Yaani zanzibar mawaziri kama wabunge vile,yaani nao huuliza au kuunga mkono hoja badala ya wao kuwa ndio wenye majibu. Hivi hukumu mbili za mahakama kuhusu suala hilo hawajaziona bado?

Kwani tuna utamaduni wa kukubali hukumu za mahkama? Nini kuhusu wagombea huru nayo haijatolewa hukumu mara mbili?
Mara nyingi hukumu hutplewa kwa kufuata vipengere vya mikataba na inategemea uwezo wa kujenga hoja wa anaewakilisha kwenye kesi.
Kwa upande wa kesi inazozitolea mfano ukweli ni kuwa Serikali ya Mapinduzi haikuwa serious kwa vile kesi yenyewe ilikuwa ni mchezo wa kisiasa. Tuulize tukufahamishe namna kesi yenyewe ilivyoendeshwa ili tukuthibitishie hilo. Kwa taarifa yako kumeshafanywa majaribio mengi sana ya Mapinduzi na watu wengi wameshahukumiwa kwa uhaini, wako waliohukumiwa kifo na wakauliwa na wapo waliofungwa na sasa wako huru.
 
Unajua tumechoshwa kweli na haya ya muungano nonesense, hivi hawa watu watachoka lini na huu ujinga wa muungano na kuhamia makao makuu Dodoma,

Yaani mimi I am sick na hivi vitu viwili ambavyo kwa kweli ni waste of time and money kwa taifa letu!

I hope umeshapiga kura ya Muungano uwepo au usiwepo
 
Huu muungano katika mfumo wake, ni moja ya matatizo tuliyorithishwa na Nyerere pasipo ridhaa yetu.
Ni kitu mmerithi kutoka kwa Nyerere. Na ni kitu madhubuti kwa wanaokielewa. Na yeye mwenyewe alitumia muda mrefu kutufahamisha, kwa wenye nadhari walifahamu. Alisema kuna watu katika Muungano huu wana utashi wa kuimeza Zanzibar. Akasema kuna watu katika Muungano huu wana utashi wa kudai madaraka ya kupindukia kwa Zanzibar ama kuitenganisha Zanzibar na kwenda kuiunganisha kwengine. Lakini kwa faida ya Watanzania wajao (watoto) wtu -alisema Nyerere hayo- Tumeweka muundo ambao utalinda |Muungano kutoka na yote hayo. Sasa Muundo uliopo wa Serikali mbili unalinda Muungano. Vyombo viliopo na muundo wake ( Bunge, Baraza la Wawakilishi, Serikali,Na Mahkama) vyote vinalinda Muungano Na tuujadili kwa undani ili utekeleze haki kwa watu wote ipasavyo. Usijali wewe hauvunjiki Abadan.
 

Yeah,nakubaliana na wewe Kuhani kuhusu maoni yako hapo juu,kwanza kabla sijaendelea naomba nikupongeze kwa ustaarabu wako wa namna ulivyofanya critical thinking ya hii kesi,siku zote line of presentation ya argument zako zingekuwa hivyo wala tusingekuwa tunasigana.

