Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
1.

Hii ishu ni ya viongozi wa juu wa CCM, kuanzia Bara na Visiwani, lakini the bottom line ni tatizo la Visiwani period, ndio wanaopaswa kuamua kama wanataka muungano au hapana. Tunajua kuwa viongozi wengi wa CCM huko Visiwani sio chaguo la wananchi ni chaguo la viongozi wa CCM Bara, including Amani mwenyewe, unafikiri ni kwa nini walichaguliwa na CCM bara, ni ili walinde masilahi ya kisiasa ambayo yana utata kisheria, sasa wale viongozi waliowekwa huko Visiwani kwa nguvu na na viongozi wa bara, leo wanaweza kuwa na ubavu wa kuwakemea waliowaweka?

Hivii Zanzibari ukifanyika uchaguzi huru na wa haki, Shamuhuna na Amaani wanaweza kweli kushinda uchaguzi? Si unajua kuwa hawawezi, sasa wanawezaje kuuuliza maswali against waliowaweka kwa nguvu? Sasa kwenye haya matatizo sisi wananchi wa bara tunahusishwa vipi?


2.

Hii ni another lie, ili ubaki kwenye power huko kwenu ni lazima ukubalike na the powers wa bara, Amani atakuwa mjinga kuchukizwa na Zanzibar kuwa mkoa wa bara kwa sababu bila hivyo yaani nchi yake kuwa mkoa, ksiheria kwenye muungano, asingeweza kuwa rais wa huko, CCM bara waliweza kummuingiza Amani kwenye urais kwa nguvu kwa sababu ya Zanzibar kuwa mkoa wake, ingekuwa ni nchi huru isingewezekana hiyo sasa una maana Amani anauchukia mkono uliompa kula?

Nyinyi wananchi wachache wa huko visiwani, msitudanganye hapa JF kuwa mnawaongelea wananchi wote wa visiwani, na ukweli ni kwamba mna safari ndefu sana mpaka siku moja kuja kujua tatizo lenu lilipo kuwa kwenye muungano wetu, kisheria nchi yenu ni mkoa na rais wenu ni RC tu, ndio maana hata rais asipokuwepo kwenye kika cha cabinet bado rais wenu hawezi kuwa mwenyekiti wa kile kikao!, maana RC hawezi kuwa chairman wakati Waziri Mkuu yupo kwenye kile kikao!

Now stop fooling yourself, kwa sababu mbele ya watu wenye akili mnaonekana kuwa a big joke!



Nondo nzito hizi na sasa wacha uone nini kitawakuta mwaka 2010.Asante kwa nyeti hizi .Ila nadhani sasa ni wakati wa kuwachapa viboko hawa Wazanzibar
 
Kukata mzizi wa fitina, 2010 muungano uwe ratified kwa referrendum on both sides, ukipata zaidi ya 50% on both sides tuendelee na mtu ye yote anayeleta treason ahukumiwe. Usipopata simple majority on either side uvunjwe tuendelee na safari.

What is so hard about that?
 
FMES: Hiyo ya kuwaambia wazanzibar kwamba Rais wao ni sawa na RC ndio itakayoua huu muungano, na ni aina fulani ya arrogance on our part watu wa bara!

Kumbuka nchi haiwi nchi kwa sababu ya idadi ya watu au ukubwa wa eneo. Nchi huwa nchi kutokana na historia ya kujitambulisha na kujipambambanua kwake. Laiti tungejua hili tungeusaidia sana muungano wetu.

Cha kufurahisha ni kwamba wanaoelekea kuua huu muungano ni wana CCM, na safari hii hawatamlaumu tena Seif.

Kauli za Pinda, Shamhuna na Mwakyembe hazijengi bali zinabomoa, na sijui wamefanya hivyo kwa faida ya nani, maana hata chama chao hawakisaidii. Na hili alilotamka leo waziri wa nchi wa ofisi ya waziri kiongozi ndio imetia moto zaidi na sioni mtu wa kuuzima.

Ingekuwa enzi za Nyerere angelimaliza hili kwa nguvu ya ushawishi, Mwinyi angeruhusu mjadala mpana hadi hoja ijifie, Mkapa angelizima kwa ubabe. Sasa huyu Kikwete wetu inaonekana yote haya hayawezi, mwisho wake ni nini kama sio kuwafanya wazanzibari wawe more defence, na hatimaye kujitoa katika muungano?

Tunafanya kosa kufikiri kwamba tutaendelea kuwang'ang'aniza wazanzibar wabaki kwenye muungano huku tukiwatukana. Ipo siku CCM na CUF huko Zanzibar watatufanyia kitu mbaya na ndio utakuwa mwisho wa huu muungano.
 
