Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Najuwa wengi wetu tunasema Zaznibar sio nchi haya twende, fikira zangu naon Wazanzibari wanachosema nyuma ya pazia ni kuhudumia muungano pasipo Tanganyika kugharimika, kwani linapokuja la Tanganyika kuhudumia wanaingia kwa mlango wa nyuma na kusema wao ni SMT, lakini linapokuja suala la madini na TFA wao ni Tanganyika sasa hapo wengi hawapaoni, kumaliza mzozo huu ni bora Tanganyika wawe na serikali yao na Zanzibar wawe na yao na mwisho kuweko na serikali ya Muungano ambayo itasimamia mambo ya Muungano
Zanzibar wana wizara ya Ujenzi na Bara wana wizara ya Ujenzi linapokuja suala la mkanfari kujisajili wizara ya ujenzi ya Bara inasema lazima ajisajili Bra ingawa mkandarasi anfanya kazi zake Zanzibar hapo linaingia suala la Muungano lakini mkandarasi yuleyule akifanyashughuli zake bara hawezi kujisajili Zanzibar nafikiri mutanielewa kwahpo,

Tatizo ni majukumu yepi ya Muungano yepi ya Tanganyika na yepi ni ya Zanzibar
 
Hivi vizanzibar ni kuvipiga chini viende zao huko. kwanza wanatuletea jasho hapa Dar, wapemba wote piga chini wafunge maduka walale mbele waende wakafungue kule pemba kusikokuwa na hela.
 
Unasahau ya kwamba vyote hivyo viko Bara, vinalipiwa kwa kiasi kikubwa na wabara, vinawaajiriwa wengi kutoka Bara, vingi vinaendeshwa na wabara etc.

Kimsingi ni kwamba nakubaliana na unavyosema ya kwamba kutahitajika kuwa na namna moja au nyingine ya kugawiana mali, hili ni suala ambalo halipingiki.
Umekuwa unajenga hoja ya kwamba Tanganyika itabidi waanze upya, waanze upya kivipi? Rejea ufunguzi wangu, karibia kila kitu kiko Tanganyika, mifumo yote ipo.
Cha kubadilisha ni kuondoa jina tu la "Muungano wa Tanzania" na kuweka "Tanganyika" au jina lolote lile watakalo kubaliana au kuchagua la kuwakilisha wabara!.
Unavyosema ni sahihi kabisa.,Lakini katika mgogoro hiyo ni mali ya mgogoro (ya patnership) Inazuiliwa na msuluhishi. Ambaye ataamua jinsi ya kugawa. Utaratibu huo unaweza kuchukua miaka. Hapo -Tanganyika itaibuka kutokea wapi na kila kitu kipya. Itabidi Tanganyika ipigie magoti Zanzibar iruhusu mali iliyokuwa ya Jamhurimya Muungano wa Tanzania irudishwe Tanganyika. Upo hapo tutawapigia magoti -tena.
 
.. Raza aliwaambia waandishi wa habari kuwa amesikitishwa na kauli zinazotolewa na viongozi wa serikali wanaotaka suala hilo sasa kupelekwa katika CCM huku serikali mbili zilizohusika katika Muungano zikiachwa. “Huyu Hiza (Tambwe) ni nani katika CCM...yeye yupo tu kwa ajili ya kujipatia riziki yake…. aache kusema hovyo wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wanao uhuru kamili katika suala hilo,” alisema Raza.

Nadhani hapa Raza alipitiliza na inabidi ahojiwe tena kuhusu kauli hii, ina maana hamtambui Hiza ni nani katika chama chake? au anataka kutudhibitishia kuwa CCM ni "mrundikano wa wachumia tumboni"!!
 
ukishasema Some Aspets Hapo Ndio Utata Unapoanzia Kwani Hata Huo Mkataba Wa Montevideo Hausemi Some Aspects Unasema Sovereignty, Hivyo Sovereignty Hii Inatakiwa Kuwa Full,na Ndio Maana Hata Tanganyika Kabla Yakuwa Jamhuri(republic) Mwaka 1961 Bado Haikuwa Sovereign Kwa Kuwa Ilikuwa Bado Inamtambua Queen Kama Mkuu Wa Nchi Australia Hadi Leo,visiwa Vile Vinavyotawaliwa Na Uingereza Hali Kadhalika,japo Bado Vina Aspect Of Sovereignty.