Haya back to the point, kesi hii haikuwa ya kikatiba moja kwa moja,ila hapa imekuja kama analog tu inayoweza angalau kufafanua kuwa hata mahakama iliwahi kujiuliza hilo swali iwapo zanzibar ni nchi,na ikatoka na conclusion kuwa kwa kuwa zanzibar sio nchi uhaini hauwezi kuwa committed against kitu kisichokuwa sovereign state kwa maana ya nchi. Hawa wenzetu wazanzibar angalau hili nalo wangekuwa wame-appreciate. Katika kesi ya seif sharif Hamad yenyewe ambayo majaji katika kesi ya machano wameinukuu,main issue haikuwa utata whether zanzibar ni nchi au la?bali uhaini suala la zanzibar kuwa nchi au la lilijitokeza kwenye defense baada ya defense kusema kuwa mteja wao hawezi kuhukumiwa kwa kosa la uhaini zanzibar kwa kuwa zanzibar sio nchi,hapo ndipo mahakama ikabidi ijikite katika hiyo issue kuona kama kweli madai ya defense ni ya kweli.
Hatimaye mahakama iliridhika kuwa zanzibar sio nchi,ruling ambayo ilifanya charges za uhaini zianguke. Vivyo hivyo katika hii kesi ya machano unakuta ni uhaini ule ule na mahakama inasema wazi kabisa kuwa tayari hawa watu walikuwa wako charges huko,hivyo inaamua kujiaddress kwenye suala hilo na yenyewe inatoka na conclusion hiyo. Kwa msingi huo hata seif anapong'ang'ania leo kuwa zanzibar ni nchi wakati yeye mwenyewe alitumia defense ya zanzibar kuwa sio nchi kuachiwa kwenye kesi ya uhaini anaonekana kama kuchekesha vile.
Hata Dr/Aggrey Mlimuka aliwahi kusema kuwa zanzibar sio nchi ni sawa na mkoa wa Dar-es-salaam alipata matatizo sana,wakati komandoo akiwa ni Rais nakumbuka aliitwa kujieleza,lakini yeye alisimamia msimamo wake kuwa zanzibar sio nchi na akanukuu mkataba wa montevideo wa mwaka 1949 unaodefine maana ya nchi.Zanzibar wakajitetea mbona eti wanalo jeshi kama JKU nk,mlimuka alisema iwapo Zanzibar wanasema wanalo jeshi basi angefungua kesi ya uhaini dhidi ya Rais wa zanzibar kwa kuwa anataka kumpindua Rais wa Muungano.Katika argument yake mlimuka alisema kuwa vikosi vya JKU na KMKM sio majeshi kwa yenyewe ni komandi zilizo chini ya JWTZ.Hivyo huwezi kusema zanzibar wana jeshi.Mfano mwingine alioutoa ni wezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.Zanzibar kwa yenyewe bila serikali ya muungano haina uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa hadi sasa bilaridhaa ya muungano na ndio maana ilishindwa kusaini mkataba wa OIC.

Anyway kisiasa zanzibar inaonekana kuwa nchi lakini kisheria zanzibar sio nchi.Pamoja na hayo yote,ngoja tusubiri tuone mahakama ya katiba kama itaundwa nayo itasema nini.
 
Shamhuna ni mwanasiasa... ambaye kuna kitu anakitafuta mwaka 2010.

Ni muungano... ndio unatufanya kuwa na jeuri ya kuita jina "Zanzibar"... Nje ya Muungano... kuna Unguja na Pemba!
 

hahaha
Hilo unalosema linawezekana kabisa kwa kuwa mambo ya siri ya serikali ni mengi bwana.Tena nimepata kuongea na Hakimu aliyekuwa kwenye hiyo kesi ya Seif sharrif ambaye kwa sasa asio hakimu ni wakili pale Dar jengo la NIC investment akikusimulia jisni hizo kesi mbili za uhaini serikali ya zanzibar ilivyokuwa ina interfere hata huwezi kuamini,jaji alikuwa ameshaandaa hukumu yake ili isomwe inayowaachia wale jamaa kwa kusema zanzibar hakuwezi kuwa na kosa la uhaini ilibdi aibadilishe ndani ya saa 1 kutokana na shinikizo la wakubwa hata anaposoma huku anajikanganya,sasa ilipokuja kwenye mahakama ya rufani hapo zenj ndio ikapata big bloe,jamaa akahamishiwa pemba huko,naye si mbara bwana akaamua kuiacha kazi na kurudi zake bongo.
Usicheze na mizengwe ya zanzibar.
 
