Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Ok muungano sio hoja hoja ni muungano upi unafaa serikali ngapi ,Kwa nini wenzetu wawe na Raisi Bunge nk inamaana sisi tunajipendekeza au Shida yetu kisiwa au Tunanufaika na nini?
 
Alaf kumbk wanaotak kuvnj muungano ni chadem co ccm.

ccm wataulinda muungano,wa serikali 2, kwa gharama yoyote hata kama kugawa nusu ya ardhi kwa zanzibar! bila serikali 2 ccm haitashinda zanzibar, na bila serikali 2 viongozi wabovu hawawezi kuingia ikulu magogoni! zanzibar wamepata mafuta na gesi utegemezi wao kwa bara bye bye! viongozi bara wanawahitaji wajumbe wa nec toka zenj kupitisha mambo yao! ngoma hiyo, upo?
 
Yani unauliza nisheria gani itakayo piga marifuku wazanzibar kumiliki ardhi Tanganyika wakati kunasheria inayowazuiya watanganyika ardhi zanzibar. We ngoja Serekali ya Tanganyika Itakapo kuja na kimbunga 2.0 na wazanzibar, wakenya, watwanda wote wahamiaji haramu.

kutaka serikali tatu sio kuvunja bali ni kuuimalisha..
 
"Tungejua kama hali ya aina hii itajitokeza, basi tungeanza na kura ya maoni, tungewauliza wananchi kama wanautaka muungano na kama ndiyo, basi uwe wa aina gani au serikali ngapi, mtu angesema moja, mbili, tatu na kadhalika," alisema Pinda jana kwenye Viwanja vya Bunge mjini hapa.
 
muungano1bc.jpg


KATUNI168.jpg

muafaka.jpg


Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.

Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional reforms".

Kwa upande wangu sikubaliana na ufumbuzi waliofikia kwa 100%
Check this out:

1) mineral and oil exploration be co-opted into the national debate on the future of the political federation.

-debate is good but mineral and oil exploration should not be political.

2)Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) should have an equal number of representatives from either side.

-Equal number kwa vigezo gani? Idadi ya watu? Tuelezene mlivyokuja na hiyo soultion equal number of people.

3)consultant on the distribution of wealth generated through mining and oil extraction be hired to advise the Union government on how it can be shared equitably.

-Please kama ni hivyo na huo muungano hatuutaki. For what?

4)It was decided that 50 per cent of the income would be used to finance the operations of the authority and the other 50 per cent be distributed on the basis of 60 per cent for the Mainland and 40 per cent for Zanzibar.

-Hivi hizo hesabu mnafanyaje? How did you come up with 60%, ardhi, watu,?????

Najua watanzania hawataki kuongelea muungano wakiogopa mizimu ya Mwalimu. Kwa upande wangu kuna mambo mawili tu hapa ambayo yanaweza kuleta ufumbuzi wa kudumu kwanza kuuvunja muungana na Zanzibar ikawa nchi kama ilivyo Kenya na tutaendelea kushirikian nao kama tunavyoshirikiana na Kenya, au Zanzibar uwe mkoa. zanzibar kuna watu wasiozidi 3 mil wakati mkoa wa Dar tu una watu 4 mil. Hapo utajiuliza ni kivitu tugawane nusu kwa nusu?

Kama watu hamtaki kuongela hili sual basi mwezi October linaingia kwenye katiba.

10ibejk.jpg&t=1


i477_usainiwamkataba.jpg


16ljmh1.jpg

0000126865_0008.gif

0000126865_0009.gif

0000126865_0010.gif

0000126865_0011.gif


utiajisaini.jpg

Mkataba wa makubaliano ya kuanzisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukisainiwa mwaka 1964.

Mkataba wenyewe (uliosainiwa) umeambatanishwa kama attachment.

Muungano uvunjwe, binafsi sioni faida yake
 
Asiependa muungano aame nchi. Cc ni watanzania hakuna mtanzania bila tanzania.



jeee kuna TANZANIA. BILA YA KUWA NA TANGANYIKA NA ZNMANZIBAR?
Acha kubwabwaja kama hujui kasome kwanza.
wewe hunatofaut na yule aluesema TANZANIA ni muungano wa PEMBA NA ZIMBABWEEE!!!!!!!
 
Jibu ni tusiuvunje, tuuboreshe.
Lakini hatuwez kuuboresha kwa S2 tutabaki palepale. Suluhisho ni S3 jambo S1 ingekuwa bora zaidi ila wenzetu kule Ungaja et al Pemba hawataki kusikia hiyo S1.
 
Unatuusu mini watanganyika

hamjijui watanganyika coz kukumbatua ilo jina tu la Tanzania ni wazi kua ninyi ni wadumishi wa muungano. jiulizr nini abbrive ya TAN and ZAN
Au wew wajua hilo no jina la babu yako?
mo kila siku nashanhazwa na baadh ya watanganyika easiojielewa wanakataa muungano but still wanajiproud to be Tanzanian. shame on you
proud ur NATIONALITY LOV UR TANGANYIKA NA USIWE MTUMWA WA TANZANIA BARA!!! BARA KUNA ZNZ .
SHAME ON YUO BABA
 
uvunje kabsaa hautusaidii watanganyika kabsaa.[/QUqaOTE]

haMfaidiki but hamtec action and no reaction coz imekua km niaibu mtu kujiita MTANGANYIKAA na badala yake tunajisingizia UTAnzania bara aibuuu.
TANGANYIKA BADO IPO NA ITASIMAMA TUUU HATA KIWETE HUA NA MBIOOO
 
Back
Top Bottom