Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Jaamani naomba kuuliza, si kwamba nadharau ila nataka kujua kuwa "INA MAANA AKILI YA MWALIMU NYERERE NI ZAIDI YA AKILI ZA WATANZANIA WOTE HADI SASA?" Hivi mawazo ya Mwalimu Nyerere ni Msahafu au Biblia?
Ni hayo tu Watanganyika wenzangu!
 
ukitaka kujua hilo kuna wale waliosoma walioenda shule kidodo hata ya kidato cha nne basi kuna watu wanaitwa plato arristatol na socrates kwa nini wanatajwa mpaka leo watu waliokufa kabla ya kuzaliwa kristu?

jibu la swali lako ni hii nyerere ni mwanafilosofia amefanya mambo yaliyowagusa watu sana kila kona kwa mazuri na mabaya. Nyerere alivunja mfumo akasimamisha mfumo. wale watu waliokuwa na mfumo wao ukavunjwa ndio wanaomlaani mpaka leo na baada kusimamisha mfumo mpya walioukubali ni wengi zaidi kuliko wale wanaomlaani kwa hiyo ndio maana jina hilo nyerere litaendelea sana kutajwa sio hapa tu tanzania na africa inamjua kama mwana wa afrika mwenye uwezo aliyewahi kuishi duniani katika sehemu inayoitwa Tanzania.

nadhani nimekusaidia ngugu yangu.
 
mimi nimetoa kitu kitakachokea ila faida ya muungano utaiona siku muungano ukivunjika kama wewe wazenji watapata ndio wataopata shida zaidi itakuwa kama urusi na jimbo la cremia kutaka kujiuunga na urusi maana angalia ukubwa wa tanganyika na zanzibar kibiashara wataathirika sana sidhani kama chakula watajiweza wasije tanganyika mpakani lazima watozwe sawasawa.

Unajidanganya sana kufikiri kuwa Zanzibar itapatatabu ya chakula kwa kuvunjika muungano. Bila shaka kuvunja utaratibu kwa hafla kutakuwa na madhara yake lakini sio kuwa Zanzibar itashindwa kupata chakula.

Chukuwa mfano mmoja hjuu, ni juzi tu kulikamatwa vyakula pwani ya kunduchi, sijui kama unajuwa kuwa vyakula vile vinatoka Zanzibar? Sasa jiulize kizungumkuti hicho, halafu utwambie huko wanakokipata na namna wanavyovipata Wazanzibari watashindwaje kupata chakula iwapo muungano utavunjika?
 
ukitaka kujua hilo kuna wale waliosoma walioenda shule kidodo hata ya kidato cha nne basi kuna watu wanaitwa plato arristatol na socrates kwa nini wanatajwa mpaka leo watu waliokufa kabla ya kuzaliwa kristu?

jibu la swali lako ni hii nyerere ni mwanafilosofia amefanya mambo yaliyowagusa watu sana kila kona kwa mazuri na mabaya. Nyerere alivunja mfumo akasimamisha mfumo. wale watu waliokuwa na mfumo wao ukavunjwa ndio wanaomlaani mpaka leo na baada kusimamisha mfumo mpya walioukubali ni wengi zaidi kuliko wale wanaomlaani kwa hiyo ndio maana jina hilo nyerere litaendelea sana kutajwa sio hapa tu tanzania na africa inamjua kama mwana wa afrika mwenye uwezo aliyewahi kuishi duniani katika sehemu inayoitwa Tanzania.

nadhani nimekusaidia ngugu yangu.
Mmmmmmmmmm! kuanzisha Muungano is not a LAW or PRINCIPLE. kwa hiyo mmmmmmmm machale yananicheza kukubaliana na wewe!
 
Unajidanganya sana kufikiri kuwa Zanzibar itapatatabu ya chakula kwa kuvunjika muungano. Bila shaka kuvunja utaratibu kwa hafla kutakuwa na madhara yake lakini sio kuwa Zanzibar itashindwa kupata chakula.