KITILA MKUMBO PUNGUZA CHUKI DHIDI YA MSOMI MWENZIO ILI UONE ISSUES
Ukisoma ujumbe wa Kitila Mkumbo hupati kitu cha msingi ila pathological hatred aliyonayo kwa Dr. Mwakyembe. Punguza hiyo, itakuua. Wote tuliosoma na Kitila University tunaelewa how intelligent and sharp Kitila is. Tatizo ni chuki/ roho mbaya. Utakumbuka DAWASCO walipomtangaza Dr. Mwakyembe kuwa mwizi wa maji, mtu wa kwanza kumkandia kupita kiasi alikuwa Kitila. DAWASCO wamemwomba radhi na Wizara imeomba radhi Bungeni kuwa walimsingizia, sijaona a retraction from Mkumbo of his extremely offensive and irrational remarks against his colleague. Sisi hatumtetei kwa vile ni colleague, tunaangalia issues siyo mtu. Aibuuuuu kwa msomi!
 
FMES: Hiyo ya kuwaambia wazanzibar kwamba Rais wao ni sawa na RC ndio itakayoua huu muungano, na ni aina fulani ya arrogance on our part watu wa bara!

Kumbuka nchi haiwi nchi kwa sababu ya idadi ya watu au ukubwa wa eneo. Nchi huwa nchi kutokana na historia ya kujitambulisha na kujipambambanua kwake. Laiti tungejua hili tungeusaidia sana muungano wetu.

Cha kufurahisha ni kwamba wanaoelekea kuua huu muungano ni wana CCM, na safari hii hawatamlaumu tena Seif.

Kauli za Pinda, Shamhuna na Mwakyembe hazijengi bali zinabomoa, na sijui wamefanya hivyo kwa faida ya nani, maana hata chama chao hawakisaidii. Na hili alilotamka leo waziri wa nchi wa ofisi ya waziri kiongozi ndio imetia moto zaidi na sioni mtu wa kuuzima.

Ingekuwa enzi za Nyerere angelimaliza hili kwa nguvu ya ushawishi, Mwinyi angeruhusu mjadala mpana hadi hoja ijifie, Mkapa angelizima kwa ubabe. Sasa huyu Kikwete wetu inaonekana yote haya hayawezi, mwisho wake ni nini kama sio kuwafanya wazanzibari wawe more defence, na hatimaye kujitoa katika muungano?

Tunafanya kosa kufikiri kwamba tutaendelea kuwang'ang'aniza wazanzibar wabaki kwenye muungano huku tukiwatukana. Ipo siku CCM na CUF huko Zanzibar watatufanyia kitu mbaya na ndio utakuwa mwisho wa huu muungano.

Mkuu Kitila,

Maneno yako ni mazito sana, lakini bado unakwepa kui-address important ishu hapa nayo ni kama wananchi wa bara na visiwani tunautaka huu muungano anyways?

Unaongea poiints nzito sana, lakini zinakwepa hiyo responsibility mawazo yako ni kama ya Mwalimu, yaani umesha-assume kuwa wananchi wote tunautaka muungano kwa sababu wewe unautaka, Mwalimu hayupo tena sasa ni wakati sisi wananchi ndio tunatakiwa kuamua, sio kuamuliwa na anybody tena malumbano kama ya kina Pinda na Mwakyembe, na Shamuhuna ni very healthy kwa demokrasia ya kuelekea kutatua hili tatizo la muungano,

CCM hawatauuwa muunganpo ambao haukuwepo anyways, ukubwa wa nchi yetu katika muungano huu, unakuwa backed na size ya uchumi wetu bara hiyo ni political fact ambayo Zanzibari hawawezi kuikwepa kwenye kuamua kama wanataka muungano au hawataki na pia ni a big factor kwenye kuamua nafasi yao sasa kwenye huu muungano.

Tufike mahali sasa tukubali tu kuwa muungano ahukuwepo anyaways, na fundamental rules za kisiasa ziko very clear hapa kuwa any political decision ambayo haina a legal back up, siku zote huwa ni a temporary empty political decision ambayo in due time litakuja kupasuka tu, viongozi wetu wote wa zamani na wa sasa, walikua wanafanya only one thing, nacho ni kuvuta muda ili term zao ziishe, yaani not in my hands sasa the time is up!

Ni mchango wa Zanzibar kwenye hii ishu, ndio una nafasi kubwa kwenye kuamua the future of huu muungano, sio Mwakyembe, wala Pinda, ambao walichofanya ni kuwakumbusha wa-Zanzibari tu kuwa the time is up sasa ni wakati wao wa kuamua wanataka nini hasa?
 
