Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Zanzibar ni ya Wazanzibar wote, hizo kasumba zako za kuwachukia Waarabu kwetu hazina nafasi, lakini kama unawachukia zaidi, vumbua hadi maneno yako wala usitumie misamiati yao kama "Daftari"....!! Shenzi wa Nyerere we!
Khaa , jamani mbona imekuwa shari tena? mimi sijaongelea waarabu, nimeongelea wafanyabiashara wa znz tunaoaambiwa wapo dunia nzima na kwamba muungano ukivunjika Watanganyika watakwenda kuwatafuta.

Nimeuliza wafanyabiashara waliozagaa ni wapi? Ni hawa wavuvi walioweka kambi kigamboni wakija na madau kutuletea samaki au ni wale wenye asili Oman lakini znz?
 
Taso,

Kwanini mlikataa kutia saini mkataba wa utengamano wa EAU (EAC) sababu hamtaki wanyaruwanda, wakenya na waganda na warundi wasimiliki ardhi Tanzania?
Kwa sababu zilizo wazi za kulinda mali yetu ya ardhi dhidi ya Waafrika Mashariki wenzetu ambao wao hawana kingi cha kutupa kwa upande wa ardhi. Lakini tofauti na Zanzibar, sisi hatujajifanya kuwaambia wa East Afrika eti "tunawakaribisha."

Wazanzibar mna haki, sababu na wajibu wa kulinda ardhi yenu lakini msijifanye kusema "mnatukaribisha."

Sasa kaeni mjipange tayari kupokea mpango mpya, baada ya Katiba hii mpya hakuna tena kiumbe cha Pemba wala Unguja kitakachoruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika ilhali kwenu tunakataliwa na sheria ya Baraza la Mapinduzi.
 
Last edited by a moderator:
Khaa , jamani mbona imekuwa shari tena? mimi sijaongelea waarabu, nimeongelea wafanyabiashara wa znz tunaoaambiwa wapo dunia nzima na kwamba muungano ukivunjika Watanganyika watakwenda kuwatafuta.

Nimeuliza wafanyabiashara waliozagaa ni wapi? Ni hawa wavuvi walioweka kambi kigamboni wakija na madau kutuletea samaki au ni wale wenye asili Oman lakini znz?

Bado Watanganyika mna hoffu kubwa sana baada ya kuvunja huu Muungano haramu, Wazanzibar wanajitosheleza kwa kila ki2 sio uvuvi wala kibiashara, ukiachia hizo fitna mliopandikizwa lakin bado Zanzibar ni Wazanzibar wote wawe Wavuvi, wakulima mpaka hao unaowaita ni waOman bado ni Wazanzibar na thaman yao kubwa kuliko wale Watanganyika waliokuja kwa mwenge kutuletea fitina na kasumba za babu yao, anyway katu huwezi kuwagawa Wazanzibar..!
 
Kwa sababu zilizo wazi za kulinda mali yetu ya ardhi dhidi ya Waafrika Mashariki wenzetu ambao wao hawana kingi cha kutupa kwa upande wa ardhi. Lakini tofauti na Zanzibar, sisi hatujajifanya kuwaambia wa East Afrika eti "tunawakaribisha."

Wazanzibar mna haki, sababu na wajibu wa kulinda ardhi yenu lakini msijifanye kusema "mnatukaribisha."

Sasa kaeni mjipange tayari kupokea mpango mpya, baada ya Katiba hii mpya hakuna tena kiumbe cha Pemba wala Unguja kitakachoruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika ilhali kwenu tunakataliwa na sheria ya Baraza la Mapinduzi.

