Sioni uzuri wa gwaride kama jeshi letu lipo kwaajili ya kwenda kuvamia Komoro unnecessarily, kisa urafiki wa JK na Osambi!....sioni..not me!
 
mimi tatizo langu ni hili

hivi hakuna njia nyingine ya kusheherekea bila magwaride????????????

hivi ku celebrate mafanikio ya nchi ni kufanya gwaride only??????????????
 
gwaride zuri wakati nchi inaelekea shimoni,wataendelea kuwadanganya wananchi na magwaride huku wanaingia mikataba na mabepari ya vizazi na vijukuu vya wananchi,mkataba miaka 33,mara miaka 50,mara miaka 99,tuendelee tu,hii ndiyo nchi yetu.na hicho ndicho chama chetu
 
mimi tatizo langu ni hili

hivi hakuna njia nyingine ya kusheherekea bila magwaride????????????

hivi ku celebrate mafanikio ya nchi ni kufanya gwaride only??????????????
gwaride lazima liwepo,ili kukuonyesha wewe mnyonge kwamba jeshi lao liko imara,kwa hiyo usiwe na akili ya kujikomboa kwa namna yoyote ile,labda baada ya miaka 100.
 
mwendo ni gwaride tu na bado wanaacha kero za muungano zikiendelea mwaka hadi mwaka
 
Unnesessary expenses!..Unadhani ni shiing ngapi zinatumika kufanya ile maneno...watu wanafungua hardware pale!
Sasa, wananchi wanateseka kupata madawati tu, then tunajivunia Muungano ambao unalalamikiwa na wahusika kwamba una shida na hauna uhalali!..Hadi leo hakuna aliyeweza kuonyesha Agreement na articles of Union!..Ni kitu imekaakaa tu kama myth, ndio maana Muungano unaonekana ni michosho.
Anyway, nasikia walivaa mashati mapya!..si unajua kuna uchaguzi October?
 
....Kinachoniudhi zaidi ni kwamba there is absolutely nothing new kwenye haya magwaride! If you have seen one, you've seen all. Kama uliona gwaride la Uhuru mwaka 2001 ni sawa tu na uliloliona LEO 2010 !!!
 
Sioni uzuri wa gwaride kama jeshi letu lipo kwaajili ya kwenda kuvamia Komoro unnecessarily, kisa urafiki wa JK na Osambi!....sioni..not me!
Nilijua tu PJ mie nilivutiwa na gwaride tu na si vingine bwana ...
 
Gwaride kwa kweli wanajitahidi kuonyesha mbwembwe zao ili tujue kuwa jeshi tunalo, lakini kero za muungano mbona hazishughulikiwi?
 
kwa nini raisi hakutoa hotuba?wangembana raisi wa zanzibar ahutubie
 
kwa nini raisi hakutoa hotuba?wangembana raisi wa zanzibar ahutubie

katika vitu vilivyoniacha mdomo wazi ni pale sherehe nzima ilipoisha bila hotuba kutoka kwa mtu yoyote
zaidi ya ngoma na magwaride
tatizo lilikuwa nini?????
 
Nilijua tu PJ mie nilivutiwa na gwaride tu na si vingine bwana ...

Mi sikupendezewa kabisa.
Buti za maafande zilikuwa zina acha sole za viatu
Alafu ile kugonga bunduki moja ikapasuka hivi Jeshi letu nalo bado linatumia vifaa vya kichina?
 
kwa nini raisi hakutoa hotuba?wangembana raisi wa zanzibar ahutubie

Ikulu ya Rais ilishindwa kuandaa kwa sababu ilikuwa busy kuandaa hotuba ya kule kule kwenye ZINDUKA ya maralia.
 
Pamoja na pongezi hizo ila kuna aibu kubwa sana nchi ya Tanzania iliyotokana na parade hiyo.TATIZO LA WAKATI WA PARADE ASKARI WAWILI KUACHA SORY PALE UWANJANI. YAANI BAADA YA PARADE KUPITA KWA MWENDA WA KASI SORY MBILI ZA VIATU ZILIONEKANA INA MAANA VIATU WALIVYOTUMIA ASKARI HAO KUCHEZEA PARADE HAVIKUWA SAHIHI KUHIMILI VISHONDO AU NDIO VILE VYA KICHINA VILIVYOKUWA NA 10 PERCENT.

Hakika lazima afatiliwe aliyevinunua viatu vile na kampuni iliyotengeneza kwani wamelitia aibu Jeshi na hata nchi ionekane ni nchi ya secondhand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…