Ni kichekesho kweli-Ndugu-. Lakini haipendezi ikiwa watu wa katika system(tena wakubwa - kama vile Shamhuna wakajiingiza). Mheshimiwa Pinda ameingia kwa bahati mbaya- inaeleweka. Nakubaliana nawe. Zanzibar si Nchi hivi sasa- Kwa maana ya kuwa haina nguvu za Dola, Nguvu zake za Dola Ime- surrender kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kwa makubaliano maalum ambayo Zanzibar kwa ridhaa yake iliingia na Tanganyika "ambayo hivi sasa pia si nchi na wala haina dola. Nyerere hodari - ametengeneza mfumo huo wa kuifanya Zanzibar -autonomous- ili isisambaratike. Na ikitaka kujitoa katika Muungano iweze (kimsingi) wakati wowote ule. Hatuko huko katika kujitoa na ndio maana ninaunga mkono system iliopo. Kinachogomba katika hiii hii system tuliyonayo -Jee. Zanzibar inapewa haki vilivyo kama system yenyewe inayotamka. Niendelee kukuchekesha. Zanzibar haijawahi kupewa haki sawa kama system inavyotaka hata wakati ule na Nyerere mwenyewe yuko hai.
 
Dola kwa maana ya sovereignty,nationa kwa maana ya taifa,government kwa maana ya serikali. Black's law dictionary inadefine sovereignty kama ifuatavyo
The supreme, absolute, and uncontrollable power by which any independent state is governed; supreme political authority; the supreme will; paramount control of the constitution and frame of government and its administration; the self-sufficient source of political power, from which all specific political powers are derived; the international independence of a state, combined with the right and power of regulating its internal affairs without foreign dictation; also a political society, or state, which is sovereign and independent.

The power to do everything in a state without accountability, --to make laws, to execute and to apply them, to impose and collect taxes and levy contributions, to make war or peace, to form treaties of alliance or of commerce with foreign nations, and the like.

Sovereignty in government is that public authority which directs or orders what is to be done by each member associated in relation to the end of the association. It is the supreme power by which any citizen is governed and is the person or body of persons in the state to whom there is politically no superior. The necessary existence of the state and that right and power which necessarily follow is "sovereignty." By "sovereignty" in its largest sense is meant supreme, absolute, uncontrollable power, the absolute right to govern. The word which by itself comes nearest to being the definition of "sovereignty" is will or volition as applied to political affairs

Kutoka hapa sasa tuone zanzibar ina fall wapi
 
It is our considered opinion that on the basis of this principle of duality and the established fact of exclusive jurisdiction of the Revolutionary Government of Zanzibar over all non-Union Matters in Zanzibar, the only logical conclusion is that sovereignty is divisible within the United Republic. Now, in order to determine which of the two Governments exercises sovereignty over any given matter one has to determine whether or not the matter is Union or non-Union.

SASA WANAUKUMBI HII NI KUONYESHA WAZI KUWA MAAMUZI HAYAKUWA KIAMULIA ZANZIBAR KUWA SIO NCHI BALI NI KUTOWA UAMUZI KUWA UHAINI NI JAMBO LA MUUNGANO KAMA ILIVYOKUWA KWA MAMBO YA NJE.
NI VIZURI SANA KUWA MNATULETEA VITU KAMA HIVI,VINASAIDIA SANA KWANI KWA HUKUMU YA KESI HII NIMEZIDI KUAFIKI KUWA ZANZIBAR NI NCHI NA WALE WANAOTEGEMEA KESI HII KUWA IMEAMUWA KUWA ZANZIBAR SI NCHI ITABIDI WATAFUTE KIELELEZO CHENGINE KUSAPOTI HOJA YAO.
 
Mkataba wa montevideo wenyewe unataja sifa kuu nne zifuatazo za mamlaka kuitwa nchi:-
Population, Territory, Sovereignty, Government

Je,zanzibar inavyo vitu vyote hivyo vinne?
 
Zanzibar haijawahi kupewa haki sawa kivipi?
Naomba kueleweshwa maana si mjuzi sana wa mgao wa haki katika Muungano.
 
