Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Muda si mrefu mtakipata mnachotafuta!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda si mrefu mtakipata mnachotafuta!.[/QUO
Pasco,
Hawa ni wagumu kuwaelewa, kwani viongozi walio wengi wa Zenji walikuwa nyuma ya hawa jamaa ndo maana tumefikia hapa, ila ni wagumu kuwaelewa huyu waziri Aboud ni mtu pekee amekuwa akitetea na kulaani hadharani kuwatenga wabara, lakini hawa wengine hamna kitu, kuna watu kama huyu mama wa cc ya CCM BI Asha Bakari alikuwa ameajiliwa TTCL kitu ambacho naweza kusema ndo kero zingine za muungano maana si shirika la Muungano maana yake alichukua nafasi wa wabara lakini leo analoloma bila aibu hataki muungano?
Watu wa ajabu saana hawa , njaa inawasumbua saana
WAZANZIBARI WANACHODAI NI NCHI YAO, WANATAKA IITISHWE KURA YA MAONI WAULIZWE MUUNGANO WANAUTAKA AU HAWAUTAKI
Sasa kinawazuia nini kuitisha hiyo kura ya maoni waulizane wao kwa wao? MBona wameweza kuandika Katiba yao mpya na kuitangaza Zanzibar ni "nchi" kitu ambacho kinavunja hoja ya kudai nchi tena!
Kama kweli wanachodai ni nchi "yao" ambayo tayari wanayo kwa mujibu wa katiba yao kwanini wasiamue kupitisha sheria kwenye baraza la wawakilishi ili waulizwe hilo swali?
Au wanataka nani awaulize? Lakini kama kweli umeshajua wanachotaka ni ''nchi yao" kwanini hamuwaambia viongozi wenu walioko kwenye Muungano wajiuzulu na Wazanzibari wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za Muungano kujiuzulu na kurudi Zanzibar ambako watapewa kazi nyingine?
Mbona unajichanganya! Kwa maana hiyo njia mnayotumia kudai nchi yenu ya kuchoma makanisa na vitisho kwa wakristo na wabara ni sahihi? Acheni ujinga bana!
usitake kutuzungusha weye unayeumwa na mwenye choyo kwa wazanzibari, mwenye kujaribu kutumia kalamu yako kufitini na kugeuza ukweli kwa choyo na husda zako
mwanzo mliataka kuaminisha watu kuwa kule mapambano ni juu ya watu wenye asili ya bara kutengwa. mkaona haitoshi mkataka kupandikiza kuwa ati kinachotokea ni waislam kuuchukia UKRISTO, mkaona haitoshi mkaleta hoja kuwa wanachochewa na mfalme ili arudi mkaona haitoshi mkaja waaarabu ndio wanaendesha mchakato. mara alqaeeda mara imekuja jeuri kwa sababu ya uchoyo, wamesikia zanzibar kuna mafuta wanataka kuwatenga ndugu zao kwa sababu ya mafuta
kabla hata alama ya mafuta haijaanza kuongelewa. ukweli usemwe WAZANZIBARI WANATAKA NCHI YAO
na kuhusu kura ya maoni wazanzibar wanaishinikiza serikali yao iwape hio fursa na wala sio tanganyika na wao wanashangazwa na kigugumizi cha viongozi wao. na hapo wanaona jinsi wanasiasa wanavyoogopa nguvu ya muungano, hatujui na wao weshatishwa kama alivyotishwa karume? historia itakuja kuweka wazi
ILA WAZANZIBAR BILA KUJALI SIASA WATAENDELEZA KWA AMANI NA BUSARA KUDAI HAKI YAO HADI KIELEWEKE
tulia sasa ueleweshe na usirukie post ya mtu kama huna jibu lake.. hapa hatupo kwenye mihadhara au mabishano ya yesu ni mungu ama sio mungu ...'
hapa umeulizwa kwa nini viongozi wenu waliopo bara msiwashinikize waachie ngazi zote warudi huko visiwani muwape kazi zingine? charity beggin at home ...waambieni na wabunge wote na wote walipo kwenye nafasi yoyote huku bara wasusie na kuachia ngazi ...sio mnajifanya hamtaki huku mmekishikilia
Zanzibar yasiyotakiwa ni Makanisa tu, ndio maana magari kibao ya Wachungaji yalichomwa moto! Wazanzibari ni wanafiki kupita maelezo maana watakuletea story nzuri nzuri kuwa hawautaki Muungano lakini cha ajabu wamejazana Tanzania Bara huku wakiwatimua Watz Bara huko Zanzibar. Wapo hata katika taasisi zisizo za Muungano, Sasa Muungano upi usiotakiwa? Hivyo vibaraghshia vimefunika bongo zenu na kuwapumbaza akili?
Wasiofaidika.Jamani kumbe fauida za muungano nyingi hivi....kwanini watu wanataka uvunjwe sasa?