Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Ndiyo ilivyokuwa. Zanzibar na Tanganyika ziliungana na kuwa nchi moja yenye Serikali 2, ile ya JMT na SMZ (Katiba ya JMT inasema hivyo, siyo mimi)Nchi moja inakuwaje na serikali mbili bwashee?!
Sasa hivi ,Katiba ya Zanzibar inadai Zanzibar ni "nchi" yenye serikali yake na "inapakana"na JMT;
Huku Katiba ya JMT inadai Tanzania ni "nchi" yenye Serikali mbili, na "Zanzibar ni moja ya eneo lake".