Nakuona umeleweshwa na pumba la bibi Samia Suluhu Hassan, hapo hamna jipya ndugu yangu Zanzibar sio ya CCM ni ya Wazanzibar ambao katu hawatakubali kupoteza nguvu ya katiba yao, kwanza uelewe CCM hawana 2/3 ndan ya Baraza la wakilishi, na CUF Zanzibar umewasikia msimamo wao, hivyo ni ndoto kufanikiwa azimio la CCM kuwagaiya Ardhi ya Wazanzibar kwenda kwa Watanganyika.,
 
Bado Watanganyika mna hoffu kubwa sana baada ya kuvunja huu Muungano haramu, Wazanzibar wanajitosheleza kwa kila ki2 sio uvuvi wala kibiashara, ukiachia hizo fitna mliopandikizwa lakin bado Zanzibar ni Wazanzibar wote wawe Wavuvi, wakulima mpaka hao unaowaita ni waOman bado ni Wazanzibar na thaman yao kubwa kuliko wale Watanganyika waliokuja kwa mwenge kutuletea fitina na kasumba za babu yao, anyway katu huwezi kuwagawa Wazanzibar..!
Hao waliokuja na mwenge ni wepi? Maana najua znz ni wznz na hawana tofauti, vipi unaposema kuna wznz waliokuja na mwenge. Ni wapi hao ndugu yangu.
 
Hao waliokuja na mwenge ni wepi? Maana najua znz ni wznz na hawana tofauti, vipi unaposema kuna wznz waliokuja na mwenge. Ni wapi hao ndugu yangu.

Wenyew wanajijua, ndio wakuu wa fitina na majungu Zanzibar, maskani yao inaitwa KISONGE!!
 
Hao waliokuja na mwenge ni wepi? Maana najua znz ni wznz na hawana tofauti, vipi unaposema kuna wznz waliokuja na mwenge. Ni wapi hao ndugu yangu.

Nguruvi3

Kila siku nikisoma post zako zinazohusu muungano inaonyesha jinsi gani una chuki/husda na Wazanzibar, ushauri wangu kwako subiri huo muungano uvunjike tuone hao watu wa Mtwara na Lindi watafaidikaje na kuvunjika kwa muungano.
 
Hakuna chuki, yote uliyosema ni kweli. Hao wa oman unaozungumzia ni wale walioko kwao. Mimi nazungumzia ;wa Oman wa znz' na wavuvi wa znz.

Lakini pia wa Oman licha ya misaada yote hawajawahi kuonyesha interest ya kutawala. Ushanielewa.
Mimi nazungumzia wale wa Oman wa znz wanaotoa misaada na sasa wanataka utawala.
Nguruvi3
That is outrageous accusation hakuna wa Omani Zanzibar walioko ni Wazanzibari. Au Wambunga na Wandamba wa Kilombero ni Wa South Africa, Wakurya na Wazanaki wa Musoma ni Warundi, au Wamakonde na Wamwera wa Mtwara ni Wa Msumbiji? UNFORTUNATELLY HIZI NI CHUKI ZIKITUMIWA NA MSOMI MAARUFU ('Mwalimu') KUWAGAWA WAZANZIBARI ili awatawale na wakamjulia mbinu zake na nyinyi vujukuu vyake mliokuja juzi kutoka Simanjiro mnatuletea the same stories!

Kwa mujibu wa Katiba kila m Zanzibari ana haki ya kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya nchi kama kisiasa, kiuchumi na kijamii bila kujali rangi au kabila yake.

Ikiwa Mwakanjuki ana haki ya kutawala basi na Salim Bimani ana haki ya kutawala vile vile. Umenisikia?!!!
kahtaan, Ritz, mfumo, Polite, gombesugu
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3

Kila siku nikisoma post zako zinazohusu muungano inaonyesha jinsi gani una chuki/husda na Wazanzibar, ushauri wangu kwako subiri huo muungano uvunjike tuone hao watu wa Mtwara na Lindi watafaidikaje na kuvunjika kwa muungano.

Mkuu boko.
Huyu jamaa ni ktk wale viumbe wabaya sana!
Ati anajifanya yeye anawapenda saana wazanzibari kumbe ni unafiki mtupu!
 
Mimi ni Mtanganyika, si wa kujidai, la hasha. Nimezaliwa Tanganyika nikaanza kusoma Tanganyika. Ghafla nikajistukia nipo Tanzania.