Wakuu nimefanikiwa kupata nakala ya huo mkataba wa montevideo hapa
ambao mara nyingi unatumika kimataifa kuelezea sifa na maana ya state

Montevideo Convention on the Rights and Duties of States

Signed at Montevideo, 26 December 1933
Entered into Force, 26 December 1934
Article 8 reaffirmed by Protocol, 23 December 1936

Bolivia alone amongst the states represented at the Seventh International Conference of American States did not sign the Convention. The United States of America, Peru, and Brazil ratified the Convention with reservations directly attached to the document.




CONVENTION ON RIGHTS AND DUTIES OF STATES

The Governments represented in the Seventh International Conference of American States: Who, after having exhibited their Full Powers, which were found to be in good and due order, have agreed upon the following:



Article 1

The state as a person of international law should possess the following qualifications: (a) a permanent population; (b) a defined territory; (c) government; and (d) capacity to enter into relations with the other states.



Article 2

The federal state shall constitute a sole person in the eyes of international law.



Article 3

The political existence of the state is independent of recognition by the other states. Even before recognition the state has the right to defend its integrity and independence, to provide for its conservation and prosperity, and consequently to organize itself as it sees fit, to legislate upon its interests, administer its services, and to define the jurisdiction and competence of its courts.
The exercise of these rights has no other limitation than the exercise of the rights of other states according to international law.



Article 4

States are juridically equal, enjoy the same rights, and have equal capacity in their exercise. The rights of each one do not depend upon the power which it possesses to assure its exercise, but upon the simple fact of its existence as a person under international law.



Article 5

The fundamental rights of states are not susceptible of being affected in any manner whatsoever.



Article 6

The recognition of a state merely signifies that the state which recognizes it accepts the personality of the other with all the rights and duties determined by international law. Recognition is unconditional and irrevocable.



Article 7

The recognition of a state may be express or tacit. The latter results from any act which implies the intention of recognizing the new state.



Article 8

No state has the right to intervene in the internal or external affairs of another.



Article 9

The jurisdiction of states within the limits of national territory applies to all the inhabitants.
Nationals and foreigners are under the same protection of the law and the national authorities and the foreigners may not claim rights other or more extensive than those of the nationals.



Article 10

The primary interest of states is the conservation of peace. Differences of any nature which arise between them should be settled by recognized pacific methods.



Article 11

The contracting states definitely establish as the rule of their conduct the precise obligation not to recognize territorial acquisitions or special advantages which have been obtained by force whether this consists in the employment of arms, in threatening diplomatic representations, or in any other effective coercive measure. The territory of a state is inviolable and may not be the object of military occupation nor of other measures of force imposed by another state directly or indirectly or for any motive whatever even temporarily.



Article 12

The present Convention shall not affect obligations previously entered into by the High Contracting Parties by virtue of international agreements.



Article 13

The present Convention shall be ratified by the High Contracting Parties in conformity with their respective constitutional procedures. The Minister of Foreign Affairs of the Republic of Uruguay shall transmit authentic certified copies to the governments for the aforementioned purpose of ratification. The instrument of ratification shall be deposited in the archives of the Pan American Union in Washington, which shall notify the signatory governments of said deposit. Such notification shall be considered as an exchange of ratifications.



Article 14

The present Convention will enter into force between the High Contracting Parties in the order in which they deposit their respective ratifications.



Article 15

The present Convention shall remain in force indefinitely but may be denounced by means of one year's notice given to the Pan American Union, which shall transmit it to the other signatory governments. After the expiration of this period the Convention shall cease in its effects as regards the party which denounces but shall remain in effect for the remaining High Contracting Parties.



Article 16

The present Convention shall be open for the adherence and accession of the States which are not signatories. The corresponding instruments shall be deposited in the archives of the Pan American Union which shall communicate them to the other High Contracting Parties.
IN WITNESS WHEREOF, the following Plenipotentiaries have signed this Convention in Spanish, English, Portuguese and French and hereunto affix their respective seals in the city of Montevideo, Republic of Uruguay, this 26th day of December, 1933.