KITILA MKUMBO PUNGUZA CHUKI DHIDI YA MSOMI MWENZIO ILI UONE ISSUES
Ukisoma ujumbe wa Kitila Mkumbo hupati kitu cha msingi ila pathological hatred aliyonayo kwa Dr. Mwakyembe. Punguza hiyo, itakuua. Wote tuliosoma na Kitila University tunaelewa how intelligent and sharp Kitila is. Tatizo ni chuki/ roho mbaya. Utakumbuka DAWASCO walipomtangaza Dr. Mwakyembe kuwa mwizi wa maji, mtu wa kwanza kumkandia kupita kiasi alikuwa Kitila. DAWASCO wamemwomba radhi na Wizara imeomba radhi Bungeni kuwa walimsingizia, sijaona a retraction from Mkumbo of his extremely offensive and irrational remarks against his colleague. Sisi hatumtetei kwa vile ni colleague, tunaangalia issues siyo mtu. Aibuuuuu kwa msomi!


Lazaro mtindi unaweza kumpinga Kitila bila ya madai yako haya mazito ? Unasema chuki na roho mbaya unaweza kusimamia madai yako uso kwa macho ? Ama wewe sasa unavuruga mada kwa mambo ya umimi ? Una matatizo na Kitila binafsi ?
 
Comrade Lunyungu, sisamehe kaka nimekuwa too hard on Kitila. Kitila is a friend namfahamu kama kiganja cha mkono wangu. He is intelligent na wengi tulikuwa tunategemea kupata analysis nzito kutoka kwake. Wenzake tulim"note" aki"shift" kabisa kutoka kwenye objectivity kwenye suala la DAWASCO, kiasi cha baadhi yetu kuamini kuwa Lowassa alishamuahidi kitu kidogo akimaliza masomo yake London! Msimamo wake ulizua discussion sana among friends, maana tunamjua. Leo hii anaingia kwenye hoja na risasi tu kwa huyo Mwakyembe wake bila hata kuangalia hoja za maana zilizokuwa zinajengwa na akina Pundit na Ijabu leo ahsubuhi. Wengine tumejifunza mengi kutokana na discussion hiyo. Badala ya ku"build on that", anafuata mkumbo wa akina Mwiba s/o Makunduchi. Sorry kama nimekukwaza.
 
Hivi Zanzibar ina mfumo wake wa ulinzi? je Pinda ni waziri mkuu mpaka Zenji?

Naomba majibu ya maswali yangu ya kijinga hayo!
 
Soma magazeti ya leo au jana wamesema wana mfumo wao wa ulinzi.

La pili, Mizengo Pinda ni waziri mkuu wa JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA. No inakujaje hapo? naomba kueleweshwa!
 
Pinda alichosema alikuwa sawa, alisema isemavyo katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tz. Shamhuna alikosea maana alikwenda kinyume na katiba ya jamhuru ya Muungano wa Tz. Mwakyembe ametoa maoni yake kuhusiana na kauli ya Shamhuna, kwa hiyo hajafanya kosa lolote maana alikuwa akiishauri serikali cha kufanya kufuatia matamshi yanayokiuka katiba. Kwa nini JK na karume wako kimya? God knows.
Cha msingi wandugu, huu Muungano ulifikia kwa njia ambazo si za kidemokrasia ndio maana una loop hples za watu kuukosoa na kuukejeli. Nilipokuwa shule ya msingi tulipokuwa tunafundishwa siasa, kuhusu Muungano..nilimuuliza mwalimu mbona sielewi huo muunagano ukoje! alijitahidi kunielezea zaidi lakini kadiri anavyozidi, ndipo ninapozidi kuchanganyakiwa na kupata mwaswali mengi.Kusema ukweli mpka leo bado mambo mengi siyaelewi....mmmh hata waheshimiwa naona pia hawaelewi; maana Mwakyembe anasema waziri wa serikali ya mapinduzi ameonyesha dharau kwa Pinda, SMZ inajibu mapigo na kusema Shamhuna hayuko chini ya Pinda(waziri mkuu wa Serikali ya Jamamhuri ya Muungano wa Tanzania?!) bali yuko chini ya Nahodha(waziri kiongozi wa SMZ). Patamu hapa! Nadhani hata katiba hajaweka wazi mambo haya(nitaisoma zaidi).
Wakati ndio huu, tusahihishe makosa ya kutokupata maoni ya wana wa nchi katika kuunganisha nchi hizi...tuurudishe kwa wananchi..watoe maoni yao na waseme kama wanauhitaji au laa
 
