooth running of the political marriage.

The Opposition spokesperson, in her speech after the Vice-President's Office had tabled its 2009/10 budget estimates, faulted the union government for discouraging discussion on the political marriage between the two countries on the pretext that the Tanganyika government did not exist.

“If we may ask a simple question: Which countries constitute the union? The answer is Tanganyika and Zanzibar” she said, adding: “After all there is nowhere in the union articles to indicate that the Tanganyika government was dissolved.”

According to the signed accord, she explained, the Tanganyika government, just like the Zanzibar one, was protected by article number (V) which reads in part: “The existing laws of Tanganyika and Zanzibar shall remain in force in their existing territories”.

Without mincing words, Riziki said the Opposition believed that the biggest threat to the existence of the union was none other than contempt for the union articles.

She argued that the union prime minister was not qualified to negotiate with the Zanzibar government on union affairs on behalf of the disbanded Tanganyika government.

Riziki said it was not in the spirit of international agreements for a union organ (the PMO) to engage in a discussion of the future of a union with one of the parties to the union (Zanzibar Chief Minister's Office).

“In simple words, the PMO is not qualified to represent the second party to the union because it represents the United Republic of Tanzania which Zanzibar is part and parcel of,” she said.
 
Nadhani ukisoma hii habari Khatibu hakusema hakuna smz (I will stand to be corrected). Nakumbuka moja ya hotuba za JKN (RIP) aliwahi kusahihisha kuwa hakuna serikali ya mapinduzi Zanzibar (alikufa mwaka 1964), na kuongeza kuwa mkuu wa visiwani anaitwa "Rais wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi". Wakati huu wa vyama vingi ni muhimu kuelewa hili. Hivyo, basi Serikali ya Zanzibar ipo.
 
Nadhani ukisoma hii habari Khatibu hakusema hakuna smz (I will stand to be corrected). Nakumbuka moja ya hotuba za JKN (RIP) aliwahi kusahihisha kuwa hakuna serikali ya mapinduzi Zanzibar (alikufa mwaka 1964), na kuongeza kuwa mkuu wa visiwani anaitwa "Rais wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi". Wakati huu wa vyama vingi ni muhimu kuelewa hili. Hivyo, basi Serikali ya Zanzibar ipo.


There is neither the Tanganyika nor( Zanzibar governments) in existence; we have only the United Republic of Tanzania," he added.
 
Nafikiri hapa alimaanisha SMZ yenye mamlaka kamili kama ilivyokuwa kabla ya Muungano.
 
Babylon: Nimekuelewa, lakini kunatofauti kati ya Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ndiyo msingi wa hoja yangu.
 
Mohamed Seif Khatibu said:
"If we may ask a simple question: Which countries constitute the union? The answer is Tanganyika and Zanzibar" she said, adding: "After all there is nowhere in the union articles to indicate that the Tanganyika government was dissolved."

Hapa sijamuelewa vizuri, inamaana anataka Serikali TATU?? Naombeni ufafanuzi wana JF.
 
Babylon: Nimekuelewa, lakini kunatofauti kati ya Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ndiyo msingi wa hoja yangu.


sasa ningekuomba utowe ufafanuzi kati ya hizo mbili lakini basi kabla ya kufanya hivyo tupatie maana kamili ya neno serekali kwa ukamilifu,mwisho ningependa baada ya kutowa maana kamili ya neno serekali twambie ni mwaka gani kwa mara ya mwisho ZANZIBAR ili Act kama serekali kwa mujibu ya tafsiri au maana kamili ya neno serekali ?
 
Hapa sijamuelewa vizuri, inamaana anataka Serikali TATU?? Naombeni ufafanuzi wana JF.
Nyinyi watu hasa mna mazonge. Kwa nini mnakuwa vichwa ngumu kuelewa- nashangaa. Serikali ya Tanganyika haikufa . Ipo kama ilivyokuwa ipo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika Muungano wetu tumetumia busara ku-incorporate Serikali ya Tanganyika katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na kuiacha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ibakie pekee kuendesha mambo ya Zanzibar( yasiyo ya Muungano). Serikali (ndogo) hizi za Tanganyika (Incorporated) na Zanzibar (self operating) ni surbodinate kwa Serikali Kuu (supreme) ambayo ndiyo yenye kubeba mamlaka (sovereignity) ya Dola ya Tanzania. Hivi hapa ni kipi kigumu cha kueleweka?
 
Nyinyi watu hasa mna mazonge. Kwa nini mnakuwa vichwa ngumu kuelewa- nashangaa. Serikali ya Tanganyika haikufa . Ipo kama ilivyokuwa ipo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika Muungano wetu tumetumia busara ku-incorporate Serikali ya Tanganyika katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na kuiacha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ibakie pekee kuendesha mambo ya Zanzibar( yasiyo ya Muungano). Serikali (ndogo) hizi za Tanganyika (Incorporated) na Zanzibar (self operating) ni surbodinate kwa Serikali Kuu (supreme) ambayo ndiyo yenye kubeba mamlaka (sovereignity) ya Dola ya Tanzania. Hivi hapa ni kipi kigumu cha kueleweka?


Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi😉
 
SIKU moja baada ya Waziri Mohammad Seif Khatib kudai bungeni, Maalim Seif Sharif aliyesababisha kufukuzwa kwa rais wa awamu ya pili wa Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi, baadhi ya viongozi wa CUF wamesema waziri huyo, ameshindwa kujibu hoja iliyokuwa mbele yake.

