Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muungano ni silaha ya kuendeleza ugalatia znz. Wanajenga makanisa tu wala hayana waumini.minyoo,
Wewe kweli minyoo tena ile ndani ya utumbo wa nguruwe unaoishi kwa uchafu anaokula nguruwe. Kwanza ni Zanzibar ilowaamsha katika zombie world mlizorogwa na baba yenu wa taifa alowafichia Tanganyika yenu katika nchi ya Kusadikika [Tanzania] ni Wazanzibari pekee ndio walionda kumpa changamoto hadharani tena yuko hai. Nyinyi wengi wenu mlikuwa hamjui lolote na waliojuwa walikuwa wanaogopa hata kufikiria kutafuta kengele wacha kufanya shauri mumfunge vipi kengele Paka Shume. Tulipikuwa tunapigwa na kunyanyaswa kwa kudai haki zetu nyumbani kwetu mlikuwa [Chadema] ndio mnakusanya viboko na kupiga makofi kushangiria, leo mnapigwa nyinyi na kunyanyaswa ndani ya nyumba yenu halivyeye yuko kuzimu teh teh teh. Nyinyi sio mlioamka kudai Tanganyika ni sisi ndio tuliowaamsha minyoo nyinyi!!!
Eti Zanzibar inainyonya Tanganyika kwa kila kitu:
1) EPA ni Zanzibar??,
2) Scandal ya Radar ni Zanzibar?
3) Mikataba mibovu ya Madini ni Zanzibar?
4) Mikataba mibovu ya Gesi asilia ni Zanzibar?
4) Majangiri ya wanyama pori ni Zanzibar?
5) Kashfa za Tanapa ni Zanzibar?
Eti Muungano ukivunjika Tanganyika itakuwa nchi Tajiri teh teh teh. Sasa mnag'ang'ania nini basi lazima Muungano uwepo mara.serikali mbili mara moja? Mmkuwa kama mke yatima aso na kwao Mwanaume hakutaki bado unashikilia tu hapo hapo hutoki ndani ya nyumba ya watu.
Eti uchumi wa Zanzibar hakuwi, kwa taarifa yako kwa Uchumi wa Zanzibar umekuwa by 7.9% katika 2012
allAfrica.com: Tanzania: Zanzibar Economy to Grow By Eight Percent
Nyinyi mnachokiogopa Zanzibar kuwa na mamlaka kamili ni vitu viwili:
1) Chuki dhidi ya Uislam manogopa eti tutawaamsha ndugu zetu.waislam walioko Tanganyika na ndio mlichokiweka mbele (outside influnced). Hao wameamka zamani kwani ndio chimbuko la TANU na hili nyinyi Wayahudi weusi linawauma kwenye matumbo yenu. Hamuikubali historia hii.
2) Mnaogopa kuaibika kwa sababu tayari Zanzibar imeshaonyesha mfano katika miaka ya karibuni 1982-84. Katika mipango yaie ya kiuchumi na uhuru wa biashara enzi za Serikali ya SMZ awamu ya Tatu.
Na huu ndio uadui wenu dhidi ya Wazanzibari. Nasi tunaujuwa vizuri.
Endeleeni kuwafumbia macho walafi wenu wanaoshirikiana na multinationals kama Barick Gold Africa, Aminex, Ndovu resources etc. Sio Zanzibaris.
Umesema kweli akhui,znz ni nchi ndogo ukiwaachia hawa wagala wamiliki ardhi znz itanuka pombe.Mkuu naona unajifariji na kujiliwaza kwa msongo wa mawazo, muungano ukivunjika wazanzibar wataishi kama wawekezaji kutoka nje kama walivyo Wakenya, Wahindi na Wazungu.
Mkuu suala la kumiliki ardhi linaitaji pesa siyo maneno na stori za vijiweni, yale majengo ambayo yapo Kariakoo unategemea utayapata kwa kuandika JF, sisi watu wa ukanda wote wa Pwani ni ndugu toka karne na karne na tuna muungano wetu, hatuwezi kupangiwa na watu kutoka Rombo au Makete.
Kwa hiyo unategemea muungano uvunjike ukaibe mali za wazanzibar.
Muungano huu ni haramu na tunaomba upotee sasa atleast wale wahuni wanaopelekwa Zanzibar kutembea uchi itapungua.
Mimi ni Mtanganyika, si wa kujidai, la hasha. Nimezaliwa Tanganyika nikaanza kusoma Tanganyika. Ghafla nikajistukia nipo Tanzania.
Ukweli usiopingika, Zanzibar imedumaa na kudidimia kiuchumi na kiuzalendo na kiumaarufu baada ya kuungana na Tanganyika. Zanzibar ilikuwa Zanzibar kweli.
Ukweli usiofichika, muungano wa Nyerere ilikuwa ni kurusedi dhidi ya waislaam wa Zanzibar. Hakuwa na manufaa yoyote ya muungano zaidi ya manufaa ya kuwaritadisha Waislaam wakitaka wasitake. Amefanikiwa sana kwa hilo.
Leo hii, jinsi wabara walivyojazwa Unguja na Pemba hata ikipigwa kura ya Muungano uwepo au usiwepo basi watashinda wanaotaka Muungano, tena wa Serikali moja.
Huu muungano unafaida gani kwetu Watanganyika? Una faida gani kwa Wazanzibari?
Mimi siioni.
Nyerere huyo huyo ambae alipigia debe na kupeleka misaada Biafra ili itengane na Nigeria kwa kuwa tu Biafra ni Wakatoliki ilikuwaje aing'ang'anie Zanzibar kwenye muungano batili? Ilhali inajulikana kuwa Zanzibar ni nchi ya Waislaam.
dullyhami;
sina hata neno la kukujibu hapa kwa sababu mi naona unajiandikia njozi za Abunwasi tu. Ati Tanganyika haina pwani. Sawa, kabisa kwa sababu Nyerere alipoupewa uhuru wa Tanganyika alijisahau akaenda kuupokea kwenye nchi jirani. Pole zako ndg yangu. Nilikuwa nadhani Daresalama ni mji mkuu wa Tanganyika kumbe ni nchi jirani? Asante mwana falsafa uliye bobea. Kama ndivyo mnavyo wadanganya hao Waarabu wa Pemba kuwa mmepangisha watanganyika Darisalama yenu, mbona mmeula wa chuya?
Kwa kheri ya kuonana UN tukiomba kile kiti cha Zanziba kilichouzwa utumwani Tanganyika. Natamani mngeondoka kesho asubuhi, ila msirudi tena kuomba muungano.