Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Katafute udongo baharini tuwape jiko, afu unaonekana umetumwa
 
Onesha mtanganyika hata mmoja mwajiriwa ndani ya SMZ nami nitakuonesha maelfu ya wazanzbari waajiriwa Tanganyika. Achana na kero nyingine kama umiliki wa ardhi, n.k.
Kamishna wa ZRA zanzibar ni mtanganyika anaitwa mwenda mkurugezi wa ZBC Zanzibar pia ni mtanganyika

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Onesha mtanganyika hata mmoja mwajiriwa ndani ya SMZ nami nitakuonesha maelfu ya wazanzbari waajiriwa Tanganyika. Achana na kero nyingine kama umiliki wa ardhi, n.k.
kuna maneno ukiyasema au kuomba halafu yakatekelezwa utaona aibu. Funika kombe mwanaharamu apite. Tafadhali jitambue kwamba hujui na uikubali hiyo hali.
 
Hiii weyeeeee amiiiiii Zanzibar ndo mnafaidi hatari huu muungano Huku Tanganyika mnapewa ukuu wa wilaya hata wa mikoa , mnasamehewa madeni ya umeme na tanesco, kukopa mnakopa nyie kuripa wanalipa watanganyika vingi vingi vingi vingi
 
Lowasa alikuwa na ndoto ya kuwa rais wa Tanzania!; Hivyo aliona kukiwa na Serikali.3 atajua Hana Mamlaka Tanganyika wala Zanzibar!
Ndipo akaleta ya mwana kuleta kuwafurahisha wa-zenj!
 
Kubadili mfumo wa muungano ni sawa kubadili mfumo mzima wa chama cha CCM, ni kuanguka kwa CCM madarakani
 
Back
Top Bottom