Comrade Lunyungu, sisamehe kaka nimekuwa too hard on Kitila. Kitila is a friend namfahamu kama kiganja cha mkono wangu. He is intelligent na wengi tulikuwa tunategemea kupata analysis nzito kutoka kwake. Wenzake tulim"note" aki"shift" kabisa kutoka kwenye objectivity kwenye suala la DAWASCO, kiasi cha baadhi yetu kuamini kuwa Lowassa alishamuahidi kitu kidogo akimaliza masomo yake London! Msimamo wake ulizua discussion sana among friends, maana tunamjua. Leo hii anaingia kwenye hoja na risasi tu kwa huyo Mwakyembe wake bila hata kuangalia hoja za maana zilizokuwa zinajengwa na akina Pundit na Ijabu leo ahsubuhi. Wengine tumejifunza mengi kutokana na discussion hiyo. Badala ya ku"build on that", anafuata mkumbo wa akina Mwiba s/o Makunduchi. Sorry kama nimekukwaza.



Mkuu Lazarosmtindi
Ondoa shaka mimi nimeuliza tu kwa kuwa nakufahamu vilivyo na Mku Kitila namjua vilivyo .Sasa waweza kukaa na Kitila na kumuuliza uso kwa uso .
 
This problem has come about chiefly because of careless talk on the part of our incompetent PM. The problem was further complicated by another careless talk by a Zanzibar minister, another incompetent CCM officer bearer. The problem has indeed been worsened and is even posing a real threat to the survival of our union by another caress talk by Dr Harrison Mwakyembe.

It is particularly disturbing to have politicians of Mwakyembe's calibre engage in such dangerous talk. I see a dangerous precedence these days in which our politicians are prepared to utter whatever will elavate their popularity, with a total disregard to the consequences of their talk on important matters such as the state of our union.

You mean people should keep quiet about this issue? Cause everyone who talks s/he he may be careless talker(to you offcourse).Or kindly which kind of 'talks or statement' on this issue will not be careless talk(to you)? Do you have any standard or idea , I hope to see example of them please!!!!!!!!.

I know and am sure every statement regarding this issue will never be accepted to all sides and ever people,I dont know which side are you??

Waberoya
Dont let school interfere with your education
 
Mimi jamani sioni haja ya kuanza kushambulia reputation au credibility za watu kuhusu suala hili la muungano.Tukiri tu wazi kuwa katiba yetu hii tuliyonayo sasa ina utata mkubwa sehemu nyingi ambazo kwa kweli zinapaswa kuwekwa wazi.Na mahakama ya Tanzania imejitahidi sana katika kuuondoa utata huu from time to time.Mathalani hoja ya zanzibara kuwa nchi au sio nchi haijaanza leo,wazenj wenyewe wanaijua kabisa,na sijui kwa nini huwa hawaianzishi hadi itokee bara ndio iende visiwani.Hii inatokana na clues zifuatazo:-
1.Mgogoro wa zanzibar sio nchi uliwahi kuibuliwa katika lile sakata la uhaini katika kesi mbili za Machano na ile ya Seif Sharrif Hamad,baada ya mahakama kutoa judgment yake hakuna mzanzibar yeyote aliyekwenda mtaani kuandamana wala ubishani wowote kama ulivyo sasa japokuwa mahakama ilitangaza wazi kabisa kuwa zanzibar sio nchi.Leo Shamuhuna anaibuka na kusema:-
Deputy Chief Minister Ali Juma Shamhuna caught the attention of the world when he categorically denounced claims that Zanzibar is part of Tanzania.
Responding to contributions made by Members of the House of Representatives when deliberating on 2008/2009 budget speech for the Ministry of Information, Culture and Sports, on Thursday, Mr Shamhuna said Zanzibar was a sovereign state and would continue to hold such a political status forever.

He said Article 9 of the Zanzibar Constitution provided a clear picture of the Zanzibar status, explaining that the fact that Zanzibar had its own executive, legislature and judiciary , it was a point to substantiate that the Island constituted a sovereign state of its own

