Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Kelele za sasa hivi vimesababishwa na Pinda aidha kwa kutokujua vipi wenzake walikuwa wakiliendesha suala la Muungano au pengine yu miongoni mwa watu wanaokereka na namna Muungano unavyoendeshwa. Kwa kweli kwa upande wa Bara hakuna kiongozi asiejua kuwa muungano unaendeshwa kwa mtindo wa kubali yaishe huku taratibu kuimaliza Zanzibar kabisa. Kwani nani asiejuwa kuwa Zanzibar inaendesha mambo yasiyostahiki kwa sehemu isiyokuwa nchi? Nani hajui kuwa Zanzibar inavitumia vigezo vyote vya nchi kama bendera, wimbo wa Taifa, kukaribisha Marais wa nje kwa Status ya nchi kamili, kuingioa mikataba na nchi za nje na kadhalika. Haya yote yamekuwa yakiruhusiwa katika kuzima kelele za Zanzibar kumezwa.
Kwa upande wa Zanzibar kiongozi gani hajui kuwa Zanzibar haina madaraka wala nguvu za kufanya chochote bila ya ridhaa ya Wakubwa wao? Lakini sasa pale Baba unapomtolea ukali mbele ya Watoto wake basi husahau ikibidi hata fadhila kujenga heshima yake kwa watoto wake.
Mh. Pinda alijisahau na kuwadharaulisha viongozi wenziwe wa Zanzibar na ndio maana wakaja juu.
Kilicho wazi ni kuwa watoto wa siku hizi ni tofauti na wa zamani na hivyo Wazanzibari wa sasa mbele ya viongozi wao ni tofauti na wale wa 1964,watataka ukweli na haki katika muungano huu. Kuna mwandishi mmoja aliandika kuwa suala hili ni moto wa kifuu, alikosea huu ni moto wa Kumbi kwa wale wanaolielewa.
 
Kuanzia sasa wakati wowote Karume anategemewa kutangaza rasmi mgogoro wa kikatiba ila sidhani kama ana ubavu wa kutangaza hayo ,jamaa wanatishana tu..
 
MgonjwaUkimwi,
Hapo mkuu ndio umenichanganya kabisaaaa! manaake unapotoa tafsiri ya kitu mara zote huwa inakubalika pande zote yaani dunia nzima wanatumia tafsiri hiyo..Lakini mkuu umejenga utata mpya kabisa!
Kwa mfano umesema hujawahi kuona jeshi la taifa!... Yes, kweli hakuna jeshi la Taifa - Tanzania lakini lipo jeshi ya namna hiyo Marekani hao National guards kama alivyosema Mwanakijiji.. sasa kuwepo kwa majeshi hayo ktk states hizo hakuwezi kuzifanya hizo states kuwa nchi hata kidogo!..(kulingana na madai yako)
Kisha umetumia kigezo cha fedha hapa pia umeniacha nje kwa sababu leo hii tuna EU currency je, ina maana hiyo Jumuiya ya nchi za Ulaya imekuwa nchi moja au jeshi la NATO ni jeshi la nchi gani!...
Kwa hiyo bado mifano yako inautata tofauti kabisa na Bendera au Wimbo wa Taifa..
Mimi navyofikiri ni kwamba Zanzibar ni NCHI yaani Country kwa sababu Muungano wetu ulikuwa ktk sheria za Muingereza (ambazo tulikuwa tunazifuata)..ambao walitenganisha majimbo yao kama nchi (country) tofauti na Muungano wa nchi kama Marekani, Nigeria na kadhalika...
Lakini kutokana na mabadiliko mengine yaliyowezesha Zanzibar kuwa na RAIS tulishindwa kubadilisha pia vifungu fulani vya sheria ambavyo vingeweza kuiacha Zanzibar kama nchi kwani hakuna nchi duniani yenye marais wawili ndani ya muungano isipokuwa Muingereza ndiye mwenye hawa Ma- KING, utasikia sijui King of Wales, King of Scotland na kadhalika maadam wote hawa wapo ktk koo ama hiyo wanayoiita wao Royal family..Mama Malkia ndiye zee lao aki collect pound million 80 (kodi) kila mwaka kwa kutumia jina lake tu.
 
tatizo la zanziabr kuwa nchi au taifa linatokana na ukweli kwamba muungano wa tanzania una hitilafu nyingi mno.....kiasi cha kuwa umeshindwa ku define kirahisi nguvu za zanzibar (zilitakiwa ziwe na nguvu za tanganyika pia) zinamalizia wapi na nguvu za muungano zinaanza wapi.