Nadhani Kama Ulivyoisema Hapo Awali Labda Main Issue Iwe Je,hizo Some Aspects Of Sovereignty Walizoretain Je Wana Full Exercise? Bado Sio Nchi Kwa Kuwa Haina Full Sovereignty.mamlaka Ya Rais Wa Zanzibar Hayatofautiani Na Ya Kandoro Pale Dar Kwani Rais Wa Zanzibar Anazo Wizara Wakati Kwa Kandoro Zinaitwa Idara,kandoro Ana Some Aspects Of Sovereignty Akiwa Mkoani Kwake Dar Ahali Ambayo Hata Karume Ndio Ilivyo,mambo Mengine Hadi Asubiri Mkuu Wa Kaya.kandoro Mwenyewe Anaweza Kuamru Jeshi La Polisi Mkoani Kwake Kufanya Chochote Linachoweza Kufanya Ila Hawezi Kuamuru Jwtz Vivyo Hivyo Karume Hawezi Kuamuru Jwtz Haya Nadhani Ndio Yanayoleta Huu Utata.

Hata Hivyo Kama Ilivyokwisha Semwa Kwenyhukumu Ya Akina Machano Hapo Chini Mahakama Yenyewe Ilishaona Kuna Utata Kati Ya Vipengele Vya Katiba Ya Zanzibar Naile Ya Muungano Kuhusu Sovereignty Na Kutoa Ushauri Kwa Serikali Mbili Zikae Na Kuondoa Hizo Tofauti Lakini Cha Kushangaza Hadi Leo Hawajakaa Ndio Pinda Anaibuka Bungeni Kusema Two Ags Wakae Kuangalia Namna Ya Kuondoa Huo Utata.

Believe Me Two Ags Hawaiwezi Hii Kazi,inahitaji Zaidi Ya Hao.yatakuwa Kama Yale Yle Ya Mwafaka Kati Ya Cuf Na Cuf Oooh Sani Zamakatibu Wa Kuu Hazitoshi Kuamua .....nk

Kwanini Unakazania Mikataba Ya Nje Wakati Hatukufanyia Reference Mikataba Hiyo Wakati Tunaamua Namna Ya Muungano Wetu. Unajuwa Tatizo Ni Kuwa Upande Mmoja Unakimbilia Makaratasi Na Mikataba Na Upande Mwengine Una Vielelezo Kamili Vya Namna Muungano Huu Ulivyokubaliwa.

Muungano Wetu Ulikuwa Na Makubaliano "articles Of Union" Iliyokuwa Ni Makubaliano Halisi Ya Muungano Na Tunapokuwa Na Matatizo Basi Turudi Kwenye Article Hiyo.

Kwanini Tunalumbana Na Kutafuta Mifano Ya Nje Wakati Makubaliano Yetu Yapo? Tunaogopa Nini Na Kubaki Kutishana Na Tufate Article Na Sio Kusema Huyu Dhaifu ,huyu Haini Huyu,mpenda Madaraka.
Ulimwengu Umebadilika Kiasi Kikubwa Kwamba Hata Hiyo Mikataba Ya Kimataifa Inapoteza Umaarufu Wake Kwani Mambo Na Hali Za Mambo Hayo Ni Tofauti Na Kila Mmoja Anaangalia Kile Kinachomfaa.

Tutatoka Nje Ya Mada Bure Lakini Cha Kuzingatiwa Hapa Ni Kuwa Upande Mmoja Wa Muungano Unataka Mabadiliko Hivyo Busara Kujadili Kipi Kitachofaa Kwa Pande Zote Mbili.
 