2.Mgogoro hu uliwahi kuibuka tena wakati Dr.Mlimuka aliposema wazi kabisa zanzibar sio nchi na kumfananisha Rais wa Zanzibar wa wakati huo Dr.Salmin sawa na Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam.Hoja hii iliiibuka wakati zanzibar inataka kujiunga na OIC.Mlimuka kama walivyo kina Pinda alishambuliwa sana kiasi cha kuitwa bungeni kujieleza kwa nini anasema zanzibar sio nchi na kumtusi Rais wa Zanzibar kwa kumfannisha na mkuu wa mkoa wa Dar.Mlimuka alikuwjasiri sana hakuogopa na alitetea msimamo wake na kutishia kuwa iwapo Rais wa zanzibar angeendelea kusema zanzibar ni sovereign state basi angemfungulia kesi ya uhaini.
3. Baada ya mjadala huu kwisha wakajitokeza watu waliodai serikali ya TANGANYIKA nao ukaisha
4. Waziri Mkuu sasa ameibua hoja kuwa zanzibar sio nchi.Tena sio kwamba kasema kutokana na kufikiri kwake tu hapana amenukuu katiba ya jamhuri ya muungano inayosema Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo sio nchi,wakati Shamhuna anapinga hata ule usemi unaosema zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Swali hapa je,Shamuhuna na wenzake walikuwa wapi siku zote hizi?kwani ni makosa mtu kunukuu sheria inavyosema?nakumbuka siku amakamba alipotangza kuwa baa zote dar zifungwe saa 6 usiku watu walianza kumpinga na kutaka kuandamana wakidai analeta sheria mpya,kumbe sio sheria mpya alichofanya yeye ni kuinukuu tu sheria ambayo ipo hata kabla ya yeye kuwa mkuu wa mkoa wa dar inayotaka baa zifungwe saa sita.Hivyo ndio kusema kwamba sijui tuseme watanzania ni wavivu kusoma,hadi tusomewe ndio tunashtukia mambo hapa mimi sielewe kabisa.Hata shamuhuna naye kwa kunukuu katiba ya zanzibar ya mwaka 1984 bado hajakosea kama ndivyo inavyosema.Kwa maana hiyo hapa kuna utata wa katiba zenyewe wala sio wanaojadili.

Katika kufanya kwangu reseach ndogo,nimegunda kuwa muungano wa mwaka 1964 ulibadilisha mambo mengi sana ikiwamo status ya Tanganyika kama nchi na zanzibar kaa nchi katika International community.Mathalani articles of union zenyewe zinasema hivi,na hapa nanukuu:-
Tunaanza na utangulizi-
WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar being mindful of the long association of the peoples of these lands and of their ties of kinship and amity, and being desirous of furthering that associatio! n and strengthening of these ties and of furthering the unity of African peoples have met and considered the union of the Republic of Tanganyika with the Peoples Republic of Zanzibar:

AND WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples'Republic of Zanzibar are desirous that the two Republics shall be united in one Sovereign Republic in accordance with the Articles hereinafter contained:- Hii peke yake inaonesha nia ya muungano ilikuwa ni nini.

Articles zinaendelea
(i) The Republic of Tanganyika and the Peoples' Republic of Zanzibar shall be united in one Sovereign Republic
(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their respective territories subject-

(a) to any provision made hereafter by a competent legislature;

(b) to such provision as may be made by order of the President of the united Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any of the matters set out in Article (iv), and the revocation of any corresponding law of Zanzibar;kwamba Rais wa muungano kwa mujibu wa ibara hii anweza kuamuru kufutwa kwa sheria iliyoko zanzibar inayopingana na ile ya muungano.
Tunaendelea
The President of the united Republic: in agreement with the Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall-

Kutokana na kipengele hiki utajua kuwa Nyerere na Karume walikubaliana nini,wao hawakutaka haya mambo ya ooh Rais wa zanzibar, Rais wa Muungano.Nchi ilikuwa iwe na Rais mmoja tu mwenye maamu wawili wa Rais yaani kiongozi wa zanzibar akiwa makamu wa Rais na kiongozi wa bara akiwa makamu wa Rais.
IN WITNESS WHERE Julius K. Nyerere, the President of the Republic of Tanganyika, and Abeid Karume the President of the Peoples' Republic of Zanzibar have signed these Articles, in duplicate, at Zanzibar, on this twenty-second day of April, 1964

Hapa inaonesha Marais wawili sasa yaani yule wa Tanganyika na yule wa zanzibar wanavua vyeo vyao sasa na kugeuka kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na yule wa zanibar kuwa Makamu wa kwanza wa Rais.Sasa sijui CCM walijikorogaje tena na kuja kumdesignate makamu wa kwanza wa Rais wa zanzibar kuwa Rais tena.

Baada ya hapo nikatafuta habari huko UN na kuona wao wanasemaje hatimaye nikapata nukuu hii
Tanganyika was a Member of the United Nations from 14 December 1961 and Zanzibar was a Member from 16 December 1963.

