Tanganyika iko wapi? Mbona haionekani kwenye Atlas, haionekani kwenye ramani ya dunia, haionekani kwenye Google Maps? Tanganyika ndiyo nini leo?
Aliyesema kikosi cha kwanza kwenda uganda kilitoka Zanzibar nan?Hivi hujui kuwa Zanzibar haina jeshi ?
Aliyesema kikosi cha kwanza kwenda uganda kilitoka Zanzibar nan?
Wewe utakua unaugua wazimu.Hujajibu swali , Hivi Zanzibar Ina jeshi lake?
Wewe utakua unaugua wazimu.
Umesema Zanzibar ndio ya kwanza kupeleka jeshi Uganda,
ulikuwa hujui kama ina jeshi au lah!?
[
/QUOTE]
Soma vizuri niliandika kitu gani halafu uniambie hivi Zanzibar Ina jeshi lake ?
Soma vizuri niliandika kitu gani halafu ujibu swali Zanzibar Ina jeshi lake ?Wewe utakua unaugua wazimu.
Umesema Zanzibar ndio ya kwanza kupeleka jeshi Uganda,
ulikuwa hujui kama ina jeshi au lah!?
Wewe unaugua wazimu si bure..Soma vizuri niliandika kitu gani halafu ujibu swali Zanzibar Ina jeshi lake ?
Ndiyo wewe mwenye akili umesoma Na ukajibu swali?Wewe unaugua wazimu si bure..
Kila kitu soma vizuri.
JKU na KMKMHujajibu swali , Hivi Zanzibar Ina jeshi lake?
Samia anajidanganya tu kujifanya anaipendelea Zanzibar kwa mikopo.Na hata deni la taifa tunagawana 50/50, safi kabisa
ππππJKU na KMKM
Kwa huu uvamizi uitwao muungano?Samia anajidanganya tu kujifanya anaipendelea Zanzibar kwa mikopo.
Akitoka lazima hayo madeni wabara wayadai kwa nguvu zote,
labda ufanikiwe mpango wake wa kumuweka mwinyi.
Huu Muungano utavunjika kwa sababu ya tamaa za watu wachache.
Samia ndio kwanza kuchukua mikopo kupleka home hela ya mwanaume hailiwi bure.Kwa huu uvamizi uitwao muungano?
Samia ndio kwanza kuchukua mikopo kupleka home hela ya mwanaume hailiwi bure.
Na kwa ulipaji wa madeni je?Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Kijiseheme kinachozidiwa na Ngorongoro Mara 7 kigawena na Tanganyika yote 50/50 magawanyo uendane ukubwa wa eneo au Idadi ya watuHuo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!