Nadhani na wewe ni victim wa kanisa , walikurepu kanisani hunapakukimbilia?
 
Kuhusu muungano una mawazo ya busara,lakini habari ya ndoa ya kiislamu hujui kabisa.Unadhani hata wewe na mimi twaweza kufungisha!
 

If you want people to listen to you my friend you should know how to present your arguments and opinions in a way that will include all members of your audince. Comparing a controversial(to Zanzibaris) issue with a sensitive issue like religion is wrong. Now you have alienated both Muslims who will most certainly be offended and you will have offended Zanzibaris themselves. When presenting issues like this, one should chose their words carefully leaving personal things aside. After all we want a better union and the only way we can achieve that is by everyone feeling included.
 

Sikukurupuka mimi nimeisoma vizuri hiyo mada yako na nikaielewa ndio nikajibu. Labda kwako wewe kiswahili kinachokupiga chenga. Mimi sikuzungumzia mada ya dini lakini kwa nini ukalinganisha muungano na ndoa ya kiislamu kama hukukusudia dharau? Na ni wewe ndiye uliyetumia maneno ya taraka na tawile na sio mimi. Sasa kama ulikuwa hujui maana yake uliyatumia kwa nini?
 
Kuhusu muungano una mawazo ya busara,lakini habari ya ndoa ya kiislamu hujui kabisa.Unadhani hata wewe na mimi twaweza kufungisha!
ni kweli ndugu yangu, lakini si kila kitu kinapaswa kukoroma mingine ni mifano tu iwe hai, ama lah,
kikubwa ujumbe umefika? hakuna mfano ambao mimi ungenifaa, hapa tusilete uislamu ama ukristo
mie sijaja kidini nadhani ungeangalia kwanza hii topiki iko upande wa Forums gani, pia uislamu unaruhusu
watu kutengana, hilo halina ubishi, sasa kuulinganisha Muungano na ndoa za kiislamu si kosa kama utavua kofia ya udini, kwanza sisi wengine tu mashahidi wa ndoa hizo mitaani tunamoishi tumeyaona hayo

lakini tusiende huko turudi kwenye maada husika juu ya MUUNGANO
 
kwa hiyo umechukia kwakuwa nimeulinganisha na dini? kwanza yaangalie vizuri hayo maneno 'talaka' na 'tawile' katika maada yametumikanje ikiwa weye wakijua kiswahili, sijayatumia kwa kubahatisha, nimeyapangilia vyema, vua kofia ya udini kwanza na nakushauri usitumie jazba hebu soma tena na tena harafu shule ulikuwa mtulivu, wa kuelewa utajijua uko upande gani, hapa hakuna ugonvi, wa malumbano ya kutumia ubavu, tena si shari.
 
Kutaka kuboresha ndoa kama si kudai taraka



Katika uilamu hakuna kitu kinaitwa taraka au haya ndiyo mafundisho ya SHOGA PARHAM
 
Kutaka kuboresha ndoa kama si kudai taraka



Katika uilamu hakuna kitu kinaitwa taraka au haya ndiyo mafundisho ya SHOGA PARHAM
ni kweli kwenye red hapo hamna kitu kinaitwa taraka, ila kwenye uislamu kipo
 

Mwandishi wa mada hii ana mapungufu makubwa sana hususan katika nyanja ya uandishi, mahusiano na upeo mdogo sana wa Elimu hususan ile ya jamii.

Ni dharau kubwa sana kusema kuwa ndoa ya kiislam anaweza kufungisha mtu yeyote yule hata kama hana elimu sahihi ili mradi tu avae kanzu na balaghashia. HUHUU ni udhalilishaji na matusi makubwa.

Kwa kifupi ndoa katika Uislam ni moja ya ibada na ina masharti na nguzo zake. Si kila mtu mwenye kuweza kutimiza masharti hayo ya kuoa, kuolewa au hata kufungisha ndoa.

Talaka katika Uislam ni HALALI ingawa ni halali yenye kumuudhi Muumba lakini imewekwa pale ambapo kumekuwa hakuna tena kuelewana na ndoa kuwa ni kama jela kwa wanandoa. Hapo TALAKA imehalalishwa kutolewa ili kulinda maisha ya wanandoa hao na kuleta faraja kwao na jamii. HATA WAKRISTO SASA wameliona hilo na baadhi ya makanisa yameruhusu kutolewa Talaka.

Unapozungumzia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni vizuri uelewe kuwa nchi hizi mbili huru ZIMEUNGANO KIMAKUBALIANO ndio maana kuna makubaliano ya muungano na hazijaungana kikatiba.


Sasa makubaliano yoyote ni lazima yakubalike katika pande zilizoungana na kama kuna kuhisi kuonewa upande mmoja basi inaruhusiwa kisheria kuvunja makubaliano hayo kwa manufaa ya wananchi wa nchi hizi zilizoungana.

nakushauri mtoa mada soma mambo mawili
.1. NDOA KATIKA UISLAM
2. NINI MUUUNGANO KISHERIA
3. NINI MAKUBALIANO.
4. TUANGALIA ZANZIBAR NA TANGAYIKA MUUNGANO WETU.
 

punguza jazba kwanza ndipo uje hahaaaaa eeee!
we mtu mwenyewe unajiita hafifu!
 
Tupe maana ya neno taraka katika huo uislam uliofundishwa na Shoga Parham
 
Ndoa za mashoga si zinafungishwa na Magwiji wa kanisa au vipi????
 


Hapo umenena kitaalamu zaidi na ndio maana hata mtoa mada ametulia kwani msg sent.