Following the ratification on 26 April 1964 of Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar, the United Republic of Tanganyika and Zanzibar continued as a single Member, changing its name to the United Republic of Tanzania on 1 November 1964
. source: http://www.un.org/members/notes/tanganyika.htm

Baadaye nikaenda kwenye kumbukumbu za sheria za Uingereza na kukutana na kitu hiki;-
Revised Statute from The UK Statute Law Database
Tanzania Act 1969 (c.29)
This version of this statute is extracted from the UK Statute Law Database (SLD). It is not in the form in which it was originally enacted but is a revised version, which means that subsequent amendments to the text and other effects are incorporated with annotations.
Tanzania Act 1969
1969 CHAPTER 29
An Act to make provision for modifying the law in consequence of the union of Tanganyika and Zanzibar to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar as a republic within the Commonwealth and the subsequent adoption by that republic of the name of Tanzania; to make provision as to the operation of the Colonial and Other Territories (Divorce Jursidiction) Acts 1926 to 1950 in relation to the courts of Tanganyika and of the united republic; and for purposes connected therewith.

[25th June 1969]

1. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . F1

Annotations:
Amendments (Textual)
F1S. 1 repealed by British Nationality Act 1981 ( c. 61, SIF 87), Sch. 9

2 Divorce jurisdiction
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . F1

Annotations:
Amendments (Textual)
F1S. 2 repealed by Family Law Act 1986 (c. 55, SIF 49:3), s. 68(2), Sch. 2

3 Ships
(1). . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . F1

(2)In the M1Whaling Industry (Regulation) Act 1934, the expression “British ship to which this Act applies” shall not include a British ship registered in Tanzania.

(3)This section shall be deemed to have come into operation on 26th April 1964; and, in relation to any time within the period beginning on that date and ending with 28th October 1964, any reference in this section to Tanzania shall be construed as a reference to the United Republic of Tanganyika and Zanzibar.

Annotations:
Amendments (Textual)
F1S. 3(1) repealed by Statute Law (Repeals) Act 1977 (c. 18), Sch. 1 Pt. XV

Marginal Citations
M11934 c. 49.

4 Power to apply other statutory provisions to Tanzania
(1)Subject to the following provisions of this section, Her Majesty may by Order in Council specify any enactment of the Parliament of the United Kingdom for the time being in force, or any instrument for the time being in force and having effect by virtue of such an enactment, and make such provision as may appear to Her Majesty to be appropriate for securing that, to such extent and subject to such exceptions and modifications (if any) as Her Majesty thinks fit, that enactment or instrument has the like operation in relation to Tanzania, and persons and things belonging to or connected with Tanzania, as it has in relation to territories to which the enactment or instrument is applicable and in relation to persons and things belonging to or connected with such territories.

(2)No Order in Council shall be made under this section in respect of an enactment or instrument unless it is an enactment or instrument which either—

(a)specifies Tanganyika by name, or

(b)is an enactment or instrument which would have had effect in relation to Tanganyika, or to persons or things belonging to or connected with Tanganyika, if Tanganyika had continued to be a separate territory and had continued to be part of Her Majesty’s dominions.

(3)No Order in Council shall be made under this section in respect of [F1the British Nationality Act 1981] . . . or the Divorce Jurisdiction Acts.

(4)An Order in Council under this section may make provision in accordance with subsection (1) of this section in such manner as appears to Her Majesty to be appropriate in relation to any enactment or instrument specified in the Order, and in particular (but without prejudice to the generality of this subsection)—

(a)may amend the enactment or instrument by inserting in it one or more references to Tanzania by name, or

(b)if the enactment or instrument refers to Tanganyika by name, may amend it by substituting a reference to Tanzania for any such reference;

and, where any enactment or instrument specified in the Order refers to Zanzibar by name, the Order in Council may include provision amending it so as to omit any reference to Zanzibar.

(5)Where an Order in Council under this section specifies an enactment which confers a power to make Orders in Council, any power which in consequence of the Order is exercisable by virtue of that enactment in relation to Tanzania, or persons or things belonging to or connected with Tanzania, may be so exercised either by the same Order in Council or by a subsequent Order in Council.

(6)Any Order in Council made under this section, and any other Order in Council which exercises in relation to Tanzania, or persons or things belonging to or connected with Tanzania, a power which is so exercisable in the circumstances specified in subsection (5) of this section,—

(a)may be made with retrospective effect as from 26th April 1964 or any later date, and

(b)in so far as it is made so as to have effect in respect of any time before 29th October 1964, may be made as if in this section any reference to Tanzania were a reference to the United Republic of Tanganyika and Zanzibar.

(7)For the purpose of making an Order in Council under this section, any reference in subsection (1) of this section to any enactment or instrument for the time being in force shall be construed as a reference to any enactment or instrument in force immediately before the Order is made, whether the enactment or instrument was passed or made before or after the passing of this Act.

