Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkongwe wewe kumbe upo; nafurahi kukuona.Zanzibar sio ma mtu ya kuungana nayo sema basi tu tuliukuta huu Muungano
Usiwe na wasiwasiYani mambo yanavyoenda hovyo sana sana mzanzibari anaendaje kuwa mkusanya mapato TRA watuambie ZRA watananyika wapo wangapi ?
Hii ni mbinu ya kupenyenza wa Zanzibari wengi TRA kwenye ajira.
Nani mzanzibari Yusuf Mwenda no mtanganyika meya wa za Mani wa kinondoniTRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
KooromeoMbn kama una udugu nae au majina tu
Nipo babuMkongwe wewe kumbe upo; nafurahi kukuona.
Naam, umeniita?
Mafia ni Wilaya katika mkoa wa Pwani ulioko Tanganyika. Wala siyo sehemu ya ZanzibarMafia
Utamchinja nani na kwa lipi?Safari hii mmeshikwa haswa.
Nadhani vilio vya Zanzibar vya miaka yote nanyi mmeanza kuvitoa mdogo mdogo.
Zanzibar wapewe nchi yao na Watanganyika wapewe nchi yao hizi kelele zisizo eleweka zitakoma bila kufanya hivyo tunapoelekea ni kuanza kuchinjana.
Yale yale ya Rwanda watutsi na wahutu.
tumeungana na zanzibar kwenye mambo maalumu na sio mambo yote.Kama Mama Samia ni Raisi wa MUUNGANO wa Tanzania, Raisi wa Zanzibar ni Raisi wa nani? Na kazi yake iko wapi pale kama nchi hizi zimeungana?