Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani aliyekwambia Yussuf mwenda ni mzanzibari?TRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mara hii tena ushawageuka wenzako?TRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Siku hizi Wapemba wamejaa Kila Kona ya nchi!!TRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Huyo 'Mtanganyika' haswaaa, amerudi nyumbani kumenoga!Yani mambo yanavyoenda hovyo sana sana mzanzibari anaendaje kuwa mkusanya mapato TRA watuambie ZRA watananyika wapo wangapi ?
Hii ni mbinu ya kupenyenza wa Zanzibari wengi TRA kwenye ajira.
Raia wa Zanzibar kuongoza Tanzania ni sawa? Tanganyika ndio wapi?TRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Wapemba wengi wapo bara kuliko kisiwani kwao. Tanzania ni moja, amekosekana mwanasiasa mwenye utashi wa kuondoa tofauti za kisiasa na kiuongozi.Siku hizi Wapemba wamejaa Kila Kona ya nchi!!
Watanganyika mtakoma
Kumbe!Bosi wa ZRA. Yusuf Juma Mwenda.
Mwenda ni mluguru syo mzanzibari acheni kujifanya wajuaji ,kitu kama hukifahamu bora ukae kimyaTRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Unamzungumzia nani sasa? Yusufu Mwenda? Huyu aliwahi kuwa Meya wa Kinondoni. Sidhani ni Mzenji.TRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mbn kama una udugu nae au majina tuMwenda wa zenji yupi huyo
Bongo zozoTRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mambo ya katiba hayooooTRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?
Sawa kweli Mzazibar kuwa kamishna wa TRA? Watanganyika endeleeni kuwa bongolala
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu anayeitwa Raia wa Zanzibar; hakuna mtu mwenye passport ya Zanzibar. Zanzibar siyo nchi kwa maana zote za kimataifa.TRA inakusanya mapato gani ya kimuungano? ZRA si ipo?