na kwa vile suala hili linaogopwa kujadiliwa na viongozi wa juu ndio mpaka kumepelekea pinda kuchemsha katiak majibu yake na kuwafanya wazanzibari kuja juu
 
Huyu waziri Mkuu tulie nae ni mashaka matupu ,kila kitu anasema anaogopa ,sasa ikiwa Waziri Mkuu anaogopa nani wa kutegemewa kuendesha Nchi hii.
Anaogopa kuwakamata mafisadi ,anaogopa kujadili migodi ,anaogopa kuwakamata vigogo wa unga ,anaogopa kusikia kuvunjika Muungano.
Na sasa amekuja na jawabu jipya sijui kama mumepeleza mistari anayoitoa katika majibu yake .....wakati ukifika.... hili ndio hitimisho lake analolitumia kwa wakati huu kujibu hoja za papo kwa papo ,Mkapa yeye alikuwa mtu wa mikakati kila analojibu basi hutumia neno mikakati yetu baada ya miaka 50 au 100.
 
Zanzibar says no oil sharing

By Salma Said and Orton Kiishweko, Zanzibar
THE CITIZEN

The sensitive issue of sharing of resources between Zanzibar and Tanzania Mainland cropped up in the House of Representatives yesterday as the debate on the sovereignty of the Isles refused to die.

Zanzibar's Minister for Natural Resources, Works, Energy and Lands, Mr Mansour Yussuf Himid, declared that any oil extracted in Zanzibar would not be shared with the mainland.

He told the House of Representatives that Zanzibar had not benefited from natural gas discoveries on the mainland to warrant sharing of oil in the event of commercially viable deposits being found in Pemba and Unguja.

Honourable Speaker, I regret to say that since I became a member of the cabinet in 2000, I don't understand anything concerning the distribution of natural gas that has been discovered and is accruing revenue in Tanzania mainland, he said.

Mr Himid said he was being honest to the public by stating the fact that Zanzibaris had never benefited from the natural gas produced on the mainland. He said that once the extraction of oil started in Zanzibar, it would first and foremost be for the benefit of the Isles.

The minister's remarks during the ongoing budget session drew support among both Chama Cha Mapinduzi (CCM) and opposition Civic United Front (CUF) representatives who later, and unlike the case for other ministries, unanimously endorsed his budget proposals.

The declaration on oil sharing echoed similar sentiments that were publicly made in the past by Chief Minister Shamsi Vuai Nahodha, but significantly mirrored in on the ongoing controversy whether Zanzibar was a country with sovereign mandate outside the union government.

The speaker of the House of Representatives, Mr Pandu Ameir Kificho, was on Wednesday evening forced to defer two private members motions from CCM and CUF in which they petitioned his office to suspend the budget session and allow for a full debate of the controversy of the Isle's status.

Mr Kificho barred the motions while pleading for more time to reflect on the enormity of the matter while also reminding the representatives that the two governments had been directed by Prime Minister Mizengo Pinda to look into the matter.

The Speaker however said he would make a final ruling after wide consultations but also pleaded that the union Parliament in Dodoma ceases forthwith from raising up the matter as it heightened the tension and existing suspicions.

He told The Citizen in an interview yesterday: Zanzibar government should sit and get the actual interpretation on it's
Status. He said: �it's significant, and we should give it the consideration it deserves. Both sides know that there has been misinterpretation of the constitution on both the Union Government and the government of Zanzibar.

I have decided that the House of Representatives stops discussing it to give room to the Union and Zanzibar governments to get a way out, He said adding the issue could end up in the constitutional court.

But Zanzibar's opposition leader Abubakar Khamis Bakari who lodged one of the the petitions over what he said was a constitutional crisis over Zanzibar's status yesterday vowed that he will not withdraw his motion.

He said the House of Representatives, which had the mandate of Zanzibaris, is a supreme organ which directs the government.

If the speaker is a true Zanzibari, he should view this matter as urgently important for all of us, said Khamis.

In Dodoma yesterday, the Prime Minister Mizengo Pinda once again stood his ground in defending the constitutional interpretation of the status of Zanzibar.

He told parliamentarians that allowing Zanzibar's sovereignty would be a drawback to the union of Tanganyika and Zanzibar that created the United Republic of Tanzania in 1964.

There is already a countrywide debate on that issue, despite my advice to leave it to lawyers. Let me remind you that when
Zanzibar and Tanganyika united in 1964, both Tanganyika and Zanzibar lost their sovereignty. Giving Zanzibar sovereignty will mean ending the Union and I would not like to be among the pioneers of ending the
union, he said.

