Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Yani mambo yanavyoenda hovyo sana sana mzanzibari anaendaje kuwa mkusanya mapato TRA watuambie ZRA watananyika wapo wangapi ?
Hii ni mbinu ya kupenyenza wa Zanzibari wengi TRA kwenye ajira.
 
Siku hizi Wapemba wamejaa Kila Kona ya nchi!!

Watanganyika mtakoma
Wapemba wengi wapo bara kuliko kisiwani kwao. Tanzania ni moja, amekosekana mwanasiasa mwenye utashi wa kuondoa tofauti za kisiasa na kiuongozi.
Neno moja asubuhi, mchana hakuna uzanzibari na utanganyika,vitakuwa makabila ndani ya Tanzania.
Kwa utamaduni wetu, siasa ni maneno na mkubwa hapingwi.
 
Tatizo tumerithisha linzanzibar.Linatumia nafasi yake kuwapendelea wa Zanzibar wenzake ili wawe matajiri Kwa maliasili za Tanganyika
 
Back
Top Bottom