Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Uvunjwe sababu hakuna kiongozi yeyote aliyetueleza watanganyika tunafaidika nini zaidi ya kutukanwa na kubaguliwa kwa udini na ubara we2. Tumekuwa tunaelezwa jins wznz wanavyofaidika kiuchumi, aidha nafahamu Tanganyika inaibeba znz kw ajili ya masuala ya kiusalama tu lakin this is too much kwa dunia ya ss tunaweza kujilinda kwa mbinu mbadala. TANGANYIKA KWANZA.
 
Mkandara,
Aaah! ndiyo maana Sumaye anakwenda Harvard, ili arejee na digrii ya utawala bora akijiweka sawa kwa 2010 au 2015? Kweli ndani ya CCM kuna mengi.

Tuseme vipi kuhusu - Mbowe aliyekwenda kusoma certificate marekani ambayo ameshindwa kuitetea nchini kwake?
Tuseme vipi Mnyika ambaye ni kidato cha sita na amepata uwaziri kivuli kambi ya upinzani?
ZZK thinktank ya CDM wengine Makomando -- -- Mwishooooooooooooooooo huoooooooooo!
 
Mbowe hajawahi kwenda kusoma certificate Marekani.
 
Muungano wa serikali uvunjwe ubaki wa wa wananchi tu kama zamani,huu umefeli ,dhuluma tupu,wizi mtupu.
 
Tuseme vipi kuhusu - Mbowe aliyekwenda kusoma certificate marekani ambayo ameshindwa kuitetea nchini kwake?
Tuseme vipi Mnyika ambaye ni kidato cha sita na amepata uwaziri kivuli kambi ya upinzani?
ZZK thinktank ya CDM wengine Makomando -- -- Mwishooooooooooooooooo huoooooooooo!

nilidhani una akili kumbe changu tu!
 
tunaomba muungano uendelee wengine tunataka tukaoe huko znz sasa tukitengana c mtanletea mimi balaa jaman?
 
Wanaotaka muungano usivunjwe wanatoa sababu hafifu kua Tz bara itavamiwa na maadui what shameful reason is that, Mi faida za muungano sizioni na wala siyajui .
 
This issue always spoil my day.Muungano unabidi uvunjike.Hakuna mtu anayetupa maelezo nalisi na yenye maana ili tujue ni nini umuhimu wa huu muungano.Kama kuna umuhimu wa muungano then utarudi,na kama hakuna hauwezi kurudi.Let this union justify itself,rather than forcing people to live on it.
 
Du hii topic ina miaka nane humu. Na ndo topic inayoongoza kwa replies kuliko topic zote zilizowahi kuwemo humu. Ina replies kama 4000. Aliyeianzisha sijui yupo wapi? Maana mara ya mwisho kaonekana humu ni 2011. Sijui yupo hai. Kama yupo hai atakuwa anatumia ID tofauti.
 
alishadanja
 
Nakubalina na wewe on my own view sioni faida ya muungano bora uvunjwe tuanze mchakato upya. Zanzibar they are so proud of themselves kwamba hawaitegemei bara but the reality remain there. Shame on the leadership

Sent from my iPad using JamiiForums app
 
Muungano uwepo.ila haki iwe pande zote mbili kinachotufanya wanzanzibar kudai ni haki yetu tunataka mamlaka kamili zanzibar irudi kama zamani ni hilo tu wadau zanzibar ni nchi ila haijijengi kutokana na muungano uliochakachuliwa sasa hapo.kuna tatizo kudai mamlaka ya nchi yetu

Aisee mbona unajichanganya. Huwezi kuwa na uhuru kamili alafu ukataka na muungano. Ngoja tuone baada ya kuvungika muungano nani anafaidika nao. Mazao yote yanayokwenda zanzibar yataitaji kibali maalumu na itabidi mushindane na kenya kwa bei. Wazanzibar nao itakuwa marufuku kumilikia aridhi Tanganyika. Hapo ndio tutajua nani anafaidika na muungano.
 
Marufuku kumiliki ardhi kwa sheria gani? kumbuka wazanzibari hawataki kuvunja muungano,bali hizo ni propaganda za CCM wanaitumia hiyo hoja ili serekali mbili ziendelee kuwepo na wao waendelee kuwepo madarakani.
Pia naomba uelewe kwa sasa sisi wote ni wa Tanzania iwapo itatokea bahati mbaya muungano ukavunjika, wa Tanzania wenye asali ya Zanzibar watakuwa na uhuru wa kubaki Tanganyika au kurudi Zanzibar hii ni sawa pia na kwa wa Tanzania wenye asili ya Tanganyika.
 
Yani unauliza nisheria gani itakayo piga marifuku wazanzibar kumiliki ardhi Tanganyika wakati kunasheria inayowazuiya watanganyika ardhi zanzibar. We ngoja Serekali ya Tanganyika Itakapo kuja na kimbunga 2.0 na wazanzibar, wakenya, watwanda wote wahamiaji haramu.
 
Back
Top Bottom