Mr Pinda was answering questions from the leader of opposition in the Union Parliament, Hamad Rashid Mohammed (Wawi-CUF) and His Mji Mkongwe counterpart, Ibrahim Sanya. The former wanted to know what steps had been taken so far following the PM's directives while the latter asked why the constitution cannot be changed so as to allow Zanzibar to become a member of the Organisation of the Islamic Conference (OIC).

In 1992, Zanzibar caused something of a stir when it unilaterally joined OIC membership without apparently consulting the Union Government. However its membership lasted only one year because the OIC under its rules only accepted sovereign states.

Earlier during the ministerial budget debate, Minister Yussuf indicated in 1984, petroleum was listed as one of the union shared resource but said Zanzibar has been left out of the gas revenue.

He said he was privy to the two government's appointment of a Norwegian consultant to advice on the sharing of gas and petroleum products and urged the members to freely give their views when the consultant approached them.

On Wednesday, Civic United Front (CUF) Secretary General Maalim Seif came
out strongly against mr Pinda's stance.

He said Pinda had annoyed Zanzibaris and said No body will take away Zanzibar as we just look on.

He was addressing a crowd of over 2000 people at Unguja. We expected Pinda and the Chief Minister Nahodha to come out and give the Government's joint position but they have all kept quiet.
 
The first correction I would like to highlite here is that Zanzibar indeed withdrew itself from OIC and OIC annual documents stipulate that contrary to what was written that Zanzibar membership stoped because of the rule of soveighrehity. OIC is open to Zanzibar membership and in fact they always argue for resemption of the membership. IDB a Bank under OIC continue to help Zanzibar in the category of non membership.
I think we should know that many countries recognize Zanzibar as COUNTRY and they are eager to help.
Coming back to the issue of sharing of resources I think Union Government erred in the past and it should reap what it has grown
 
Hiyo gas wanasema tunafaid wenyewe sijui wana maana gani, au wana maana ya akina fluni..... Sai wanajua njisi gani tunavyolalamika jinsi tulivyoliwa na akina SONGOGAS etc. Anyway, hayo mafuta ya magazetini kila siku waacheni wafaidi peke yao.
 
Bravo Himid, there is no way you can surrender your resources to the Sinclairs.
 
Mafuta sisi tunayo Mtwara na Kinana na Mrope wanajuwa hayo kwani wana kampuni inayoyachimba.
 
Serikali itabidi siku moja watupe data zinazoonyesha mainland(hata naogopa kusema Tanzania) na visiwani tunafaidika vipi na huu muungano. Kama hauna faida kwa nini tuunganganie?
 
Serikali itabidi siku moja watupe data zinazoonyesha mainland(hata naogopa kusema Tanzania) na visiwani tunafaidika vipi na huu muungano. Kama hauna faida kwa nini tuunganganie?
Kuna ukweli usiopingika au kufichika kwamba Serikali ya Jamhuri ya Muungano ina ignore interest za Wazanzibari au haijali interest zao kwa kiwango kinachostahili kama wakiwa ni wabia Wakuu (patners katika Jamhuri hiyo). Sasa kusiwe na maneno ya kutisha au kusimangana. La muhimu ni marekebisho yanayostahili yafikiwe (tena haraka)ili interests za hao wabia zikidhiwe inavyostahili. Zamani walikuwa hawasemi. Lakini sasa wanasema. Ni vyema tuwasikilizieni.
 
Mengi yamesha anza kuibuku kwenye kivuli cha Muungano...

Kwenye Mpira wa Miguu - tumemuona Mhs Shamhuna akijaribu kufunika pale ZFA walipoonesha hawaridhishi na muundo wa sasahivi!

Kwenye Natural Gas and Energy hapako wazi, pamekua panapelekwa kama maji yanavyo jazwa kwenye pakacha

Ulinzi, hapasemeki - kumekua na vijineno vikisema ndio chanzo kizuri cha kuongezea kura wakati wa uchaguzi ili ushindi upatikane!

Hata huo Muungano wenyewe ni haueleweki! Nimefurahi Mhs Pinda aliposema "Muungano wetu ni wa pekee duniani kote - hakuna nchi zilizowahi au wanatumia mfumo wetu wa Muungano" Hapa nafikiri aliogopa tu kusema - kwa watu wenye akilizao duniani hawawezi kuwa na Muungano kama wakwetu!

Poleni Watanzania!

Mungu Ibariki Tanzania...
 
