Hujui dhara wala maskha[emoji2957]
Allah alikuwa likizo??[emoji12][emoji12]Mimi sijui lakini Nyerere aliyevamia Zanzibar kutekeleza program ya kanisa katoliki ya kuupiga vita uislamu alijua
Labda ndio fikra alizokupa Roho mtakatifu wakoAllah alikuwa likizo??[emoji12][emoji12]
Hilo ndio jibu??Labda ndio fikra alizokupa Roho mtakatifu wako
Hilo ndio jibu??
Shikamana kwenye kamba ya Allah!
Ukitaka twende huko anzisha uzi wako utapewa daawa tu usihofu!Kwani wewe umeiwacha kamba yako ya Roho mtakatifu wako?
Mbona ulianza mwenyewe,au Roho mtakatifu wako alisahau?Ukitaka twende huko anzisha uzi wako utapewa daawa tu usihofu!
Huu uzi unahusu muungano!
Usimuharibie uzi wake!
Nimeaminia wahenga waliosema ashki majunun[emoji16][emoji16][emoji16]
Hujui madhara ya kauli yako,maana mgao haushii kwenye mapato tu, upo hadi kwenye madeni.Huo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
Unalo[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ulianza mwenyewe,au Roho mtakatifu wako alisahau?
Mkuu johnthebaptist tafuta makala za Joseph Mihangwa zitakusaidia sana. Anaijua zanzibar zaidi ya ile familia ya Karumekenge.
Huu muungano ni ndoa ya lazima.
Akili ya matope. Mmoja achangie 80% ya pato na mwingine 20% halafu wagawane 50% .?