FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
nyerere alikuwa na akili sana umuhimu wa muungano ni sawa na kusema umoja wa afrika unanisaidiaje au tanganyika inanisaidia nini ni hapo tu ukijua jibu la swali hilo basi umuhimu umeupata
Akili za kuuwa nchi na kuiwacha maskini wa mwisho duniani? asiye na akili tu ndio ataziona kuwa hizo ni akili.