Si mpaka hayo mafuta yawepo... talk about living in fantasy

Ni kweli kabisa. Huwezi kusema una mafuta wakati hujachimba kisima. Fikira duni za kizanzibari zinakera kweli...hawa watu wanalilia Zanzibar iwe nchi kamili ili wafaidi mafuta, wasaidiwe na OIC.....kweli fikra duni. Zanzibar ikijitenga itakufa kifo kibaya jamani...nini kinazalishwa zanzibar? Ingekuwa mimi uwezo wangu ningewaruhusu wawe watakavyo uone kazi...wapemba waingie Bongo kwa visa..mmmh yakheeeee..waua ati.
 
The first correction I would like to highlite here is that Zanzibar indeed withdrew itself from OIC and OIC annual documents stipulate that contrary to what was written that Zanzibar membership stoped because of the rule of soveighrehity. OIC is open to Zanzibar membership and in fact they always argue for resemption of the membership. IDB a Bank under OIC continue to help Zanzibar in the category of non membership.
I think we should know that many countries recognize Zanzibar as COUNTRY and they are eager to help.
Coming back to the issue of sharing of resources I think Union Government erred in the past and it should reap what it has grown

Kuna vitu vinahitaji kuwekwa wazi. Tatizo ni kuwa wa Tanzania Bara (Watanganyika) wanadhana ya kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ni chombo chao -kwa ajili yaopeke yao , eti kwa vile Wazanzibari wana Serikali yao. Hii siyo kweli . Ukweli- ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ni ya Tanzania, kwa ajili ya Watanzania wote (pamoja na wale walioko Zanzibar) Jee kwa kiwango gani inakidhi interest za hao Wazanzibari. Kuingia OIC ilikuwa ni interest yao. Badala ya kuwaeleza kuwa hawawezi kuingia kama Zanzibar kwa sababu hawana sovereignty. Jee Serikali ya Jamhuri ya Muungano ikijua kuwa interst ya Wazanzibari ni Kuingia OIC imekidhi vipi Interest hiyo- hadi hii leo? Kupigana Uganda haikuwa interest ya Wazanzibari (Bali ya Watanganyika). Na wao (Wazanzibari) walipigana -kwa sababu Tanzania iliamua kupigana. Kuhusu sharing resources. Nakushukuru kwa kuwa mkweli. Na mimi nina mawazo kama ya kwako. Hivyo kwa hili la mafuta tuwaachie Wazenj wafaidi yao. Likitokea ( Neema) nyengine tutaweka mfumo wa kugawana.
 
Ni kweli kabisa. Huwezi kusema una mafuta wakati hujachimba kisima. Fikira duni za kizanzibari zinakera kweli...hawa watu wanalilia Zanzibar iwe nchi kamili ili wafaidi mafuta, wasaidiwe na OIC.....kweli fikra duni. Zanzibar ikijitenga itakufa kifo kibaya jamani...nini kinazalishwa zanzibar? Ingekuwa mimi uwezo wangu ningewaruhusu wawe watakavyo uone kazi...wapemba waingie Bongo kwa visa..mmmh yakheeeee..waua ati.
Hizo si duni. Nafikiri wale wanaokazania tuwe na mfumo wa kugawana mapato ya mafuta ndio wenye fikira duni. Wewe unajua kuwa inaeleweka kuwa mafuta yapo katika eneo la Visiwa vya Zanzibar tokea miaka ya 60. Pekua tovuti (KAMA NI MTUNDU). Halafu eti wanakazania sasa hivi tutafute mfumo wa kuagawana mapato ya mafuta na gesi. Mbona Gesi ilianza kuchimbwa lini? huko Songosongo. Kauli za wawe watakavyo si za kujenga. Lakini wakisema wasikilize. Hawakusema zamani sasa wanasema. Na wakisema wote wanakuwa lao moja. Angalia hapo.
 
Huwezi kufananisha na system ya USA kwani wao ni Federal na sisi ni Republic.
Hata hivyo nakubaliana kwenye kuangalia katiba ama tupewe tu Tanganyika na wao wakishaonja joto watajuwa la kufanya.
Kauli kama hizo sijui kama zinafaa. Jee unajua kama ukipewa Tanganyika yako, unaanza from the scratch. Hata ile Ofisi ya Katibu Kata inakuwa chini ya milki ya Kabidhi Wasii. Pole sana. Zanzibar Wana Serikali yao kule ,na Muundo (system) yao iko, tu, very healthy.Sasa nani mwenye kuonja Joto la Jiwe. Muulize Nyerere hayo masuala. Na Jibu alilowajibu G55 hebu lifanyie mapitio.
 
Back
Top Bottom