Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Huo si muungano ni uvamizi uliopewa Jina la muungano. Tanganyika chini ya utawala wa Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar Na kuuwa maelfu ya watu Na kuifanya Zanzibar ni koloni lake.
Hadi leo sijapata picha Nyerere alikwenda kutafuta nini Zanzibar?
Au ulikuwa ulevi wa madaraka? Mbona Hakuna Uganda baada ya vita?
 
Nyerere aliona nini Zanzibar??..

Kuna namna tunapata namna ya kujilinda vizuri kiulinzi tukiikalia Zanzibar?.
Kujilinda Na nini Zanzibar ni mpaka uvuke bahari lakini Kenya, Uganda,Rwanda Burundi , Kongo, Malawi, Zambia Msumbiji unaingia kwenye vichaka Tu.
Wapi zaidi ni kwa kujilinda. Akili zenu ziko mkunduni?
 
Kujilinda Na nini Zanzibar ni mpaka uvuke bahari lakini Kenya, Uganda,Rwanda Burundi , Kongo, Malawi, Zambia Msumbiji unaingia kwenye vichaka Tu.
Wapi zaidi ni kwa kujilinda. Akili zenu ziko mkunduni?
Sasa matusi ya nini?

Mimi nimeuliza tu hivo maana sioni faida ya huu muungano..ndo nikauliza Nyerere aliona nini kutaka kuungana za Zanzibar.
 
Mazuzu ni sisi bara. Wewe unakwenda kuungana na maskini unatarajia nini kama Sio mlolongo wa maneno.
Kuungana ni kuungana kiuchumi Ili wananchi wafaidike na huo muungano,
Wakati tunaungana ZANZIBAR ilikua mbali kiuchumi na kisiasa MKILONI MWEUSI amekuja kuirejesha nyuma Zanzibar soma historia bila chuki utaijua ZANZIBAR ilipokua
 
Sasa matusi ya nini?

Mimi nimeuliza tu hivo maana sioni faida ya huu muungano..ndo nikauliza Nyerere aliona nini kutaka kuungana za Zanzibar.
Aliona huko zao la karafuu akasahua kule kwake Kiabakari na Butiama ardhi Omaha dhahabu.
 
Hadi leo sijapata picha Nyerere alikwenda kutafuta nini Zanzibar?
Au ulikuwa ulevi wa madaraka? Mbona Hakuna Uganda baada ya vita?

Nyer
Aliona huko zao la karafuu akasahua kule kwake Kiabakari na Butiama ardhi Omaha dhahabu.

KUTOKA MAGAZETI YA ZAMANI

Si 'Muungano' bali...

AN-NUUR Jamaduthan 1414 A.H, Desemba 1993

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
 
Sasa matusi ya nini?

Mimi nimeuliza tu hivo maana sioni faida ya huu muungano..ndo nikauliza Nyerere aliona nini kutaka kuungana za Zanzibar.
Samahani kama nimekukwaza lakini inakera kweli kweli , kupoteza roho Za watu kila miaka 5 kuleta umasikini Na udini
 
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Kuna mambo machache TU tulioungana ndo maana kule kuna serikali kuongoza mambo yasiyo ya muungano. Kwa logic hiyo haiwezekani mapato yawe sawa.
 
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Siyo mbaya kama kila akipewa sehemu ya mkopo ajue na namna ya kulipa.
 
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Safi sana , kwa mdomo huo huo useme na MADENI ni 50/50.
Hapo ndio patamu.
Maendeleo na kulipa madeni hayana vyama.
 
Kama kweli tanganyika ni tanganyika original na watu wake ni watanganyika original basi wawarudishie tu zenji inchi yao
Ili kila mmoja ateseke kivyake,
Vinginevyo ni kulazimishana na kutiana hasira tu,
Yaani 60 milioni kwa 2milioni halafu tugawane sawa?
Bora niende burundi tu
 
Back
Top Bottom