Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Nipashe wametumia njia nzuri kuweka mambo sawa kwa Bw. Lowassa, manake AG wa bara angeona haya kusema ukweli...
 
Nipashe wametumia njia nzuri kuweka mambo sawa kwa Bw. Lowassa, manake AG wa bara angeona haya kusema ukweli...

Angeanzia wapi wakati yeye Mwanyika na wenzake ndo walio msababishia kufikwa na kujiudhulu kwake?
 
Mwanasheria Mkuu wa SMZ said:
Mwanasheria Mkuu alisema kwa mujibu wa sheria za viongozi wastaafu hutakiwa kutumikia serikali kwa miaka mitano na sio chini ya hapo, ili uweze kunufaika na mafao yote ya wastaafu.

..kama ni hivyo, Cleopa Msuya na Salim Salim wanapaswa kukatiwa mafao yao. they did not complete a 5 yrs term. pia hawastahili kuitwa Mawaziri Wakuu Wastaafu.
 
..kama ni hivyo, Cleopa Msuya na Salim Salim wanapaswa kukatiwa mafao yao. they did not complete a 5 yrs term. pia hawastahili kuitwa Mawaziri Wakuu Wastaafu.

Na Malecela anaingia katika hilo kapu. Hakumaliza term ya miaka 5.
 
..sasa tunapodai Lowassa asipewe mafao ya Waziri Mkuu Mstaafu, basi tuwajumuishe Msuya,Salim Salim,na Malecela.
 
Hiyo kauli (bold) ya Mrema imeniacha sina mbavu...lakini ni kweli,kuna umuhimu wa kutumia panya kunasa panya wengi zaidi.

Asante mlalahoi.

Tumeona sasa umeamua kuingia mzima mzima. nakuomba usiweke michango yako itakuwa ni conflict of interests hatujui unachangia kumfurahisha bosi wako au ni mchango wako wa moyoni. hongera kwa kitengo kipya ulichoshika.
 
Mtalii una maneno wewe haya .Tuendelee na hoja .Leo ukweli uko nje na kwa ukweli tunaweza kusema waziri mkuu real ni Sumaye pekee ama kuna mwingine ?Basi warudishe pesa zetu kama hali ndiyo hii .
 
Hivi hiyo sheria ya mafao ya wastaafu haiwezi kupatikana ikawekwa hapa tuhangaike nayo?
 
http://www.bbc.co.uk/mediaselector/...530?size=au&bgc=003399&lang=sw&nbram=1&nbwm=1

Ninamskiliza Ali Saleh wa bbc sasa hivi akisema kuwa makubaliano ya ccm na cuf yamekubaliwa na baraza la wana-CUF kuwa kutwaundwa serikali ya shirikisho in the future.

Kuwa upande mmoja unaweza kuwa na raisi na mwingine kuwa na waziri kiongozi. Hii ikipitishwa na baraza la wawakilishi itakuwa ni jambo zuri sana kwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

Sikiliza hiyo link ya bbc swahili
 
Znz Kuwa Na Serikali Ya (makande) Mseto.......! One Step Forward!
 
Znz Kuwa Na Serikali Ya (makande) Mseto.......! One Step Forward!

kwi kwi kwi,

serikali ya makande... nimeipenda hiyo! on the other side though ni vyema kama hii itakuwa kweli ila isijekuwa ni janja ya nyani kama ilivyokuwa miaka ya nyuma!

Kulingana na Ali Saleh, baraza la wawakilishi linalokuja hii issue itajadiliwa. Hopefully hali ya mwelewano na maendeleo itarejea Zanzibar!
 
CCM mbona haijatoa tamko kuhusu hili?????? Maana wale ni vigeugeu hawakawii kusema hiyo kitu haipo au kwamba bado majadiliano yanaendelea.

All in all huko ndiko tunakotakiwa kwenda!
 
