Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Hawajui wanajidanganya kwenye vijiwe vya Kahawa.
Mpemba na muunguja tayari wanabaguana vibaya sana huu muungano ndio unaowazuia wasipigane tu,muunguja akiwa pemba ni kama mgeni tu ila mpemba akiingia unguja yupo kwake na pale pale unguja mpemba anamuona muunguja kama takataka tu,na ndio maana kile kisiwa kwa msaada wa bara,mpemba aliyewahi kuwa rais ni shein tu hakuna mpemba mwingine
 
Aisee...sikujua hii info.
 
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.

Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional reforms".

Kwa upande wangu sikubaliana na ufumbuzi waliofikia kwa 100%
Check this out:

1) mineral and oil exploration be co-opted into the national debate on the future of the political federation.

-debate is good but mineral and oil exploration should not be political.

2)Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) should have an equal number of representatives from either side.

-Equal number kwa vigezo gani? Idadi ya watu? Tuelezene mlivyokuja na hiyo soultion equal number of people.

3)consultant on the distribution of wealth generated through mining and oil extraction be hired to advise the Union government on how it can be shared equitably.

-Please kama ni hivyo na huo muungano hatuutaki. For what?

4)It was decided that 50 per cent of the income would be used to finance the operations of the authority and the other 50 per cent be distributed on the basis of 60 per cent for the Mainland and 40 per cent for Zanzibar.

-Hivi hizo hesabu mnafanyaje? How did you come up with 60%, ardhi, watu,?????

Najua watanzania hawataki kuongelea muungano wakiogopa mizimu ya Mwalimu. Kwa upande wangu kuna mambo mawili tu hapa ambayo yanaweza kuleta ufumbuzi wa kudumu kwanza kuuvunja muungana na Zanzibar ikawa nchi kama ilivyo Kenya na tutaendelea kushirikian nao kama tunavyoshirikiana na Kenya, au Zanzibar uwe mkoa. zanzibar kuna watu wasiozidi 3 mil wakati mkoa wa Dar tu una watu 4 mil. Hapo utajiuliza ni kivitu tugawane nusu kwa nusu?

Kama watu hamtaki kuongela hili sual basi mwezi October linaingia kwenye katiba.

Mkataba wa makubaliano ya kuanzisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukisainiwa mwaka 1964.

Mkataba wenyewe (uliosainiwa) umeambatanishwa kama attachment.
Kama viongozi hawako tayari kuwasikiliza wenye nchi ni bora uvunjwe.
 
Serikali tatu tukijaribu yaweza leta utulivu. Ushauri tu
 
Easy tuu
We kuwa nao karibu tu utandawazi ushashift mindset zao
I think una uzoefu na hizi pisi, vipi Zanzibar pisi zinaruhusiwa kuzungumza na wanaume kitaa?

Na hapa unazungumzia pisi zinazokaa Zanzibar au pisi za Kizanzibari zilizopo Tanzania bara
 
Hizi ndoto za kijiweni, Zanzibar iwe kama Dubai?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Dubai, Saudi Arabia na U.A.E ni vibaraka wa Marekani kupitia OPEC+.

Mtaishia tu kuwa kama Mauritius na Comoros na msipokaa sawa kama Yemeni.

Hamna sababu za kiuchumi kuwa kama Dubai.

Hata watu wenye critical and creative thinking kama Wayahudi hawapo Zanzibar. Angalau Watanganyika wanajitahidi kama Professor Ndulu wa Economics.
Kama ni hivo mbona munatumia mabavu kuulazimisha huo muungano
 
Huo ndio uongo mnaojazwa [emoji1787],mpemba kwa % ndio hataki muungano na ndie mbaguzi,waunguja wako half half kwenye suala maana muunguja hata huko pemba anabaguliwa ila mpemba anapeta tu akiwa unguja,siku muungano ukivunjika mpemba tamaa yake achukue visiwa vyote unguja na pemba na ndio tumbatu,kunduchi,kojani nk watakapoukumbuka huu muungano
Wacha kusema uongo sio tabia nzuri unaweza ukawa mwanga ama mchawi
 
Mpemba na muunguja tayari wanabaguana vibaya sana huu muungano ndio unaowazuia wasipigane tu,muunguja akiwa pemba ni kama mgeni tu ila mpemba akiingia unguja yupo kwake na pale pale unguja mpemba anamuona muunguja kama takataka tu,na ndio maana kile kisiwa kwa msaada wa bara,mpemba aliyewahi kuwa rais ni shein tu hakuna mpemba mwingine
Ndio munavodanganyana hivo kwenye vilabu vyenu vya mbege?
 
Back
Top Bottom