CHA KUsisitiza TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZIMEUNGANA KIMAKUBALIANO NA SIO KIKATIBA. nafikiri hilo alikuwa halijui.
 
Hapo umenena kitaalamu zaidi na ndio maana hata mtoa mada ametulia kwani msg sent.

CHA KUsisitiza TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZIMEUNGANA KIMAKUBALIANO NA SIO KIKATIBA. nafikiri hilo alikuwa halijui.
akili yako usiweke kwa mwenzio, soma post #1
 
Hesabu/ Chapter 5 11. Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
12. Nena na wana wa israeli, uwaambie, kama mke wa mtu ye yote akikengeuka, na kumkosa mumewe,
13. na mtu mume akalala naye kwa uasherati, na jambo hilo likamfichamania mumewe, likawa jambo lisilojulikana, na huyo mwanamke akawa najisi, wala hapana shahidi aliyeshuhudia juu yake, wala hakufumaniwa;
14. kisha mumewe akashikwa na roho ya wivu, akamwonea wivu mkewe, naye akawa najisi huyo mwanamke; au kama akiingiwa na roho ya wivu, akamwonea wivu mkewe, naye hakuwa na unajisi huyo mke;
15. ndipo huyo mume atamchukua mkewe, aende naye kwa kuhani, naye ataleta sadaka yake kwa ajili yake, yaani, sehemu ya kumi ya efa ya unga wa shayiri; asitie mafuta juu yake, wala asitie ubani juu yake; maana, ni sadaka ya unga ya wivu, ni sadaka ya unga ya ukumbusho ya kukumbukia uovu.
16. Basi kuhani atamleta mwanamke akaribie, na kumweka mbele za Bwana;
17. kisha kuhani atatwaa maji matakatifu katika chombo cha udongo; kisha kuhani atatwaa katika vumbi lililo pale chini ya maskani, na kulitia katika hayo maji;
18. kisha kuhani atamweka mwanamke mbele za Bwana, naye atazifungua nywele za kichwani mwa huyo mwanamke, kisha atampa hiyo sadaka ya unga ya ukumbusho mikononi mwake, ambayo ni sadaka ya unga ya wivu, naye kuhani atakuwa na hayo maji ya uchungu yaletayo laana mkononi mwake;
19. tena kuhani atamwapisha huyo mwanamke, naye atamwambia mwanamke, Kwamba hakulala mtu mume pamoja nawe, tena kwamba hukukengeuka kuandama uchafu, uli chini ya mumeo, maji haya ya uchungu yaletayo laana yasikudhuru;
20. lakini kwamba umekengeuka uli chini ya mumeo, na kwamba u hali ya unajisi, na mtu mume amelala nawe, asiyekuwa mumeo;
21. hapo ndipo kuhani atamwapisha mwanamke kwa kiapo cha kuapiza, kisha kuhani atamwambia huyo mwanamke maneno haya, Bwana na akufanye wewe uwe laana na kiapo kati ya watu wako, hapo Bwana akufanyapo paja lako kupooza, na tumbo lako kuvimba;
22. na maji yaletayo laana yatakuingia matumboni mwako, na kukuvimbisha tumbo, na kukupoozesha paja lako; na mwanamke ataitika, Amina, Amina.
23. Kisha kuhani ataziandika laana hizo ndani ya kitabu, na kuzifuta katika maji ya uchungu;
24. kisha atamnywesha mwanamke hayo maji ya uchungu yaletayo laana; nayo maji yaletayo laana yataingia ndani yake, nayo yatageuka kuwa uchungu.
25. Kisha kuhani ataitwaa hiyo sadaka ya unga ya wivu, kwa kuiondoa mkononi mwa huyo mwanamke, naye ataitikisa sadaka ya unga mbele ya Bwana, na kuisongeza pale madhabahuni;
26. kisha kuhani atatwaa konzi moja ya sadaka ya unga, kuwa ni ukumbusho wake, na kuuteketeza madhabahuni, baadaye atamnywesha mwanamke hayo maji.
27. Kisha hapo atakapokwisha kumnywesha maji, ndipo itakapokuwa, kama amekuwa hali ya unajisi na kumkosa mumewe, hayo maji yaletayo laana yatamwingia ndani yake, nayo yatakuwa uchungu, na tumbo lake litavimba, na paja lake litapooza; na huyo mwanamke atakuwa laana kati ya watu wake.
28. Na kama mwanamke hakuwa na unajisi lakini yu safi; ndipo ataachiliwa, naye atazaa wana.
29. Hii ndiyo sheria ya wivu, mwanamke, ambaye yu chini ya mumewe, akikengeuka, na kupata unajisi;
30. au, roho ya wivu ikimwingia mtu mume, naye akamwonea wivu mkewe; ndipo atakapomweka huyo mwanamke mbele za Bwana, na kuhani atatenda juu yake sheria hii yote.
31. Na huyo mume atakuwa hana uovu, na mwanamke atauchukua uovu wake.
 

hiki ni kitu gani tena!!!!! duh ama kweli ilimu hii kiboko
 
Kwa mtazamo wangu Mwolewaji ama upande mmoja wa wanandoa wa Muungano
Alikuwa hana lolote analojua zaidi ya kuitikia TAWILE, sasa ameamka na kuonekana
Kutaka kuboresha ndoa kama si kudai taraka, hii ni baada ya kugundua kuwa,
Aliingia sehemu ambayo sasa anona aburuzwa, na haki ya kuadai kile anachoona ni haki yake




Taraka.... tawile...! Duh kazi ipo mwaka huu...!
 
Taraka... tawile... ndio kitu gani? Mbona ueleweki kijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…