Mnakosea mnaposema CCM na CUF wana msimamo mmoja ,hawa ni mahasimu wa kisiasa CCM ni Chama Tawala na CUF ni Chama mbadala ikiwa mambu ya uchaguzi yatakwenda katika usawa na haki, natumai hilo halina mjadala.
Suala la Zanzibar ni nchi au sio Nchi kitaifa linawahusu Wananchi wote wa T/Bara na T/Visiwani na mnapolielekeza kwa CCM na CUF basi Mheshimiwa Mizengo Pinda hakukosea aliposema atalirudisha CCM na mambo kama haya yenye mguso wa Kitaifa CCM hupendelea kuyarudisha kwa Wananchi wakati hiki ni kiungo cha harakati za mwanzo mwanzo za siasa za CUF walipoanza kujijenga kwa wananchi kudai kwa uvumi kura ya maoni,jambo ambalo limewapandisha chati CUF.
Ukiangalia kwa kina CUF wamekuwa wa mwanzo kuipigia makelele kauli ya Mheshimiwa Pinda na kwa nguvu zao zote na jazba na maneno yanayoingia ndani ya mioyo ya Wazalendo wote wa Zanzibar ,kwa mkutano wao huo CUF wameiteka Zanzibar yote na hakuna atakaesalia CCM ikiwa CCM watashikilia Zanzibar si nchi kipigo kwa CCM kitatokea kwenye uchaguzi mwengine Mkuu wa 2010 ,hapo wahafizina wamepaona na wapo katika kujipapatua kwa kauli zao zote hata wakionekana wanakwenda kinyume na Utawala na sera za CCM na wapo tayari kutangaza mgogoro wa Kikatiba ikiwa hawataelewana alimradi wanajaribu kujivuta kwa wananchi liwalo na liwe ,Mh.Pinda amewaumiza vibaya sana na kuwapa wakati mgumu wahafizina aidha naweza kusema ameiweka pabaya CCM katika mawazo ya waZanzibari na CUF wakazidi kupigilia msumari hapo hapo.
Sasa utaona CUF wamekaa kando wakikusanya data za malumbano na kuzifanyia usanii mwengine wakiibuka na mkutano ambao unatarajiwa kufanyika Pemba wakati wowote kuanzia sasa ,basi watazidi kuyatatanisha mambo na CCM wanaweza kufikia kukamatana mashati kati ya wale wa Butiama na Wahafidhina wa Karume kutoka kisiwandui.
Kuna hatari ya Tambwe Hiza akazidisha matatizo ndani ya CCM,CCM wasipomwangalia na hizo anazoziita propaganda zake anaweza nae akaongeza sumu kati ya CCM/bara na CCM/Zanzibar ,kumbuka huyu alikuwa ni CUF asietishika na anaweza kabisa akawa yupo tayari kwa lengo maalum ambalo ni vigumu akina vingunge kulielewa kwani Tambwe ameshayafahamu masuali hivyo atakuwa ameshavuka nusu mtihani na huenda akaonekana nyota ndani ya CCM kumbe something is underground.
 
Nafikiri Shamuna katumwa na Karume atoe tamko hioli, ila inasikitisha kw amtu kama yeye au kwa serikali ya ZMZ kutumia lugha kuwa hatishwi mtu? hivi ni wapi Pinda au Kikwete wametisha watu? kwa wachunguzi wa mambo, toka JK aingie madarakani utaona Karume amekuwa anakwepa saana mikutano iliyo mingi inayoitishwa na Jk hata akiwepo utaona jinsi anavyomtizama JK ni kwa dharau fulani, lakini wakati wa dume la nyani (Mkapa) alikuwa anamheshimu mno. Nafikiri hata hii kauli ingekuwa wakati wa BWM angefyata kuizungumza. Lakini cha busara na kufuatana na hali iliyopo ipigwe kura ya maoni Zanzibar kama wanataka muungano. Kama hawataki waje wambembe na Jumbe wao kwanza mzigo kwa muungano tunmlipa kila kitu na kwa nini asipate pension yake kama rais wa Zanzibar?
 
