Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Tatizo kubwa sana hiloKisiwa kimejaa mashoga na wasagaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kubwa sana hiloKisiwa kimejaa mashoga na wasagaji
MaCCM ndio hayataki kusikia neno Tanganyika huo ndio uzalendo pekee yaliyo nayo kwa NyerereNyie Watanganyika kama kina Nape kwani mnautaka Utanganyika wenu?
Sasa watanganyika tumeyachokaHao ni wazee wa kupenda mseleleko hawapendi kufanya kazi, hivyo wanashukuru kuwepo ndani ya muungano huu wa vipofu.
Sasa mbona makasiriko wakitwa wazanzibar wakiwa bara hasa wakiwa wanakula keki ya TanganyikaKatiba yao iko wazi. Wanastahili kuitwa Wazanzibari. Kuwaita Watanzania ni kuwaonea tu!
View attachment 2977657View attachment 2977658
Mara watuite machogoNa mwezi wa ramadhani wanatucharaza viboko....
Nape ni wakumsamehe bure huwa anatumia tumbo kuzungumzaMuungano wa kizuzu huo.
ANGALIZO;Nape atakuita mbaguzi.Kaa chonjo!
Ni waziri wa habari asiye na habari!Nape ni wakumsamehe bure huwa anatumia tumbo kuzungumza
MaCCM ndio hayataki kusikia Tanganyika huku yakizidi kuimega keki ya TanganyikaHuwa nachukizwa sana na watanganyika wanaotetea huu muungano na Zanzibar. Zanzibar kwa nini asiachwe ajitemee mbona tuna ishi kwa amani na majirani wakorofi kama Kenya na Rwanda lakini tunaishi nao kwa amani na tunaheshimiana sote. Kwa nini Zanzibar anaitawala Tanganyika?
Yule kama aliweza kutembezwa kwa mguu kwenda kulamba matapishi kwa Magufuli hakuna anachoshindwa kufanya ili kujaza tumbo lakeNi waziri wa habari asiye na habari!
Mwana wa Mungu ameamusha dude , mwamba kauli yake moja hapakaliki lissu hakuzaliwa kwa bahti mbayaNimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional reforms".
Kwa upande wangu sikubaliana na ufumbuzi waliofikia kwa 100%
Check this out:
1) mineral and oil exploration be co-opted into the national debate on the future of the political federation.
-debate is good but mineral and oil exploration should not be political.
2)Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) should have an equal number of representatives from either side.
-Equal number kwa vigezo gani? Idadi ya watu? Tuelezene mlivyokuja na hiyo soultion equal number of people.
3)consultant on the distribution of wealth generated through mining and oil extraction be hired to advise the Union government on how it can be shared equitably.
-Please kama ni hivyo na huo muungano hatuutaki. For what?
4)It was decided that 50 per cent of the income would be used to finance the operations of the authority and the other 50 per cent be distributed on the basis of 60 per cent for the Mainland and 40 per cent for Zanzibar.
-Hivi hizo hesabu mnafanyaje? How did you come up with 60%, ardhi, watu,?????
Najua watanzania hawataki kuongelea muungano wakiogopa mizimu ya Mwalimu. Kwa upande wangu kuna mambo mawili tu hapa ambayo yanaweza kuleta ufumbuzi wa kudumu kwanza kuuvunja muungana na Zanzibar ikawa nchi kama ilivyo Kenya na tutaendelea kushirikian nao kama tunavyoshirikiana na Kenya, au Zanzibar uwe mkoa. zanzibar kuna watu wasiozidi 3 mil wakati mkoa wa Dar tu una watu 4 mil. Hapo utajiuliza ni kivitu tugawane nusu kwa nusu?
Kama watu hamtaki kuongela hili sual basi mwezi October linaingia kwenye katiba.
Mkataba wa makubaliano ya kuanzisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukisainiwa mwaka 1964.
Mkataba wenyewe (uliosainiwa) umeambatanishwa kama attachment.
Kama nape ameweza kuwa waziri wa hiyo wizara hata chizi na tahira wa milembe anaimudu mara mia ya napeNi waziri wa habari asiye na habari!
SubhanAllah!Kama nape ameweza kuwa waziri wa hiyo wizara hata chizi na tahira wa milembe anaimudu mara mia ya nape