Ukweli usiopingika, Zanzibar imedumaa na kudidimia kiuchumi na kiuzalendo na kiumaarufu baada ya kuungana na Tanganyika. Zanzibar ilikuwa Zanzibar kweli.

Ukweli usiofichika, muungano wa Nyerere ilikuwa ni kurusedi dhidi ya waislaam wa Zanzibar. Hakuwa na manufaa yoyote ya muungano zaidi ya manufaa ya kuwaritadisha Waislaam wakitaka wasitake. Amefanikiwa sana kwa hilo.

Leo hii, jinsi wabara walivyojazwa Unguja na Pemba hata ikipigwa kura ya Muungano uwepo au usiwepo basi watashinda wanaotaka Muungano, tena wa Serikali moja.

Huu muungano unafaida gani kwetu Watanganyika? Una faida gani kwa Wazanzibari?

Mimi siioni.

Nyerere huyo huyo ambae alipigia debe na kupeleka misaada Biafra ili itengane na Nigeria kwa kuwa tu Biafra ni Wakatoliki ilikuwaje aing'ang'anie Zanzibar kwenye muungano batili? Ilhali inajulikana kuwa Zanzibar ni nchi ya Waislaam.
 
Kwa sababu zilizo wazi za kulinda mali yetu ya ardhi dhidi ya Waafrika Mashariki wenzetu ambao wao hawana kingi cha kutupa kwa upande wa ardhi. Lakini tofauti na Zanzibar, sisi hatujajifanya kuwaambia wa East Afrika eti "tunawakaribisha."

Wazanzibar mna haki, sababu na wajibu wa kulinda ardhi yenu lakini msijifanye kusema "mnatukaribisha."

Sasa kaeni mjipange tayari kupokea mpango mpya, baada ya Katiba hii mpya hakuna tena kiumbe cha Pemba wala Unguja kitakachoruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika ilhali kwenu tunakataliwa na sheria ya Baraza la Mapinduzi.
Mkuu naona unajifariji na kujiliwaza kwa msongo wa mawazo, muungano ukivunjika wazanzibar wataishi kama wawekezaji kutoka nje kama walivyo Wakenya, Wahindi na Wazungu.

Mkuu suala la kumiliki ardhi linaitaji pesa siyo maneno na stori za vijiweni, yale majengo ambayo yapo Kariakoo unategemea utayapata kwa kuandika JF, sisi watu wa ukanda wote wa Pwani ni ndugu toka karne na karne na tuna muungano wetu, hatuwezi kupangiwa na watu kutoka Rombo au Makete.

Kwa hiyo unategemea muungano uvunjike ukaibe mali za wazanzibar.
 
Muungano huu ni haramu na tunaomba upotee sasa atleast wale wahuni wanaopelekwa Zanzibar kutembea uchi itapungua.
 
Wana Visiwa baada ya kuinyonya sana Tanganyika kwa kila kitu sasa wameona wanatanganyika wameshituka wanataka Tanganyika Yao wanahaha hawajui maisha ya Utitiri wa wabunge na mawaziri Pia Viongozi wengi ktk Visiwa vidogo watawalipa mshahara upi kwani Uchumi wa ZNZ si imara kiasi cha Kuwa na Fedha za kuwalipa mishahara posho na marupurupu watumishi wake kumbuka Tanganyika yenye Madini Mbuga na Rasilimali zote bora imewabeba sana lakini wakishiba wanaanza Malalamiko huku Wakililia kurejesha koloni la Mwarabu . Ni Ukweli usiopingika Kuwa Siku muungano ukifariki Tanganyika itakuwa Nchi Tajiri Kama south Africa kwani Fedha ya kubembeleza muungano itasalia Bara kuinua Uchumi Pia watalipia umeme na chakula kwa dola Viza na vibali vya kuisha Bara vitalipiwa pato la Taifa la Tanganyika litapaa kwa kasi ya ajabu sana .
minyoo,