Tatizo mnalo nyie machogo yaani mi nawashangaa sana vipi mnangangania Muungano,na kwa nini hamtaki iwepo Tanganyika huru,ni suala dogo tu ,nimeshangaa kuwa mmewafichua mafisadi kwa nguvu na mabomu makubwa makubwa(mabomu ya pilipili ,yaani jamaa akimaliza mwasho anaendelza ufisadi) na nyie mmedumaa,sasa mnashindwaje kulipua bomu la kikwelikweli ambalo lipo na utambi umechomoza kinachohitajika ni kupiga kiberiti tu na bomu la kweli kulipuka ,tunaitaka Tanganyika itoke katika serikali ya Muungano ,kusema wapemba waondoke hiyo sio dawa mtakuwa hamna tofauti na hekaya za WaSouth Africa ,hapa kuna kamchezo kanako chezwa na mafisadi,mafisadi wameihamisha mada yao na kuipeleka kwenye tatizo la Muungano ,magazeti vyombo vya habari na wakulu waote sasa wanajadili hilo ,Pinda amepindisha au hamuoni hapo.
Dawa yao hawa ni kuwasha utambi na kulipuwa muone watakavyozidi kuchanganyikiwa maana WaTanganyika itabidi wafanye uchaguzi Mkuu kupata timu mpya ya kuiongoza ,ukiangalia wananchi bado wamo kwenye vita vya mwazo makali na CCM mafisadi kwa kweli nauona ushindi wa che kwa vyama vya upinzani Tanzania kama wataamua kuisambaratisha serikali ya Muungano kwa kuidai Tanganyika na utakuwa ni mwanzo mpya wa kuijenga Tanganyika.La kama mtangangania muungano ndio baba ndio mama ,sijui waasisi wamefanya kazi ya ziada kuunda na mafisadi nao wakiongezea kuchomekea wakisema tutaulinda kwa nguvu zetu zote na ni CCM tu wanaosikika wakisema basi mjue kama wana mipango ya siri na faida kwa maslahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotaka ionekane,basi mjue mtabaki kuwekwa kwenye mawazo ya mafisi na mafisadi hawa.Ole wake asietaka kurudi kwa Tanganyika atabaki kuwa ombaomba wa maisha yaani mpaka mwisho wa dunia ,hakuna ya tamaa ya maisha bora wala bata.
 
Nadhani ni muhimu kwa watanzania kujenga tabia ya kujadili kuhusu ishu nzito badala ya kuzikimbia . Nadhani kuna haja ya kuomba mawazo ya wananchi kuhusu aina ya muungano wao wanaoutaka . Ila nimeshtushwa sana na viongozi wa CCM Zanzibar kujifanya wako mbele kudai nchi ya Zanzibar na wengine wametishia kuuvunja muungano kama maoni yao hayatasikilizwa .

Ni viongozi hawa hawa ambao wamewa-opress watu wa Pemba for years now , pia ingawa hawakushinda hata kiti kimoja huko Pemba wamekataa kabisa serikali ya mseto . Sasa swali la kujiuliza hapa jee ZANZIBAR itaweza kusurvive kama ZANZIBAR nje ya muungano ?

Mimi naona kuvunjika kwa muungano kutakuwa ni recipe ya kuanzishwa nchi mbili nazo ni Unguja na Pemba.
 
Kwanini Unakazania Mikataba Ya Nje Wakati Hatukufanyia Reference Mikataba Hiyo Wakati Tunaamua Namna Ya Muungano Wetu. Unajuwa Tatizo Ni Kuwa Upande Mmoja Unakimbilia Makaratasi Na Mikataba Na Upande Mwengine Una Vielelezo Kamili Vya Namna Muungano Huu Ulivyokubaliwa.

Muungano Wetu Ulikuwa Na Makubaliano "articles Of Union" Iliyokuwa Ni Makubaliano Halisi Ya Muungano Na Tunapokuwa Na Matatizo Basi Turudi Kwenye Article Hiyo.

Kwanini Tunalumbana Na Kutafuta Mifano Ya Nje Wakati Makubaliano Yetu Yapo? Tunaogopa Nini Na Kubaki Kutishana Na Tufate Article Na Sio Kusema Huyu Dhaifu ,huyu Haini Huyu,mpenda Madaraka.
Ulimwengu Umebadilika Kiasi Kikubwa Kwamba Hata Hiyo Mikataba Ya Kimataifa Inapoteza Umaarufu Wake Kwani Mambo Na Hali Za Mambo Hayo Ni Tofauti Na Kila Mmoja Anaangalia Kile Kinachomfaa.

Tutatoka Nje Ya Mada Bure Lakini Cha Kuzingatiwa Hapa Ni Kuwa Upande Mmoja Wa Muungano Unataka Mabadiliko Hivyo Busara Kujadili Kipi Kitachofaa Kwa Pande Zote Mbili.

Ukidai hizo article wakupe kama zilivyo na hilo karatasi walilosaini karume na nyerere utaona wanavyojigonga gonga,hakuna mtu aliye tayari na ndio maana unakuta kila mtu anajaribu lake.
 