Reservations

The Delegation of the United States of America, in signing the Convention on the Rights and Duties of States, does so with the express reservation presented to the Plenary Session of the Conference on December 22, 1933, which reservation reads as follows:

The Delegation of the United States, in voting "yes" on the final vote on this committee recommendation and proposal, makes the same reservation to the eleven articles of the project or proposal that the United States Delegation made to the first ten articles during the final vote in the full Commission, which reservation is in words as follows:

"The policy and attitude of the United States Government toward every important phase of international relationships in this hemisphere could scarcely be made more clear and definite than they have been made by both word and action especially since March 4. I [Secretary of State Cordell Hull, chairman of U.S. delegation] have no disposition therefore to indulge in any repetition or rehearsal of these acts and utterances and shall not do so. Every observing person must by this time thoroughly understand that under the Roosevelt Administration the United States Government is as much opposed as any other government to interference with the freedom, the sovereignty, or other internal affairs or processes of the governments of other nations.

"In addition to numerous acts and utterances in connection with the carrying out of these doctrines and policies, President Roosevelt, during recent weeks, gave out a public statement expressing his disposition to open negotiations with the Cuban Government for the purpose of dealing with the treaty which has existed since 1903. I feel safe in undertaking to say that under our support of the general principle of non-intervention as has been suggested, no government need fear any intervention on the part of the United States under the Roosevelt Administration. I think it unfortunate that during the brief period of this Conference there is apparently not time within which to prepare interpretations and definitions of these fundamental terms that are embraced in the report. Such definitions and interpretations would enable every government to proceed in a uniform way without any difference of opinion or of interpretations. I hope that at the earliest possible date such very important work will be done. In the meantime in case of differences of interpretations and also until they (the proposed doctrines and principles) can be worked out and codified for the common use of every government, I desire to say that the United States Government in all of its international associations and relationships and conduct will follow scrupulously the doctrines and policies which it has pursued since March 4 which are embodied in the different addresses of President Roosevelt since that time and in the recent peace address of myself on the 15th day of December before this Conference and in the law of nations as generally recognized and accepted".

The delegates of Brazil and Peru recorded the following private vote with regard to article 11: "That they accept the doctrine in principle but that they do not consider it codifiable because there are some countries which have not yet signed the Anti-War Pact of Rio de Janeiro 4 of which this doctrine is a part and therefore it does not yet constitute positive international law suitable for codification".

Sasa inategemeana je, na sisi ni state parties kwenye huu mkataba?japo pamoja na yote mi nashaiwshika kuamini kuwa zikipatikana hzo nyaraka zenye sahihi ya karum na nyerere kila kitu kitakuwa kimekwisha huenda.
 
Zanzibar is not a soverign state! Na ndo tatizo lilipo. Kuna mtu ameuliza kama kuna tafsiri ya neno "soverign" katika Kiswahili, kwa maoni yangu neno hilo linakaribiana na neno Dola! Zanzibar yaweza kuwa na vitu vyote vya kidola lakini haiwezi kujiamulia katika masuala ya Kimataifa, ulinzi na usalama pia. So waache mdomomdomo! Why cnt we just let them quit the union na tutengeneze federation ya pamoja EAC! Mimi naiona Zanzibar kama a liability partner to the Union. Sasa wameanza kusema hata mafuta siyo suala la muungano!
 
Muungano ukivunjika ndo watajua kuwa Tanganyika ilikuwa na manufaa kwao kuliko wanavyofikiria! In the alternative, Zanzibar iwe mkoa kama ulivyo Rukwa au Tabora
 
Maneno matupu hayavunji mfupa ila sasa wanaanza kuchosha. Wakati taifa linakabiliwa na matatizo makubwa ya kiuchumi yanayoathiri pande zote mbili, watu wanakaa lupoteza muda kujadili tafsiri ya maneno kutoka lugha ya Kiingereza kwenda Kiswahili.

