maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
Madaraka ya rais wa jamhuri ya muungano(ibara ya 85 :1-6) kutangaza hali ya hatari ni moja ya safari ya mafahari wa Tanganyika na Zanzibar watakapomgomea rais wa jamhuri ya muungano kwa maana katika mambo ya muungano hakuna hali ya hatari.
Hapo ndipo mgogoro wa serikali tatu utapoanzia na Zanzibar kama katiba yao hawatakubali kubadilishwa kipengele cha amri ya kutoka kwa serikali ya jamhuri ya muungano kwamba haitatekelezwa mpaka ipitiwe na baraza la wawakilishi basi mtafaruku huo utaleta hali ya hatari kwa rais wa muungano kushindwa kutumia madaraka yake na mwisho kuzaa mgogoro wa kimamlaka na kwa kuwa zanzibar haitaki muungano basi hiyo itakuwa dirisha la kutoka kwaenye muungano na kujitangazia kama nchi huru.
Je wanajamvi hali hiyo imekaaje maana hiyo ndio rasimu inavyosema.