Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Mimi sijui lakini Nyerere aliyevamia Zanzibar kutekeleza program ya kanisa katoliki ya kuupiga vita uislamu alijua
Allah alikuwa likizo??[emoji12][emoji12]
 
Kwani nani HASA aliutaka muungano?

1651732996602.png
 
Kwani wewe umeiwacha kamba yako ya Roho mtakatifu wako?
Ukitaka twende huko anzisha uzi wako utapewa daawa tu usihofu!
Huu uzi unahusu muungano!
Usimuharibie uzi wake!
Nimeaminia wahenga waliosema ashki majunun[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukitaka twende huko anzisha uzi wako utapewa daawa tu usihofu!
Huu uzi unahusu muungano!
Usimuharibie uzi wake!
Nimeaminia wahenga waliosema ashki majunun[emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona ulianza mwenyewe,au Roho mtakatifu wako alisahau?
 
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Hujui madhara ya kauli yako,maana mgao haushii kwenye mapato tu, upo hadi kwenye madeni.
 
Akili ya matope. Mmoja achangie 80% ya pato na mwingine 20% halafu wagawane 50% .?
 
Back
Top Bottom