(8)Any reference in this section to a territory to which an enactment or instrument is applicable shall be construed as a reference to a territory which either—

(a)is specified by name in the enactment or instrument, or

(b)falls within a general description specified in a provision contained in the enactment or instrument whereby the enactment or instrument has effect in relation to territories falling within that description or in relation to persons or things of a class so specified which belong to or are connected with such territories.

Annotations:
Amendments (Textual)
F1Words substituted by British Nationality Act 1981 (c. 61, SIF 87), Sch. 7

5 Power to repeal certain enactments relating to Tanganyika and Zanzibar
(1)Where it appears to Her Majesty in Council that an enactment to which this section applies has (whether in consequence of the exercise of any power conferred by section 4 of this Act or otherwise) become obsolete, spent or unnecessary, Her Majesty may by Order in Council provide that that enactment shall cease to have effect.

(2)This section applies to all enactments contained in the M1Tanganyika Independence Act 1961, the M2Tanganyika Republic Act 1962 and the M3Zanzibar Act 1963, except section 1 of the Tanganyika Independence Act 1961.

(3)Section 38(2) of the M4Interpretation Act 1889 (which relates to the effect of repeals) shall have effect in relation to any repeal effected by an Order in Council under this section as if the Order were an Act of Parliament.

Annotations:
Marginal Citations
M11961 c. 1 (10 & 11 Eliz. 2).

M21962 c. 1 (11 & 12 Eliz. 2).

M31963 c. 55.

M41889 c. 63.

6 Supplementary provisions
(1)Any Order in Council under this Act—

(a)may contain such transitional or other incidental or supplementary provisions as appear to Her Majesty to be necessary or expedient;

(b)may be varied or revoked by a subsequent Order in Council; and

(c)shall be subject to annulment in pursuance of a resolution of either House of Parliament.

(2)Subject to the next following subsection, any provision made by an Order in Council under this Act with respect to an enactment of the Parliament of the United Kingdom, or with respect to an instrument having effect by virtue of such an enactment, shall, except in so far as the Order otherwise provides, have effect as part of the law of every territory outside the United Kingdom to which the enactment or instrument in question extends, as well as having effect as part of the law of the United Kingdom.

(3)Any provision made by an Order in Council as mentioned in subsection (2) of this section—

F1(a). . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

(b)shall not have effect as part of the law of any territory if it is a territory for whose government Her Majesty’s Government in the United Kingdom have no responsibility at that date, and accordingly shall not have effect as part of the law of Tanzania.

F2(4). . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

(5)Nothing in section 4 or section 5 of this Act shall affect the exercise (whether before or after the passing of this Act) of any power exercisable apart from those sections.

Annotations:
Amendments (Textual)
F1S. 6(3)(a) repealed (8.11.1995) by 1995 c. 44, s. 1(1), Sch. 1 Pt. II Gp. 1

F2S. 6(4) repealed (8.11.1995) by 1995 c. 44, s. 1(1), Sch. 1 Pt. II Gp. 1

7 Interpretation
(1). . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . F1

(2). . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . F2

(3)References in this Act to any enactment are references to that enactment as amended or extended by or under any other enactment.

Annotations:
Amendments (Textual)
F1S. 7(1) repealed by Family Law Act 1986 (c. 55, SIF 49:3), s. 68(2), Sch. 2

F2S. 7(2) repealed by British Nationality Act 1981 (c. 61, SIF 87), Sch. 9

8 Short title
This Act may be cited as the Tanzania Act 1969.

Je,sheria hii ina athari gani katika kuitambua status ya zanzibar?


Sasa mjadala wa sasa whether zanzibar ni nchi au la ni swa na hapa uingereza kusema iwapo scotland ni nchi au la,kwani na yenyewe ina bunge, na ina first prime minister na mawaziri kadhaa.Lakini haina sovereignty kitu ambacho nashawishika kuamini kina apply pia zanzibar.

Hiyo basi mgogoro tulionao ni wa kikatiba zaidi. Utata mwingine tulio nao ambao wanazuoni kadhaa wamepata kuutaja ni kuwa je KATI ya articles of union na Katiba ya Muungano kipi ni supreme?je,baada yakuundwa kwa katiba ya muungano mwaka 1977 articles of union zilicease kuapply?kwa maana ya kuwa automatically repealed?if not so what is supreme articles of union or the constitutio(maana the backborne ya katiba hii ni articles of union,sasa wale wasomi wenzangu kama mimi(learned friends je,ipi ni grund norm?))
 
Wakati tukiendelea kusuguana juu ya Muungano wetu, wenye umri wa zaidi ya miaka 40, yapasa tujiulize je Muungano wa Afrika mashariki utawezekana? Zaidi ya hapo maazimio ya SADC katika mkutano uliomalizika leo ni pamoja na haya: -

"In other business at the summit, the Sadc agreed to launch a regional trade zone aimed at eliminating import tariffs, with plans for a common currency by 2018.

