Ndiyo ilivyokuwa. Zanzibar na Tanganyika ziliungana na kuwa nchi moja yenye Serikali 2, ile ya JMT na SMZ (Katiba ya JMT inasema hivyo, siyo mimi)Nchi moja inakuwaje na serikali mbili bwashee?!
Kulipa pia 50/50Huo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
kijamii...zanzibar tumeingiliana nao zaidi ya 200yrs. Ni nini faida yake Kwa sasa?kijamii...zanzibar tumeingiliana nao zaidi ya 200yrs
kisiasa...pamoja tunaunda taifa kubwa
ulinzi imara wa taifa
tunu za taifa
kiuchumi...nafkiri unaona jinsi ilivo rahisi kiutaftaji muingiliano wa biashara na watu (uchumi in general)
โunaeza kuchambua hivo vitu kujiongezea maarifa
kisiasa...pamoja tunaunda taifa kubwakijamii...zanzibar tumeingiliana nao zaidi ya 200yrs
kisiasa...pamoja tunaunda taifa kubwa
ulinzi imara wa taifa
tunu za taifa
kiuchumi...nafkiri unaona jinsi ilivo rahisi kiutaftaji muingiliano wa biashara na watu (uchumi in general)
โunaeza kuchambua hivo vitu kujiongezea maarifa
๐๐๐aya banakisiasa...pamoja tunaunda taifa kubwa
ulinzi imara wa taifa, ukubwa wa eneo ni uimara wa ulinzi? Watanganyika tumelogwa
Kwa sasa kubwa kabisa ni ya kisiasa kwamba tumeungana na tumedumu muda mrefu.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili ( nchi 2, faida Za huu muungano ni zipi?
Ni nini faida ya Muungano kwa mfanyakaxi wa umma, mkulima, mfugaji, mvuvi, Mchimbaji madini, au mfanya biashara wa bara?Ndiyo ilivyokuwa. Zanzibar na Tanganyika ziliungana na kuwa nchi moja yenye Serikali 2, ile ya JMT na SMZ (Katiba ya JMT inasema hivyo, siyo mimi)
Sasa hivi ,Katiba ya Zanzibar inadai Zanzibar ni "nchi" yenye serikali yake na "inapakana"na JMT;
Huku Katiba ya JMT inadai Tanzania ni "nchi" yenye Serikali mbili, na "Zanzibar ni moja ya eneo lake".
Huo ndio ukweli uchochez upo wp hapo??Endeleeni Kuchochea tu
Jo kuna wakati nadhani zinakutoka kidogo..sina hakika NADHANIHuo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
Watalipa na nini?labda wauze maji ya bahariWanaoanzisha hii hoja huwa hawana akili. Kwenye kulipa mbona hamtumii formula ya 50/50?
Kuna maoni kinzani: Kuna maoni huku bara kwamba Tanganyika imepotea na kumezwa. Lakini upande wa visiwani wanadai Tanganyika ipo ila imevaa koti la Tanzania yaani Tanzania ndiyo Tanganyika yenyewe tofauti ni jina. Kwa hiyo, kisemwacho upande wa bara kinapingwa upande wa visiwani.Mkuu ninakubaliana na kauli yako, ila huoni wazanzibar wanatuona mazuzu Sisi watanganyika?
Mazuzu ni sisi bara. Wewe unakwenda kuungana na maskini unatarajia nini kama Sio mlolongo wa maneno.Kuna maoni kinzani: Kuna maoni huku bara kwamba Tanganyika imepotea na kumezwa. Lakini upande wa visiwani wanadai Tanganyika ipo ila imevaa koti la Tanzania yaani Tanzania ndiyo Tanganyika yenyewe tofauti ni jina. Kwa hiyo, kisemwacho upande wa bara kinapingwa upande wa visiwani.
Bara ukisema tunawalisha visiwani, visiwani wanadai wangekuwa peke yao wangekuwa kama Dubai.
Sasa hapo zuzu ni nani, inategemea upo upande upi๐
Nchi mbili ziliungana kuwa nchi moja. Baada ya hapo pato la taifa linapaswa kugawiwa sawa kwa raia wa nchi mpya Tanzania. Iwe ni pato la ndani, misaada au mikopo, kama sio kwaajili ya mradi fulani wa eneo fulani, basi pato hilo lapaswa kugawiwa sawa. Lakini pia nchi yaweza kukopa kwa ajili ya kujenga mradi Fulani eneo fulani tuu, eg. kujenga airport chato (๐๐๐), kujenga hospitali Kigoma, kujenga barabara Kilimanjaro au kujenga bandari Pemba etc. Haiwezekani tukope say trillion 10 kuboresha elimu Tanzania, halafu tupeleke visiwani trillion 5 ambapo Kuna raia million moja na nusu tuu, na bara nayo ipate trillion 5 wakati idadi ya raia huku ni karibu million 60.Huo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
Huo ndio ukweli.