Mwiba,
Tatizo mnalo nyie machogo

Mwiba at least leo umekuja na rangi yako.. maneno yako hayana tofauti kabisa na Kaburu na hakika Zanzibar itaendela kuwa chini ya Bara kwa nguvu zote...
Cha ajabu ni kwamba nyie Wa-Comoro (wa kuja) wahamiaji Zanzibar ndio wenye mdomo sana nadhani ipo haja ya kuwarudisha kwanza kwenu ambako tumewafunga kamba za mbuzi.
Hivi mkuu umewahi kujitazama ktk kioo kuangalia mabichwa yenu yasiyokuwa na kisogo jinsi yalivyoishinda uzito shingo? au huwa unatazama zile pua za kiarabu ambazo hazina sifa zaidi ya kuitwa mipua!
 
..mwiba & co,

..nauliza kidogo, nyie mwafikiri bila muungano zanzibar itakuwa kitu gani?

..mtaweza kaa pamoja? au mtachinjana tena......"mapinduzi daima"?
 
Hivi vizanzibar ni kuvipiga chini viende zao huko. kwanza wanatuletea jasho hapa Dar, wapemba wote piga chini wafunge maduka walale mbele waende wakafungue kule pemba kusikokuwa na hela.

..wengine hatuna muda huo wa kupoteza. wakishatoka kwenye muungano watajipiga wenyewe.
 
Haya ni maneno ya Salmin, sio Karume kwa sababu anajua kuwa kupewa kwake urais na Bara-CCM ilikuwa ni kumpiga vita, mgombea wa Salmin yaani Dr. Bilali na ule urais alipewa bure kwa hiyo hawezi kuwa-cross waliompa, halafu pia anajua wazi kuwa aliyonayo ni nafasi ya Ali, sio yake!

Hapa kwenye hili la Shamuhuna, hata Karume hana ubavu kwa sababu kule Butiama kidogo Karume akubali, ni hawa kina Shamuhuna na Salmin ndio walioweka mguu chini na ndio wanaokataa ishu ya wagombea huru,

Sasa nchi liyojiunga yenyewe kwenye Muugano na nchi nyingine, inaendelaje kuwa nchi tena ndani ya muungano? Naona maneno mengi ya shule, lakini I thought ishu ni smple politics kuwa huwezi kuwa nchi kamili ukiwa ndani ya muungano na nchi nyingine, au kuna something ninamiss hapa?
 
NAFIKIRI UNAKOSEA KUWATILIA MANENO MDOMONI WAZANZIBARI. WAO HAWAJATAKA WIZARA YA MAMBO YA NJE AMBAYO NDIO MSINGI WA KUWA SOVEREIGN STATE, WANACHOSEMA WAO NI NCHI AMBAYO SOVEREIGNTY YAKE IMECHUKULIWA NA SERIKALI YA MUUNGANO. KATIBA NI MAKUBALIANO NA WALA SI UNIVERSAL ENTITY KWA MATAIFA YOTE NA NDIO MAANA KILA TAIFA HUWA NA KATIBA YAKE.
SISI TULIKUBALIANA KUWA ZANZIBAR ITAKUWEPO KAMA NCHI LAKINI ITAKASIMU MADARAKA YAKE KWA SERIKALI YA MUUNGANO and that is it.
Comparisons and qoating of others will not help us here. we have to abide to what we had agreed even if ours is a peculiar union.

Zanzibar haiwezi kuwa a sovereign state ndani ya another sovereign state! Kuna nchi moja tu ambayo ni sovereign nayo ni Tanzania.
 
..mwaka 1964 mabalozi wa Tanganyika na Zanzibar UN walimtaarifu Katibu Mkuu UN kwamba wanasalimisha viti vyao na kuwa na kiti kimoja UN.

..hivi tendo hilo katika siasa na utambulisho wa kimataifa lilikuwa na maana gani?
 
..mwaka 1964 mabalozi wa Tanganyika na Zanzibar UN walimtaarifu Katibu Mkuu UN kwamba wanasalimisha viti vyao na kuwa na kiti kimoja UN.

..hivi tendo hilo katika siasa na utambulisho wa kimataifa lilikuwa na maana gani?

Hilo tendo lilikuwa la nia safi kwa Upande wa Zanzibar ila upande wa pili walikuwa wamejivisha ngozi ya kondoo ambayo sasa manyoya yake yameanza kuexpire ,na ule ukondoo unaanza kuondoka unakuja uchatuchatu si umesikia wanataka kuimeza.Ili mafisadi wapate kuiba na mafuta yao
 
Back
Top Bottom