Chukuwa mfano mmoja hjuu, ni juzi tu kulikamatwa vyakula pwani ya kunduchi, sijui kama unajuwa kuwa vyakula vile vinatoka Zanzibar? Sasa jiulize kizungumkuti hicho, halafu utwambie huko wanakokipata na namna wanavyovipata Wazanzibari watashindwaje kupata chakula iwapo muungano utavunjika?

kama nilivyosema kuishi wataishi kwani hawana marafiki? mimi ninachomaanisha ni uhuru huu walionao wataupoteza baada ya muungano.
 
Muungano utakuja vunjika kwa sababu waliouasisi waliamua kuufanya kuwa kitendawili hadi leo. Kuna mambo yanayohitaji ufafanuzi na uwazi zaidi ili kila upande uridhike lakini hayatatuliwi kiasi huwa ni vigumu kuelewa huu muungano ni kwa faida ya nani maana kila upande unalalamika

Muungano haukufanywa kwa kulenga faida wakati wa hao waasisi. Wakati wao ndio ulikuwa wakati ambao kulikuwa hakuna maingiliano yoyote kwa wananchi. Kusafiri kwa Pasipoti na Zanzibar tulikuwa na vitambulisho vya uraia.
Kuna nyakati tofauti upande mmoja ulikuwa na dhiki lakini upande wa pili kuna faraja lakini hakuna kusaidiana.

Lengo lilikuwa kulindana katika madaraka ya viongozi wa pande mbili hizi.Hili la upande mmoja kutumia ujanja na udhaifu wa mwengine ulikuja baadae nahuku kulileta kutegemeana kimaslahi na huu utegemezi wa kimaslahi wa viongozi ndio unaotiliwa maanani sasa.
 
Unajidanganya sana kufikiri kuwa Zanzibar itapatatabu ya chakula kwa kuvunjika muungano. Bila shaka kuvunja utaratibu kwa hafla kutakuwa na madhara yake lakini sio kuwa Zanzibar itashindwa kupata chakula.

Chukuwa mfano mmoja hjuu, ni juzi tu kulikamatwa vyakula pwani ya kunduchi, sijui kama unajuwa kuwa vyakula vile vinatoka Zanzibar? Sasa jiulize kizungumkuti hicho, halafu utwambie huko wanakokipata na namna wanavyovipata Wazanzibari watashindwaje kupata chakula iwapo muungano utavunjika?

ujinga ni pale watanganyika wakiendelea kubembeleza serikali mbili wakati jamaa wanasema wao ni nchi ,tupa kule waende,we hav beatiful country rich of resources they dont
 
Mmmmmmmmmm! kuanzisha Muungano is not a LAW or PRINCIPLE. kwa hiyo mmmmmmmm machale yananicheza kukubaliana na wewe!

Wala sikulazimishi ukubaliane na mimi ila nilitaka nikupe jibu kwamba uliuliza mawazo yake ni msahafu? mawazo yake yatakuwa msahafu pale ambapo mambo yanaenda tofauti ukweli aliowahi kusema alipokuwa hai. Maana hata kama utatengeneza mlima wa uwongo unaangushwa na ukeli moja tu. Nyerere alichagua jina jema kuliko pesa na ndio mana jina hilo itaishi milele katika mioyo ya watu.
 
Muungano haukufanywa kwa kulenga faida wakati wa hao waasisi. Wakati wao ndio ulikuwa wakati ambao kulikuwa hakuna maingiliano yoyote kwa wananchi. Kusafiri kwa Pasipoti na Zanzibar tulikuwa na vitambulisho vya uraia.
Kuna nyakati tofauti upande mmoja ulikuwa na dhiki lakini upande wa pili kuna faraja lakini hakuna kusaidiana.

Lengo lilikuwa kulindana katika madaraka ya viongozi wa pande mbili hizi.Hili la upande mmoja kutumia ujanja na udhaifu wa mwengine ulikuja baadae nahuku kulileta kutegemeana kimaslahi na huu utegemezi wa kimaslahi wa viongozi ndio unaotiliwa maanani sasa.

je muungano ili uwe mzuri unaangalia nini labda tueleshane hapo kwanza maana hapa kuna kitu kimejificha.
 
kwa hiyo wewe hukuona cha kujadili katika post yangu ukaona hofu yangu? hoja ni jinsi vifungu vinavyogongana kama unataka nikusaidie kukuelewesha. mana vifungu vinagongana now let go to fact nafikir nimekusaidia.

