Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Angalia in Big picture.

Viwanda vya Zanzibar haviruhusiwi kuuza Tanganyika, ila Vya Tanganyika vinauza Zanzibar, Zanzibar wana kiwanda cha Sukari ila kinaishia kule kule, hata wakiwa na surplus haiji kuuzwa huku, hii inasababisha Uwekezaji Zanzibar kutokua mzuri na kudhoofisha uchumi wao.

Walikua na umeme wao wenyewe umeuliwa Wanapewa na Tanesco, Kifupi Tanganyika wanatumia huu Mtego kuifanya Zanzibar iwe dependent na huku Bara na wasiwe na Maendeleo.
Unaweza kuwa sawa ila usiwe sawa kwa komenti yako.

Moja qmbayo nakubali ni issue ya kiwanda cha sukari nk, hilo lina ajenda yake kwa nini inakuwa hivyo nadhani ni kutokana na issue ya uzalishaji ukija kwenye demand and supply.

Na kwenye umeme unataka kunidanganya kama jamaa flani nilikuta analalamika kwenye daladala la kutoka Pwani mchangani kuja Darajani, kuwa Tanganyika imesababisha treni iliyokuwepo huko nyuma Unguja kuuliwa.

Nilicheka sana nikajiukiza for what purpose uue treni au kiwanda cha kuzalisha umeme? NO!.

Haiwezekani na siyo kweli kwamba mitambo ya umeme imekufa kwa sababu ya muungano hilo kaa utafute ukweli mkuu, usidanganye watu hapa!.
 
Kama ilivyokuwa kwa Hussein Mwinyi na ubunge wa Mkuranga,Ali Karume aliyefukuzwa CCM anaweza kuja Tanganyika na kugombea ubunge jimbo lolote kwa chama kingine.

Kitambulisho cha Mzanzibar mkaazi ndiyo master key kule Zanzibar,kukipata kile wewe wa kuja hata kwa rushwa ni mbinde.
 
Faida ya muungano huu iko kwenye suala la ulinzi na usalama. Inadaiwa bila muungano huu, Zanzibar ingekuwa kituo cha magaidi toka kona zote za dunia na hivyo kutishia ulinzi na usalama wa Tanganyika.

Kwann? Kwasabb Zanzibar bila muungano huu tayari ingekuwa ni mwanavhama wa OIC (umoja wa nchi za kiislam). Na kama ujuavyo ugaidi ugaidi na uislam ni kama Pete na chanda.
 
Mpuuzi
 
Kazi ya JW ni nini?
 
Back
Top Bottom