Kama haijaundwa siamini,CCM hupenda kununua muda na CUF ni wasanii

Ah Balahau we (Balahau kwa kipemba maanaake Rafiki "Ndugu" Mpendwa-usishituke) Hili ni jambo zuri. Tusubiri CCM watasemaje, lakini mimi sioni tatizo kwao. Tatizo linakuja katika kutekeleza jambo hili. Mimi naona itakuwa gumu kutekelezeka kama Maalim hajacha tabia zake mbovu za ubinafsi na tamaaa zisizo na mwisho. CUF kuwemo Serikalini mbona ni jambo zuri tu, lakini Maalim Seif asilazimishe yeye ateuliwe katika nafasi anazozitamani (awe radhi nafasi hizo ziwe kwa wana CUF wowote wale ambao wana uwezo kama yeye au kupindukia yeye) hasa ukizingatia mazingira , mstakabala na maendeleo tunayohitaji hivi sasa Zanzibar.Si lazima Maalim awe Waziri Kiongozi au Waziri katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hivi sasa, nafasi ambazo kina Juma Duni, Abubakar Bakari, Hamad Rashid, Salum Bimani, Miraji,Jussa, Najma Khalfan, Hariri, Dedes, Dk Muchi na wengi wengineo wanaweza kuzikamata vyema tu na kukidhi mahitaji na matarajio. Balahau, subiri. lakini ukisikia muafaka mwengine umevunjika asitafutwe mchawi, bali ni Seif kukosa uluwa. Kwani sidhani kama ameacha nadhiri yake na tabia yake chafu ya tamaa zisizo na mwisho.
 
Kama alichokisema Maalim Seif ni kweli basi hii itatuletea sifa hata nje ya nchi.Lakini wasiwasi wangu ni Je?makubaliano haya yatatekelezeka?Mtazamo wangu naona kama ni fumba kalomo.Hivi ccm kweli watakubali?Mbona hawajatoa taarifa yoyote juu ya jammbo hili ambalo ni zito kabisa.Wenzangu hamshituki juu ya ukimya wao.Kwa kimya chao,basi ccm watakua wamekubali jambo hili kwa shingo upande.

Tumewapa muda hilo litekelezeke kabla ya mwaka huu kuisha ili amani irejee ZNZ.Kwako Karume naomba Hekima ikatawale ktk utekelezaji wa jambo hili muhimu.
 
Ah Balahau we (Balahau kwa kipemba maanaake Rafiki "Ndugu" Mpendwa-usishituke) Hili ni jambo zuri. Tusubiri CCM watasemaje, lakini mimi sioni tatizo kwao. Tatizo linakuja katika kutekeleza jambo hili. Mimi naona itakuwa gumu kutekelezeka kama Maalim hajacha tabia zake mbovu za ubinafsi na tamaaa zisizo na mwisho. CUF kuwemo Serikalini mbona ni jambo zuri tu, lakini Maalim Seif asilazimishe yeye ateuliwe katika nafasi anazozitamani (awe radhi nafasi hizo ziwe kwa wana CUF wowote wale ambao wana uwezo kama yeye au kupindukia yeye) hasa ukizingatia mazingira , mstakabala na maendeleo tunayohitaji hivi sasa Zanzibar.Si lazima Maalim awe Waziri Kiongozi au Waziri katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hivi sasa, nafasi ambazo kina Juma Duni, Abubakar Bakari, Hamad Rashid, Salum Bimani, Miraji,Jussa, Najma Khalfan, Hariri, Dedes, Dk Muchi na wengi wengineo wanaweza kuzikamata vyema tu na kukidhi mahitaji na matarajio. Balahau, subiri. lakini ukisikia muafaka mwengine umevunjika asitafutwe mchawi, bali ni Seif kukosa uluwa. Kwani sidhani kama ameacha nadhiri yake na tabia yake chafu ya tamaa zisizo na mwisho.

Tuna Sheikh Yahya Hussein humu JF - naona unatabiri mambo Balahau.
 
CCM mbona haijatoa tamko kuhusu hili?????? Maana wale ni vigeugeu hawakawii kusema hiyo kitu haipo au kwamba bado majadiliano yanaendelea.

All in all huko ndiko tunakotakiwa kwenda!

Inawezekana bado hawajaamini kilichotokea au kama unavyosema wanajiaandaa kukana hii statement. Unajua Makamba amezuia kusema chochote katika mambo ya ccm kuazia uchaguzi mkuu wa ccm na sasa inaonekana hakuna tamko bado upande huo.

Either way, hili ni jambo zuri kwa nchi yetu na maombi na sala zote zinaelekezwa huko right now!
 
Back
Top Bottom