Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Kijiseheme kinachozidiwa na Ngorongoro Mara 7 kigawena na Tanganyika yote 50/50 magawanyo uendane ukubwa wa eneo au Idadi ya watu
Mliyataka wenyewe kwani mlipovamia Na kuuwa watu kwa maelfu hamkuelewa. Wacha damu ya wanyonge iwatese
 
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Yale makelele ya kuwa Zanzibar inaonewa yameisha. Kina Jusa kama siyo wao vile
 
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Ni Sawa kabisa,hata bajeti ya mambo ya muungano kama polisi,jeshi,inabidi igawanywe nusu kwa nusu,kama bajeti ya jeshi ni bilioni sita kwa mwezi!,Zenj itoe tatu na bara itoe tatu,harafu sehemu kubwa ya bajeti hiyo lazima itatumika bara maana ndio kutakuwa na mikoa mingi na watu wengi na kambi nyingi za jeshi.
 
Watanganyika tuidai nchi yetu.
ume suggest jambo zuri sana, na kama mzanzibari nakubaliana nawe 100%. Tatizo ni kuwa kwa sasa hakuna nchi wala wananchi wa Tanganyika. Hivyo basi anza au anzisheni kampeni murua ya kuweza kujitamba kuwa nyinyi ni watanganyika kwanza then ndio watanzania. Hivyo ndivyo tunavyojitamba sisi wenzenu. Daima tukiulizwa "wewe ni mtu wa kutokea sehemgani?" daima jibu letu ni "Zanzibar" na sio Tanzania. Sasa jiulize wewe ni mara ngapi ushaulizwa "where are you from?" na ukajibu Tanganyika?. Anzeni hapo sasa kisha unganeni nasi katika kampeni ya serikali tatu: Tanzania, Tanganyika na Zanzibar. Mengine yatafuata baadae.
 
Haina shida hata kwenye kulipa iwe 50/50..
Hata sheria ya Mzanzibar kumiliki ardhi Bara iwe sawa na Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar.

Kama hela TBL mnapokea basi na kiwanda kingine cha TBL kijengwe huko.
Watanganyika nawashauri hili suali la ardhi mlisahau maana liko complicated sana. Huku wenyewe zanzibar tuna issue kubwa uhusu ardhi, ndugu zetu kutoka pemba wanakuja unguja na wanatafuta ardhi na kununua na wanauziwa bila tatizo, lakini sisi tukitoka unguja kwenda pemba kununua ardhi hatuuziwe ng'o! Hakuna sheria inayokataza hilo ila ndugu zetu hawako tayari hata siku moja kumuachi muunguja amiliki ardhi pemba. Ni narda sana kuona muunguja anamiliki ardhi au nyumba pemba. Ndugu zetu wa kisiwa cha pemba wana unwritten code kama watu wenye asili ya kihindi ya kulinda na kutunza sehemu ambazo jamii yao kubwa wanaishi na wanahakikisha asokuwa wao hauziwi ardhi sehemu zao.
 
Ni kwa sababu Unguja wamejaa wavamizi kutoka Tanganyika Na ndiyo waliouwa watu kwa maelfu
 
Anayewapa amri walioshika bunduki ni mwanamke 😝😝😝😭
Anawapa amri au wanampa amri?
Hujiulizi kwann kapiga uturn hotuba ya kuapishwa kwake mliyosema anaupiga mwingi.
Kwanini aljinasibu kuwa atakao watoa kwenye baraza la mawaziri ndio wasali na mwisho akawasafisha
mwenyewe kuwa ni waatumishi waliotukuka?
Hujiulizi kwanini alimfokea Ndugai mwisho anamwita ukulu kumpoza?
Huyo ni usukani tu usihofu dereva yupo.
 
Hana haraka anajua wanaume wenyewe wameshika bunduki hawawezi kufanya lolote. Magufuli akiwakaranga Kama karanga mwisho akawapeleka kubangua korosho
 
Tatizo nchi hii, Rais katika utendaji kazi wake, haangalii popote. Tuondoe kinga ya Rais ya kutoshtakiwa.
Hii nchi ukishakua Rais unakua na akili nyingi kuliko watu wote sijui zinaongezwa na nini ikulu
 
Back
Top Bottom