Wewe kweli minyoo tena ile ndani ya utumbo wa nguruwe unaoishi kwa uchafu anaokula nguruwe. Kwanza ni Zanzibar ilowaamsha katika zombie world mlizorogwa na baba yenu wa taifa alowafichia Tanganyika yenu katika nchi ya Kusadikika [Tanzania] ni Wazanzibari pekee ndio walionda kumpa changamoto hadharani tena yuko hai. Nyinyi wengi wenu mlikuwa hamjui lolote na waliojuwa walikuwa wanaogopa hata kufikiria kutafuta kengele wacha kufanya shauri mumfunge vipi kengele Paka Shume. Tulipikuwa tunapigwa na kunyanyaswa kwa kudai haki zetu nyumbani kwetu mlikuwa [Chadema] ndio mnakusanya viboko na kupiga makofi kushangiria, leo mnapigwa nyinyi na kunyanyaswa ndani ya nyumba yenu halivyeye yuko kuzimu teh teh teh. Nyinyi sio mlioamka kudai Tanganyika ni sisi ndio tuliowaamsha minyoo nyinyi!!!

Eti Zanzibar inainyonya Tanganyika kwa kila kitu:

1) EPA ni Zanzibar??,
2) Scandal ya Radar ni Zanzibar?
3) Mikataba mibovu ya Madini ni Zanzibar?
4) Mikataba mibovu ya Gesi asilia ni Zanzibar?
4) Majangiri ya wanyama pori ni Zanzibar?
5) Kashfa za Tanapa ni Zanzibar?

Eti Muungano ukivunjika Tanganyika itakuwa nchi Tajiri teh teh teh. Sasa mnag'ang'ania nini basi lazima Muungano uwepo mara.serikali mbili mara moja? Mmkuwa kama mke yatima aso na kwao Mwanaume hakutaki bado unashikilia tu hapo hapo hutoki ndani ya nyumba ya watu.

Eti uchumi wa Zanzibar hakuwi, kwa taarifa yako kwa Uchumi wa Zanzibar umekuwa by 7.9% katika 2012
http://allafrica.com/stories/201203...view/group/main/main/id/00016203.html&mstac=0

Nyinyi mnachokiogopa Zanzibar kuwa na mamlaka kamili ni vitu viwili:
1) Chuki dhidi ya Uislam manogopa eti tutawaamsha ndugu zetu.waislam walioko Tanganyika na ndio mlichokiweka mbele (outside influnced). Hao wameamka zamani kwani ndio chimbuko la TANU na hili nyinyi Wayahudi weusi linawauma kwenye matumbo yenu. Hamuikubali historia hii.

2) Mnaogopa kuaibika kwa sababu tayari Zanzibar imeshaonyesha mfano katika miaka ya karibuni 1982-84. Katika mipango yaie ya kiuchumi na uhuru wa biashara enzi za Serikali ya SMZ awamu ya Tatu.

Na huu ndio uadui wenu dhidi ya Wazanzibari. Nasi tunaujuwa vizuri.

Endeleeni kuwafumbia macho walafi wenu wanaoshirikiana na multinationals kama Barick Gold Africa, Aminex, Ndovu resources etc. Sio Zanzibaris.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naona unajifariji na kujiliwaza kwa msongo wa mawazo, muungano ukivunjika wazanzibar wataishi kama wawekezaji kutoka nje kama walivyo Wakenya, Wahindi na Wazungu.

Mkuu suala la kumiliki ardhi linaitaji pesa siyo maneno na stori za vijiweni, yale majengo ambayo yapo Kariakoo unategemea utayapata kwa kuandika JF, sisi watu wa ukanda wote wa Pwani ni ndugu toka karne na karne na tuna muungano wetu, hatuwezi kupangiwa na watu kutoka Rombo au Makete.

Kwa hiyo unategemea muungano uvunjike ukaibe mali za wazanzibar.

Mkuu Ritz,

Nimekusoma sana sana umwgonga ndipo kabisa!!!!:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Kuna wznz wa aina mbili wapi unaoongelea?

Wale wavuvi weusi wanaokuja soko la samaki au wale wa Oman?

Hapo nilipo-BOLD kwenye hiyo bayana yako! Daah!

That's the sad part,STOP your cheap racism and hatred! I find your nasty comments so divisive and troubling!