Nilikwishakwambia kuwa kama lengo ni kuuimarisha basi ni kazi ya Bunge maalum kuondowa migongano iliyopo. Tatizo ni kuwa hatuko wazi jee tunautaka au la!
 
ujinga ni pale watanganyika wakiendelea kubembeleza serikali mbili wakati jamaa wanasema wao ni nchi ,tupa kule waende,we hav beatiful country rich of resources they dont

well said comred!!!!!!!!!!!!!
 
Nilikwishakwambia kuwa kama lengo ni kuuimarisha basi ni kazi ya Bunge maalum kuondowa migongano iliyopo. Tatizo ni kuwa hatuko wazi jee tunautaka au la!

hiyo ndio hoja ndugu yangu. Ila hatuna room ya je muungano uwepo au usiwepo tuna room ya tunataka muungano wa serikali ngapi ndio maana tumepotezana mpaka mambo ya msingi tumeacha kujadili kama matokeo ya kidato cha nne!!
 
Maganjwa jibu hoja kaka. Fafanua hiyo kifungu

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
huu muungo wa tanganyika. na zanzibar uvunjwe na kama kutakuwa na ulazima wa kuungana hapo baadae iitishwe kura ya maoni wananchi wa pande zote waulizwe kama wanataka kuungana au hawataki
 
kama nilivyosema kuishi wataishi kwani hawana marafiki? mimi ninachomaanisha ni uhuru huu walionao wataupoteza baada ya muungano.

Huu si uhuru bali ni pango! Hivyo tutaishi sisi na vizazi vyetu katika kupangishwa? Uhuru ni uhuru wa kujitegemea na kuamuwa kwa matakwa yako bila kuingiliwa na mtu. Huoni kuwa hili sisi na wao litaendelea daima sasa na vizazi vijazo? Ni bora tuanze mwanzo kwa ugumu lakini tukiwa na uhakika kuwa tunafanya tufanyayo bila kuja mtu akatusimbulia. Watanganyika mna roho za kutokumkubali mtu yoyote asie nyie. Hadi leo Wapemba mnawaita Wapemba ingawa wapo Dar miaka mingi kuliko wengi wenu mliotoka mikoani. Mpaka leo bado kuna WEaarabu na Wahindi na akikosa kidogo ananza kutajiwa kabila yake. Jee unafikiri ungekuwa wewe ni Mzanzibari ungekubali kuishi katika hali hiyo?
 
je muungano ili uwe mzuri unaangalia nini labda tueleshane hapo kwanza maana hapa kuna kitu kimejificha.
Tuwe na serikali tatu na tuwe na nia ya kuwa na muungano sio kulaghaiana!
 
Maganjwa jibu hoja kaka. Fafanua hiyo kifungu

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

Ok!! ninaposema madaraka ya rais ya kutangaza hali ya hatari kama vita ameandikiwa kweye rasim, ila katika mambo ya muungano jambo hilo sio la muungano na halipo katika orodha ya mambo ya muungano. sasa shida inakuja pale atakataka kuamrisha majeshi labda kwenda vitani marais wa nchi washirika si watamgomea? na kumwambia jambo hilo si la muungano na rais wa jamhuri ya muungano kushindwa kueexercise madaraka yake? hiyo mgongano ninaouona mkuu.
 
hiyo ndio hoja ndugu yangu. Ila hatuna room ya je muungano uwepo au usiwepo tuna room ya tunataka muungano wa serikali ngapi ndio maana tumepotezana mpaka mambo ya msingi tumeacha kujadili kama matokeo ya kidato cha nne!!

Si nishakwambia kuwa lengo sasa ni kulinda maslahi ya wachache? Hawa ndio tatizo kiasi kuwa wanapinga wanayoyataka wananchi!
 
Back
Top Bottom