Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika, piga ua garagaza! Liwalo na liwe...
Your English shows clearly how much you hate our real enemy!Ladies and Gentlemen, my view is Tanganyika, Zanzibar and Africa for the whole are interconnected each other.I'm frankly to say that, we are one blood before the scramble and partion of our continent conference held in German 1884.in addition,the border has crosses us and not us cross the border,and I think there is no honor to say either I'm from Tanganyika or Zanzibar.Furthermore,I think Africa is forgetting who is their enemy our real enemy is white people who made us in this mess.We don't need to fight among us for the border made by our real enemy.Wake up brothers and sisters.
Muungano wetu unatikiswa kwa hoja ya serkali 3, lakini tukiwa na serikali 2 Tutadumu kwa miaka 50 mingine.
Naombeni tuunge two government system reformed.
Mkuu kwanza heshima yako, pili pole na kazi, tatu Shusha Munkari. Muungano ukivunjika zitapatikana nchi Mbili (1.Tanzania bara a.k.a Tanganyika; 2. Zanzibar): Baada ya hapo dhambi hiyo itawagawa Wazanzibar kwenye makundi mawili (WazanziBARA na WazanziBARI); Hawataishia hapo watasema Sisi ni Wapemba na Hawa ni Waunguja (Nchi mbili tena hapo UNGUJA na PEMBA). Kwahiyo Mkuu ili Unguja iwe salama (Watafanya kama Crimea walivyopiga kura kuomba kujiunga Rusia) wataomba kujiunga tena na Tanzania bara (Tanganyika). Dhambi hii itatusumbua sana.