Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Huu Muungano utavunjika kwa sababu ya tamaa za watu wachache.
 
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Kijiseheme kinachozidiwa na Ngorongoro Mara 7 kigawena na Tanganyika yote 50/50 magawanyo uendane ukubwa wa eneo au Idadi ya watu
 
Back
Top Bottom