Zimbabwe is among 11 Sadc countries who will participate in the trade zone. Angola, the Democratic Republic of Congo and Malawi plan to join at a later date, AFP news agency reports."

yaani baada ya miaka 10, tuwe na sarafu moja katika nchi zote za SADC including Zimbabwe.

Changamoto: mbona Amerika wameungana na hakuna misukosuko? mbona Ulaya wanajumuiya yenye nguvu? mbona Russia imevunjika toka USSR na sasa ni Federation.

Kazi kwetu!!!
 
T
Nafikiri kwa mwerevu angeelewa kuwa Pinda hana uhakika kwani asingesema kuwa Wanasheria walijadili hili. Unajua ni rahisi Mtanganyika kusema kuwa Katiba ya Muungano inasema hivi na ni rahisi pia kwa Mzanzibari kukwambia kuwa Katiba ya Zanzibar inasema hivi. Huu ni Muungano wa Kiini macho na kila kitu ni kiini macho na ndio maana watu wanapobanwa wanasema acheni kulijadili. Kitu kilicho wazi kinazuia nini mjadala au kulazimisha kuwa fulani ni mkubwa na hivyo asipingwe, walete sasa article of the union wataalamu waipitie halafu wananchi wapewe kilichomo, wanaficha nini hawa jamaa?
 
Union PM`s authority does not cover Zanzibar, Isles govt says

2008-08-17 09:04:10
By Mwinyi Sadallah, Zanzibar

The Revolutionary government of Zanzibar, has said that its ministers are not answerable to the Union Prime Minister but directly report to the Isles` Chief Minister.

Current holders of the posts are, respectively, Mizengo Pinda and Shamsi Vuai Nahodha.

The remarks were made by the Interior Minister in the Chief Minister`s Office, Hamza Hassan Juma, while responding to recent remarks by Kyela MP, Dr. Harisson Mwakyembe, that remarks by some Zanzibar ministers on Premier Pinda`s statement that Zanzibar is not a sovereign state was a sign of disrespect.

Briefing the media, Hamza said that the Prime Minister is not above Zanzibar`s constitution and his duties involve the cabinet of Union government.

``The Isles President appoints ministers for the Zanzibar revolutionary government, and they are only answerable to the Chief Minister.

``There is no section of the Act that states that the Union government is above the Zanzibar constitution and it does not stipulate that the Union government has authority over ministries that don`t fall under Union matters,`` he said.

He said that the ministers who are supporting Zanzibar`s sovereignty are not committing any offence in that Zanzibar has its President, Chief Minister, defence system, constitution, flag, national anthem, government logo and judicial system.

He called on Dr. Mwakyembe to apologise to the Zanzibar government because the Union Prime Minister has equal powers as those of the Chief Minister.

He said since its adoption in 1964, neither the Father of the Nation, the late Mwalimu Julius Nyerere nor Abeid Amani Karume, founders of the Union government, ever disowned Zanzibar as a state.

He accused Makyembe of ignoring the Speaker`s order to stop the discussion on whether Zanzibar is a state or not.
Media corps were not allowed to ask questions.

According to the minister, the government statement was meant to safeguard the Union government.

Efforts to get Hon. Mwakyembe to react to the minister`s remarks failed yesterday.


Souce: IPPMEDIA


My take:


Yangu macho... lakini tunapoenda si pazuri.
 
Jamani muungano ni kwa faida ya Zanzibar kwa namna yoyote ile. Ole wao wakitaka kujitenga.
Kwanza kujitenga kwao kunatutegemea sisi Tanganyika maana tusipotaka hawawezi na hawana ubavu wowote wa kulazimisha.
Hata hivyo bora tuwaache tu wabaki wakichinjana, na hatuwataki hapa hata kuja kama wakimbizi.
After all kiuchumi hawatusaidii chochote mbali na kubebwa nasi.
Pia sababu ya kuona kisiwa hicho ni muhimu kiusalama sasa haina nguvu tena katika karne hizi.
 
The Prez needs to do something........

Tunaenda kubaya. Hawa jamaa akili yao sio nzuri naona. Dr Mwakyembe ni mwanasheria hawezi kukurupuka. By the way hata tukiwapoteza hawana cha maana! Wamezoea kutawaliwa hawa!

Kumkatalia Pinda kuwa hana mamlaka nao ni kichekesho!. Bunge la Muungano na la wawakilishi lipi lipo juu?

Ni kutoelewa sijui?
 
Back
Top Bottom