Betson Amon
Member
- May 17, 2014
- 6
- 1
Mkandara,
Aaah! ndiyo maana Sumaye anakwenda Harvard, ili arejee na digrii ya utawala bora akijiweka sawa kwa 2010 au 2015? Kweli ndani ya CCM kuna mengi.
Mbowe hajawahi kwenda kusoma certificate Marekani.Tuseme vipi kuhusu - Mbowe aliyekwenda kusoma certificate marekani ambayo ameshindwa kuitetea nchini kwake?
Tuseme vipi Mnyika ambaye ni kidato cha sita na amepata uwaziri kivuli kambi ya upinzani?
ZZK thinktank ya CDM wengine Makomando -- -- Mwishooooooooooooooooo huoooooooooo!
Tuseme vipi kuhusu - Mbowe aliyekwenda kusoma certificate marekani ambayo ameshindwa kuitetea nchini kwake?
Tuseme vipi Mnyika ambaye ni kidato cha sita na amepata uwaziri kivuli kambi ya upinzani?
ZZK thinktank ya CDM wengine Makomando -- -- Mwishooooooooooooooooo huoooooooooo!
Du hii topic ina miaka nane humu. Na ndo topic inayoongoza kwa replies kuliko topic zote zilizowahi kuwemo humu. Ina replies kama 4000. Aliyeianzisha sijui yupo wapi? Maana mara ya mwisho kaonekana humu ni 2011. Sijui yupo hai. Kama yupo hai atakuwa anatumia ID tofauti.
Muungano uwepo.ila haki iwe pande zote mbili kinachotufanya wanzanzibar kudai ni haki yetu tunataka mamlaka kamili zanzibar irudi kama zamani ni hilo tu wadau zanzibar ni nchi ila haijijengi kutokana na muungano uliochakachuliwa sasa hapo.kuna tatizo kudai mamlaka ya nchi yetu
Aisee mbona unajichanganya. Huwezi kuwa na uhuru kamili alafu ukataka na muungano. Ngoja tuone baada ya kuvungika muungano nani anafaidika nao. Mazao yote yanayokwenda zanzibar yataitaji kibali maalumu na itabidi mushindane na kenya kwa bei. Wazanzibar nao itakuwa marufuku kumilikia aridhi Tanganyika. Hapo ndio tutajua nani anafaidika na muungano.
Marufuku kumiliki ardhi kwa sheria gani? kumbuka wazanzibari hawataki kuvunja muungano,bali hizo ni propaganda za CCM wanaitumia hiyo hoja ili serekali mbili ziendelee kuwepo na wao waendelee kuwepo madarakani.
Pia naomba uelewe kwa sasa sisi wote ni wa Tanzania iwapo itatokea bahati mbaya muungano ukavunjika, wa Tanzania wenye asali ya Zanzibar watakuwa na uhuru wa kubaki Tanganyika au kurudi Zanzibar hii ni sawa pia na kwa wa Tanzania wenye asili ya Tanganyika.