Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Kulazimisha penzi ni hatari sawa nakulazimisha muungano ambo wananchi wake hawautaki.Kwanini wasiachwe tu, make hii sasa ni kulazimisha mapenzi.....
By Nabii selemani msindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulazimisha penzi ni hatari sawa nakulazimisha muungano ambo wananchi wake hawautaki.Kwanini wasiachwe tu, make hii sasa ni kulazimisha mapenzi.....
YaaPinda (2008) alisema Zanzibar sio nchi na ikaingia kwenye hansard
Alisema sentensi moja tu, Zanzibar sio nchi!. Boss wake, JK, baada ya kuona kuwa mambo sio mambo, ndio akaiweka kama ulivyoiandika hapoYaa
Alisema sio nchi ukiwa nje ya nchi. Lakini kwa ndani ya nchi. Zanzibar ni nchi
Haya mambo haya?
Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe
Kwa ndani ni Mwanamme, na kwa nje ni MwanamkeYaa
Alisema sio nchi ukiwa nje ya nchi
Lakini kwa ndani ya nchi
Zanzibar ni nchi
Haya mambo haya?
Kule zanzibar kuna majengo na ofisi za TRA zinakusanya kodi kwaajili ya Tanganyika waendeshe maisha yao ya kila siku, zanzibar haifaidiki na hizi kodi ata nusu shilingiMuungano wa bara na visiwani uangaliwe upya bara wanaumia. Zanzibat kuna utawala wa Rais wa muungano na Rais wao wakato bara wana Rais wa miungano. Zanzibar wana bumge lao na wengine wanakwenda kwenye bunge la muungano, idadi ya wazanzibar ni 1.3 milinoni na wabara ni zaidi ya 58 milioni, sasa faida ya muungano iko wapi?
HiyoTPA ifutwe huko visiwani waanzishe taasisi yao.Kule zanzibar kuna majengo na ofisi za TRA zinakusanya kodi kwaajili ya Tanganyika waendeshe maisha yao ya kila siku, zanzibar haifaidiki na hizi kodi ata nusu shilingi
hao wanzanibar wameshakua wabaridi mnoo hawana uwezo wa kukataa muungano kwa vitendo.
ipo ZRB lakini zanzibar ndio nchi pekee duniani ambayo inalipa kodi mara mbili mbiliHiyoTPA ifutwe huko visiwani waanzishe taasisi yao.
Unajua ni nini?Ni bora huu Muungano wetu ukavunjika halafu tukawa nchi jirani zenye kupendana kuliko maelezo,ila hivi tulivyo inakuwa kama hatuelewani.
Tugawane mbao kisha kila mtu ajenge mtumbwi wake.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.
yaaaheee kuna mpemba huku muuza 👁 anaongea utumbo mtupuNi bora huu Muungano wetu ukavunjika halafu tukawa nchi jirani zenye kupendana kuliko maelezo,ila hivi tulivyo inakuwa kama hatuelewani.
Tugawane mbao kisha kila mtu ajenge mtumbwi wake.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.