Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Hiyo hoja inawatesa waliowengi wao.ukweli ni kuwa MiCCM viongozi serikalini watapoteza ulaji,si mnaona wanavyokula keki ya Taifa peke yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hoja inawatesa waliowengi wao.ukweli ni kuwa MiCCM viongozi serikalini watapoteza ulaji,si mnaona wanavyokula keki ya Taifa peke yao.
Kwani wewe una umri gani? Wakitafuta maridhiano unajua sababu ni nini?Hili la wazanzibari kupigana umelitoa wapi au ni hisia zako?
Anazibitika usiogope.4.Muungano ukivunjika Zanzibar itajitangaza kuwa Dola ya kiislam, Tanganyika ndo tutakuwa wahanga wa kwanza wa ugaidi na mashambulizi kutoka makundi yenye itikadi kali
Ila wao ukiwaita wanzanzbar ni ubaguziWANATUITA MACHOGO
Nashangaa sanaHivi ilikuwa mantiki kutuunganisha na hawa wapemba kuwa nchi moja?
Walikosea sana
#
Wao wanajiita Wazanzibar
Katiba yao inaitwa ya Zanzibar
Serikali yao ya Mapinduzi Ya Zanzibar
Wao wanatuita Watanzania bara Watanganyika Wabongo
Sisi Watanganyika tukiwaita Wazanzibar kuwa ni Wazanzibar kwa mujibu wao wenyewe wanasema ETI UBAGUZI
NI WAPI MZANZIBAR AKAJIITA MTANZANIA VISIWANI !!??
Hawa watu ni kama mtoto wa mwisho chochote anacholilia lazima umpe usipompa anapiga ukunga kama anachinjwaHawa wazazibar wakija zanzibar wanajiita wazanzibar, wakiwa nchi za watu wanataka waitwe wazanzibar wakija Tanganyika wanataka waitwe watanzania.
Sisi watanganyika tukiwa Tanganyika tunajiita watanzania, tukienda zanzibar tunaitwa wabara na tunaishi kama tupo nchi ya ugenini japo kwenye makaratasi tunaambiwa ni Tanzania
Wataalam mje mtusaidieHawa wazazibar wakija zanzibar wanajiita wazanzibar, wakiwa nchi za watu wanataka waitwe wazanzibar wakija Tanganyika wanataka waitwe watanzania.
Sisi watanganyika tukiwa Tanganyika tunajiita watanzania, tukienda zanzibar tunaitwa wabara na tunaishi kama tupo nchi ya ugenini japo kwenye makaratasi tunaambiwa ni Tanzania
Muungano wa kizuzu huo.Wataalam mje mtusaidie
Astaghifilullah!Kisiwa kimejaa mashoga na wasagaji
Sisi watanganyika tukiwa Tanganyika tunajiita watanzania, tukienda zanzibar tunaitwa wabara na tunaishi kama tupo nchi ya ugenini
Hapo sawa.Katiba yao iko wazi. Wanastahili kuitwa Wazanzibari. Kuwaita Watanzania ni kuwaonea tu!
View attachment 2977657View attachment 2977658