Kutakuwa na kikao maalum kesho Zanzibar. Kikao hicho kitahudhuriwa na viongozi wa CCM Bara na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kikao hicho kina muelekeo wa kuzungumzia masuala ya muungano.
Je, tutarajie chochote kipya?
May not be 'economical' yet. Ila yapo.
This is the best time for whatever is there (oil and/or gas) to be economical .... oil is selling at $140/barrel
Mkuu leo ni dola $ 129 kwa debe! the lowest in the last three months! Kula yangu inategemea haya mafuta ndio maana niko on top of it kila siku mkuu sio kuwa nakurupuka on this ya mafuta, maana kila yanavyobadilika ndio na kula yangu inabadilika!
......Je ukikuta gharama za uzalishaji ni equivalently $300/barrel.....bado utachimba?............utafiti ni kitu muhimu kabla ya kukurupuka
GT, Mtu wa Pwani na Engineer Mohamed toka JF watahudhuria nadhani. Hawawezi kuburutwa hawa!Wazanzibari "wataburutwa" tuu .... Bara haiwezi kuvunja Muungano na kuwaachia mafuta.
Mkuu, haiendi hivyo .... huku ninakofanya kazi gharama ya uzalishaji pipa moja ni less than $35; na huku ni Marekani ... offshore Gulf of Mexico ... na hiyo $35/barrel ni kwa kisima cha urefu wa zaidi ya 18,000 feet! .... Tanzania labour charges ni cheap, na isitoshe nimeona seismic images za baadhi ya maeneo ya Bongo ... looks like visima vyake havitazidi 12,000 feet ... so it will be even cheaper!
... Wanaoupigia debe ni wanasiasa hasa wa Tanganyika sijui kwa sababu zipi hasa.
Kutakuwa na kikao maalum kesho Zanzibar. Kikao hicho kitahudhuriwa na viongozi wa CCM Bara na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kikao hicho kina muelekeo wa kuzungumzia masuala ya muungano.
Je, tutarajie chochote kipya?