Hawajui wanajidanganya kwenye vijiwe vya Kahawa.
Mpemba na muunguja tayari wanabaguana vibaya sana huu muungano ndio unaowazuia wasipigane tu,muunguja akiwa pemba ni kama mgeni tu ila mpemba akiingia unguja yupo kwake na pale pale unguja mpemba anamuona muunguja kama takataka tu,na ndio maana kile kisiwa kwa msaada wa bara,mpemba aliyewahi kuwa rais ni shein tu hakuna mpemba mwingine
 
Aisee...sikujua hii info.
 
Kama viongozi hawako tayari kuwasikiliza wenye nchi ni bora uvunjwe.
 
Serikali tatu tukijaribu yaweza leta utulivu. Ushauri tu
 
Easy tuu
We kuwa nao karibu tu utandawazi ushashift mindset zao
I think una uzoefu na hizi pisi, vipi Zanzibar pisi zinaruhusiwa kuzungumza na wanaume kitaa?

Na hapa unazungumzia pisi zinazokaa Zanzibar au pisi za Kizanzibari zilizopo Tanzania bara
 
Kama ni hivo mbona munatumia mabavu kuulazimisha huo muungano
 
Wacha kusema uongo sio tabia nzuri unaweza ukawa mwanga ama mchawi
 
Ndio munavodanganyana hivo kwenye vilabu vyenu vya mbege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…