Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
4.Muungano ukivunjika Zanzibar itajitangaza kuwa Dola ya kiislam, Tanganyika ndo tutakuwa wahanga wa kwanza wa ugaidi na mashambulizi kutoka makundi yenye itikadi kali
Anazibitika usiogope.
 
#

Wao wanajiita Wazanzibar
Katiba yao inaitwa ya Zanzibar
Serikali yao ya Mapinduzi Ya Zanzibar
Wao wanatuita Watanzania bara Watanganyika Wabongo
Sisi Watanganyika tukiwaita Wazanzibar kuwa ni Wazanzibar kwa mujibu wao wenyewe wanasema ETI UBAGUZI
NI WAPI MZANZIBAR AKAJIITA MTANZANIA VISIWANI !!??
 
Hivi ilikuwa mantiki kutuunganisha na hawa wapemba kuwa nchi moja?

Walikosea sana
 
Hivi ilikuwa mantiki kutuunganisha na hawa wapemba kuwa nchi moja?

Walikosea sana
Nashangaa sana
Kwanini MUUNGANO wa CCM na Vyama Vya SIASA vina pande Tatu bila Tatizo
Kwanini wasihamishie na kwenye serikali
CCM na Vyama Vya SIASA.
Mwenyekiti Taifa
Makamu Mwenyekiti bara
Makamu Mwenyekiti Zanzibar
Katibu Mkuu Taifa
Naibu Katibu Mkuu bara
Naibu Katibu Zanzibar
Na kwenye jumuiya za vyama organization structure ipo hivyo
MUUNGANO HUU WA CCM UNATAKIWA KUHAMISHIWA KWENYE SERIKALI
MUUNGANO UTAKUWA IMARA SANA
MUUNGANO WA SASA UNAIPENDELEA SANA ZANZIBAR
NA KILA KUKICHA ZANZIBAR WANAKUJA NA KINACHOITWA KERO HOJA ZA MUUNGANO
UPANDE WA TANGANYIKA TANZANIA BARA HAKUNA MTETEZI KWANI TANZANIA BARA HAINA MWENYEWE WA KUSEMA HOJA ZAKE
MATOKEO YAKE KILA RASILIMALI YA TANZANIA BARA IMEGEUKA NI YA MUUNGANO
RASILIMALI ZOTE ZA ZANZIBAR NI ZA WAZANZIBAR PEKEE YAO DAIMA DUMU
 
Kuna nchi mpya inaitwa Tanzania Bara. Tanganyika ilishafutika. Hivyo ni TaBa na Z'bar
 
#

Wao wanajiita Wazanzibar
Katiba yao inaitwa ya Zanzibar
Serikali yao ya Mapinduzi Ya Zanzibar
Wao wanatuita Watanzania bara Watanganyika Wabongo
Sisi Watanganyika tukiwaita Wazanzibar kuwa ni Wazanzibar kwa mujibu wao wenyewe wanasema ETI UBAGUZI
NI WAPI MZANZIBAR AKAJIITA MTANZANIA VISIWANI !!??

Mkuu una skip point, tatizo sio kuitwa mzanzibari, tatizo ni kuunasibisha uzanzibari wake na matendo ambayo munayashutumia.
Na very cheep politics kuchochea chuki kwa manufaa ya muda mfupi ya kisiasa
 
Hawa wazazibar wakiwa zanzibar wanajiita wazanzibar, wakiwa nchi za watu wanataka waitwe wazanzibar wakija Tanganyika wanataka waitwe watanzania.

Sisi watanganyika tukiwa Tanganyika tunajiita watanzania, tukienda zanzibar tunaitwa wabara na tunaishi kama tupo nchi ya ugenini japo kwenye makaratasi tunaambiwa ni Tanzania
 
Hawa wazazibar wakija zanzibar wanajiita wazanzibar, wakiwa nchi za watu wanataka waitwe wazanzibar wakija Tanganyika wanataka waitwe watanzania.
Sisi watanganyika tukiwa Tanganyika tunajiita watanzania, tukienda zanzibar tunaitwa wabara na tunaishi kama tupo nchi ya ugenini japo kwenye makaratasi tunaambiwa ni Tanzania
Hawa watu ni kama mtoto wa mwisho chochote anacholilia lazima umpe usipompa anapiga ukunga kama anachinjwa
 
Hawa wazazibar wakija zanzibar wanajiita wazanzibar, wakiwa nchi za watu wanataka waitwe wazanzibar wakija Tanganyika wanataka waitwe watanzania.
Sisi watanganyika tukiwa Tanganyika tunajiita watanzania, tukienda zanzibar tunaitwa wabara na tunaishi kama tupo nchi ya ugenini japo kwenye makaratasi tunaambiwa ni Tanzania
Wataalam mje mtusaidie
 
Katiba yao iko wazi. Wanastahili kuitwa Wazanzibari. Kuwaita Watanzania ni kuwaonea tu!

IMG-20240430-WA0017.jpg
IMG-20240430-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom