Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi huyu mtaalamu wa mafuta au wa siasa? wapi kapata data? TIPER hawakutowa yeye kapata wapi au ndio aliyeletwa kupanga shares
Hivi wewe una upeo gani wa kuelewa? Na nini unachokielewa. Weka hapa tukuone.wameonyesha upeo wao mdogo wa kuelewa.. sasa wanataka wadanganywe? wapumbavu kweli
Cha kujadili Ndugu yangu ni kuwa Zanzibaris want the control of their destiny.Wengi wao hapa wanabishana kama nani zaidi, bara au visiwani
Mmeshindwa kujadili kitu cha msingi.
Hata mkichimba mtaambulia Mrahaba wa asilimia Tatu tu.Mimi nadhani ni vizuri waendelee kuambiwa kuwa kuna mafuta ili hatimaye waamue kuvunja muungano halafu miaka michache tunaanza kuchimba ya kule Mkuranga!
Hivi wewe una upeo gani wa kuelewa? Na nini unachokielewa. Weka hapa tukuone.
Hivi mafuta zanizbra yapo au hayapo?
Hivi mafuta zanizbra yapo au hayapo?
suali liliopo sio uelewa, suali liliopo ni kuchoshwa kwa wazanzibari na utawala wa tanganyika uliobeba jina hewa la tanzania ,ndio maana katika hiyo habari wanasema hata ikiwa ni kidogo kiasi gani tutajipaka wenyewe mwilini. siifagilii sana hii hali lakini nadhani umefika wakati wazanzibari kutamka maneno kama haya ili kuweka msisitizo.kama watalaamu wanawambia hakuna mafuta wanang'ang'ania yapo hicho ni kipimo kizuri tu cha uelewa wao. na kwa vile na wewe ni mzanzibar kiwango chako ni hicho hicho. ueledi sifuri