Mliyataka wenyewe kwani mlipovamia Na kuuwa watu kwa maelfu hamkuelewa. Wacha damu ya wanyonge iwateseKijiseheme kinachozidiwa na Ngorongoro Mara 7 kigawena na Tanganyika yote 50/50 magawanyo uendane ukubwa wa eneo au Idadi ya watu
Yale makelele ya kuwa Zanzibar inaonewa yameisha. Kina Jusa kama siyo wao vileHuo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
wauza urojo watalipaje deni?Mleta mada yohanambatizaji njoo ujibu kuhusu kulipa nayo iwe 50/50?
Ni Sawa kabisa,hata bajeti ya mambo ya muungano kama polisi,jeshi,inabidi igawanywe nusu kwa nusu,kama bajeti ya jeshi ni bilioni sita kwa mwezi!,Zenj itoe tatu na bara itoe tatu,harafu sehemu kubwa ya bajeti hiyo lazima itatumika bara maana ndio kutakuwa na mikoa mingi na watu wengi na kambi nyingi za jeshi.Huo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
Hilo jambo hawataki kusikia ni sawa na kuwaambia muungano ufeKama Zanzibar wako serious wanautaka muungano tuunde serikali moja tu.
Basi na ufe tuHilo jambo hawataki kusikia ni sawa na kuwaambia muungano ufe
ume suggest jambo zuri sana, na kama mzanzibari nakubaliana nawe 100%. Tatizo ni kuwa kwa sasa hakuna nchi wala wananchi wa Tanganyika. Hivyo basi anza au anzisheni kampeni murua ya kuweza kujitamba kuwa nyinyi ni watanganyika kwanza then ndio watanzania. Hivyo ndivyo tunavyojitamba sisi wenzenu. Daima tukiulizwa "wewe ni mtu wa kutokea sehemgani?" daima jibu letu ni "Zanzibar" na sio Tanzania. Sasa jiulize wewe ni mara ngapi ushaulizwa "where are you from?" na ukajibu Tanganyika?. Anzeni hapo sasa kisha unganeni nasi katika kampeni ya serikali tatu: Tanzania, Tanganyika na Zanzibar. Mengine yatafuata baadae.Watanganyika tuidai nchi yetu.
Umesema nusu kweli ndugu yangu. Kweli hatutaki serikali moja 100% lakini tunataka sasa hivi muungano ufe 100%!Hilo jambo hawataki kusikia ni sawa na kuwaambia muungano ufe
Muungano ufe tu? Sie wazanzibari tunaomba hilo kila kukicha! Itasaidia sana kama wenzetu wasiokuwa na nchi (formerly known as Tanganyika) watashirikiana nasi katika wito wa kumaliza muungano huu.Basi na ufe tu
Ndio muulipe nyie wauza Cavewauza urojo watalipaje deni?
Watanganyika nawashauri hili suali la ardhi mlisahau maana liko complicated sana. Huku wenyewe zanzibar tuna issue kubwa uhusu ardhi, ndugu zetu kutoka pemba wanakuja unguja na wanatafuta ardhi na kununua na wanauziwa bila tatizo, lakini sisi tukitoka unguja kwenda pemba kununua ardhi hatuuziwe ng'o! Hakuna sheria inayokataza hilo ila ndugu zetu hawako tayari hata siku moja kumuachi muunguja amiliki ardhi pemba. Ni narda sana kuona muunguja anamiliki ardhi au nyumba pemba. Ndugu zetu wa kisiwa cha pemba wana unwritten code kama watu wenye asili ya kihindi ya kulinda na kutunza sehemu ambazo jamii yao kubwa wanaishi na wanahakikisha asokuwa wao hauziwi ardhi sehemu zao.Haina shida hata kwenye kulipa iwe 50/50..
Hata sheria ya Mzanzibar kumiliki ardhi Bara iwe sawa na Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar.
Kama hela TBL mnapokea basi na kiwanda kingine cha TBL kijengwe huko.
Ni kwa sababu Unguja wamejaa wavamizi kutoka Tanganyika Na ndiyo waliouwa watu kwa maelfuWatanganyika nawashauri hili suali la ardhi mlisahau maana liko complicated sana. Huku wenyewe zanzibar tuna issue kubwa uhusu ardhi, ndugu zetu kutoka pemba wanakuja unguja na wanatafuta ardhi na kununua na wanauziwa bila tatizo, lakini sisi tukitoka unguja kwenda pemba kununua ardhi hatuuziwe ng'o! Hakuna sheria inayokataza hilo ila ndugu zetu hawako tayari hata siku moja kumuachi muunguja amiliki ardhi pemba. Ni narda sana kuona muunguja anamiliki ardhi au nyumba pemba. Ndugu zetu wa kisiwa cha pemba wana unwritten code kama watu wenye asili ya kihindi ya kulinda na kutunza sehemu ambazo jamii yao kubwa wanaishi na wanahakikisha asokuwa wao hauziwi ardhi sehemu zao.
Ukitaka kujua anaongoza mwanaume au mwanamke angalia zile bunduki kama zimeshikwaWanaume wenyewe wanaongozwa Na wanawake π³π³
Ukitaka kujua anaongoza mwanaume au mwanamke angalia zile bunduki kama zimeshikwa
na wanawake.
Anawapa amri au wanampa amri?Anayewapa amri walioshika bunduki ni mwanamke ππππ
Anawapa amri au wanampa amri?
Hujiulizi kwann kapiga uturn hotuba ya kuapishwa kwake mliyosema anaupiga mwingi.
Kwanini aljinasibu kuwa atakao watoa kwenye baraza la mawaziri ndio wasali na mwisho akawasafisha
mwenyewe kuwa ni waatumishi waliotukuka?
Hujiulizi kwanini alimfokea Ndugai mwisho anamwita ukulu kumpoza?
Huyo ni usukani tu usihofu dereva yupo.
Tatizo nchi hii, Rais katika utendaji kazi wake, haangalii popote. Tuondoe kinga ya Rais ya kutoshtakiwa.Kama hivyo ndivyo basi tufuate yaliyoandikwa kwenye hati ya muungano
Hii nchi ukishakua Rais unakua na akili nyingi kuliko watu wote sijui zinaongezwa na nini ikuluTatizo nchi hii, Rais katika utendaji kazi wake, haangalii popote. Tuondoe kinga ya Rais ya kutoshtakiwa.
Umeelewa swali au umekurupuka kujibu.Kuna waziri anayeshughulikia muungano, na ndo maana rais wa Zanzibar ni waziri asiye na wizara maalum kwenye baraza la mawaziri wa JMT.