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alimfukuza Mzee Jumbe kwa tuhuma kwamba alikuwa na ajenda za siri za hatima ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwamba aliandaa ajenda ya kudai serikali tatu badala ya mbili zilizopo hivi sasa.

Akizungumza Bungeni mjini Dodoma juzi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mohammed Seif Khatib alisema fitna za kishushu za Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) maalim Seif Sharif Hamad, zilisababisha Jumbe aondolewe madarakani.

Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana, viongozi wa CUF walisema Wazir Khatib alitoa tuhuma hizo baada ya kushindwa kujibu hoja ya msingi iliyokuwa mezani.

Naibu katibu Mkuu wa CUF Zanzibar, Juma Duni Haji alisema baada ya kujibu hoja husika, Waziri Khatibu aliamua kusambaza fitina ambazo zinaweza kujenga chuki na uhasama katika jamii.

“Hoja iliyokuwepo mezani ni kero za Muungano ambazo zinasababishwa na mkataba wa muungano. Aliambiwa aipeleke hoja hiyo mezani ili ijadiliwe, lakini alishindwa kujibu hoja hiyo na ndio maana akaamua kutoa porojo na maneno ya mfa maji,” alisema Duni.

Duni ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wa CUF alisema suala la kutimuliwa kwa Jumbe ni mfano mzuri wa kero za Muungano zinazolalamikiwa na Watanzania wengi.

“Ok, kama hivyo ndivyo, Jumbe alifukuzwa pekee, lakini maalim Seif alifukuzwa na wenzake saba, je alitiliwa fitna na nani,” alihoji Duni.

Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa wa CUF, Jussa Iismail Jussa, alisisitiza kuwa waziri Khatib alikwepa kujibu hoja ya msingi kuhusu kero za Muungano na kuamua kuingiza malumbano ya kisiasa katika hoja ya msingi ili kutimiza malengo yake.

“Waziri Khatib anataka kugombea urais Zanzibar na ndio mana anajipendekeza sana kwa viongozi wa CCM bara, kwa sababu Halmashauri Kuu ya CCM ndiyo inayochagua wagombea. Hivyo anawaheshimu na kuwatetea sana na kuwavunjia heshma wazanzibari ambao anataka kuwaongoza huku akidharau maslahi yao, lakini je atawaongoza vipi watu asiowaheshimu.


“Wazir Khatib anakwepa kujibu hoja ya msingi na kuingiza malumbano ya kisiasa katika hoja ya msingi yenye maslahi kwa Watanzania waliowengi ili kutimiza malengo yake,” alisema Jussa.


Naye Mbunge wa Wawi Kisiwani Pemba (CUF) Hamad Rashid Mohammed alisema anasikitika kuwa maalim Seif si mbunge, kwa sababu kama angekuwa mbunge angelidai ushahidi wa tuhuma zilizozungumzwa na Waziri Khatib.

“Lakini hata hivyo anaweza kutumia vyombo vingine vya kisheria na kikatiba kudai ushahidi wa tuhuma hizo,” alisema Mohammed.
Mohammed ambaye pia ni kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni alisema, kilichomfukuzisha Jumbe ni kudai serikali tatu jambo ambalo lilipingwa vikali na Itikadi, Sera, Ilani na msimamo wa CCM.

SOURCE: MWANANCHI.
 
Msakatonge kasahau kuwa urais hautafutwi hivyo kwa kuwasaliti wananchi wa jimbo lake na wananchi wa zanzibar.stupid.
 
Msakatonge kasahau kuwa urais hautafutwi hivyo kwa kuwasaliti wananchi wa jimbo lake na wananchi wa zanzibar.stupid.
Junius acha kumuonea huyo.Amewasiliti kivipi? Tena unasema hata wananchi wa jimbo lake kule Uzini? Kwani wewe ni mkaazi wa Uzini, Bambi, Mwakaje, Kiboje, Ghana, au Ndagaa? kwanini uwasemee wananchi wa huko -Kwa authority ipi? Acha hizo Ndugu yangu!!!!!
 
Junius acha kumuonea huyo.Amewasiliti kivipi? Tena unasema hata wananchi wa jimbo lake kule Uzini? Kwani wewe ni mkaazi wa Uzini, Bambi, Mwakaje, Kiboje, Ghana, au Ndagaa? kwanini uwasemee wananchi wa huko -Kwa authority ipi? Acha hizo Ndugu yangu!!!!!
Simuonei Pakacha ananichefua, kwa nafasi aliyonayo hapaswi kudharau maoni ya wazanzibar kupitia wabunge wao,ambao wamesema wazi kuwa kero za muungano zitatuliwe kwa kurejea katika mkataba uliounda muungano wenyewe, na kuwa PM na CM hawana mamlaka ya kujadili kero hizo. Alipaswa kama si kukubali,japo ku consider mawazo hayo badala ya kupwaga na kucheuka pumba na shutuma zisizo kichwa wala miguu, huko ni kuwasaliti wananchi woote wa zanzibar ambao msimamo wa wabunge wao ulikuwa wazi kihoja. Kawafanya wananchi wa Uzini si sehemu ya kero za Muungano kwa kukataa mawazo ya wabunge wenzake. Pakacha, Mkataa wengi mchawi.
 
Back
Top Bottom