Hii kweli ndio Tanzania.

Hawa wanasiasa wanaoendeleza huu mjadala, wanakwepa majukumu yao kwa wananchi wao.Fanyeni kazi kusaidia taifa lipige hatua hili.

Huko visiwani, Karume na Hamad wanajua kabisa hizi zote ni kelele tupu tu, ngoja UNDP waingilie kati wawaambie hali halisi, wote watafyata tu!.
 
Muungano ukivunjika ndo watajua kuwa Tanganyika ilikuwa na manufaa kwao kuliko wanavyofikiria! In the alternative, Zanzibar iwe mkoa kama ulivyo Rukwa au Tabora
Tumshukuru Baba wa Taifa(Nyerere). Aliwaona nyote nyie mapema- Mtakaokuja kudai kuimeza Zanzibar. Sasa wewe utashi wako hasa Zanzibar iweTarafa la Mwanarumango- Umeula na Chuwa. Nyerere kaweka system Bwana- Muungano hauvunjiki, Zanzibar itabaki milele (kama nchi). Zanzibar itakuwa siku zote na hatamu mkononi kuamua. Ama kubaki katika Muungano au kuondoka. Zanzibar haitamezwa asilani. Hivyo vitu (na zaidi )alivisimamia Nyerere. He is a "Honorary" Zanzibari. Mkoa wa Rukwa ni Mkoa, na Zanzibar ni sehemu (lakini pia ikiwa ni nchi) katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- Kiswahili hicho . Jee unafahamu?
 
Tuvunje bwana, kwani muungano una faida gani kama sio lawama na chuki tu kati yetu na hawa wanaoitwa wazanzibari? watu wenyewe hatufaidiki nao halafu tunajikomba kwao, kwani tumekosa nini? you think we need them more than they need us, or they would need us more than we need them? tupilia mbali huko bwana.
 

iWAPO TUNAZUNGUMZIA mUUNGANO WA zANZIBAR NA tANGANYIKA HUWEZI KUFANANANISHA NA ULE WA mAREKANI.
TATIZO LETU NI KUWA TULIPOAMUWA MUUNGANO TULIAMUA MUUNGANO WA KINYERERE SIO MUUNGANO WA VIGEZO VYA KIMATAIFA.
NIKUBALIANE NA WEWE KUWA TUUFATE ULE WA KIMAREKANI BAHATI MBAYA HATA HIYO SERIKALI YA MUUNGANO HAIFUATI HAYO.
MIMI SIJAFIKA MAREKANI LAKINI NINAVYOSOMA NI KUWA SERIKALI KUU NDIO MUHIMILI WA SHUGHULI ZOTE IKIWAMO ULINZI,UCHUMI NA KADHALIKA. KWA UPANDE WETU ZANZIBAR INAJITEGEMEA KABISA KIUCHUMI NA INAPOTOKEA MAJANGA HUKO ZANZIBAR HUSHUGHULIKIWA NA SMZ PEKEE WAKATI MAREKANI SERIKALI KUU INAINGILIA KATI.
HII NI KUONYESHA KUWA MUUNGANO WETU SI ULE WA MAREKANI NA HIVYO KUTOLEA MFANO NI KUPOTOSHA MJADALA.
WANACHOTAKA ZANZIBAR KIELEWEKE NI KUWA WAO WANAJITEGEMEA KWA KILA HALI KIUTAWALA NA KIUCHUMI. UTADAIJE MKE AU MTOTO NA USITOWE HUDUMA WANAZOZISTAHIKI NA BADALA YAKE WANACHOCHUMA WAO UDAI KUWA NI CHAKO ETI ETI ETI umeowa.
NATUKAE CHINI TUUTENGENEZE MUUNGANO WA HAKI NA WAJIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…