You are so lost and confused,that you are at war with yourself and unable to see what's really going on!...

Ahsanta.
 
Khaa , jamani mbona imekuwa shari tena?

Nimeuliza wafanyabiashara waliozagaa ni wapi? Ni hawa wavuvi walioweka kambi kigamboni wakija na madau kutuletea samaki au ni wale wenye asili Oman lakini znz?

Hiyo shari na dhari ,waileta weye hapa jamvini kwa maneno yako ya kijuba/kifedhuli!

Hakuna Mzanzibary "alozagaa" popote...hao unaowaita ati ni "wavuvi weusi",hao wapo kwao kwa ndugu zao kwenye hiyo Pwani yoote ya Tanganyika na Afrika Mashariki kwa ujumla!

Sina haja ya kwenda mbali mno na kukufunda History...maana nakhis waifahamu kiduchu!?

Waliozagaa ni wale ndugu zenu wa Kimasai...mmewatesa na kutowathamini huko kwenu Tanganyika!

Sasa tunawapa stara na kuwastiri pale Unguja/Zanzibar...na wamezagaa tele kama vile wako mbuga za Serengeti,tena huku wakitembea uchi kama asili yao/yenu ilivyo na hakuna mwenye kuwabughudhi!

Embu,"funika kombe Mwanaharasha apite"...au ndo mwatutafuta na tukisema mtuite "wadini"!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
Nguruvi3
That is outrageous accusation hakuna wa Omani Zanzibar walioko ni Wazanzibari. Au Wambunga na Wandamba wa Kilombero ni Wa South Africa, Wakurya na Wazanaki wa Musoma ni Warundi, au Wamakonde na Wamwera wa Mtwara ni Wa Msumbiji? UNFORTUNATELLY HIZI NI CHUKI ZIKITUMIWA NA MSOMI MAARUFU ('Mwalimu') KUWAGAWA WAZANZIBARI ili awatawale na wakamjulia mbinu zake na nyinyi vujukuu vyake mliokuja juzi kutoka Simanjiro mnatuletea the same stories!

Kwa mujibu wa Katiba kila m Zanzibari ana haki ya kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya nchi kama kisiasa, kiuchumi na kijamii bila kujali rangi au kabila yake.

Ikiwa Mwakanjuki ana haki ya kutawala basi na Salim Bimani ana haki ya kutawala vile vile. Umenisikia?!!!
kahtaan, Ritz, mfumo, Polite, gombesugu
Nimesikia, sijaelewa unaongelea nini, hata hivyo ahsante kwa maoni yako.
 
Nguruvi3

Kila siku nikisoma post zako zinazohusu muungano inaonyesha jinsi gani una chuki/husda na Wazanzibar, ushauri wangu kwako subiri huo muungano uvunjike tuone hao watu wa Mtwara na Lindi watafaidikaje na kuvunjika kwa muungano.
Sina chuki na znz na wala sina sababu za kuwa na chuki. Unachokiona ni chuki ni ukweli na sitegemei ufurahie ukweli.
Kwa mfano, wavuvi wanitwa wa Kisonge na walikuja na mwenge
Halfu kuna wenyewe. Ushanfahamu hapo?

Kuna wanosema mapinduzi daima
Wapo wanaosema mapinduzi ziii

Dodoma wapo wanaotaka mamlaka kamili
Wapo wanaosema wait a minute, mbona upande ule wa malaysia kuna meli imepiga nanga? nani yumo

Sina sababu za chuki, unachokiona chuki ni mwiba wa hoja ambao naomba uvumilie tu maana sina jinsi nyingine ila kushindilia jiti hata kama linachoma moto.

Ni facts tu kuwa wznz hawana ufahamu wanahitaji nini! Nikuulize Jusa anasimamia nini pale Dodoma tofauti na Vuai?

Dawa ni chungu, nitatoa maana ndicho kitu muafaka.
 
Nataka unijibu kwa hoja sio unaleta viroja apa...!! iko wapi pwani ya Tanganyika, ivo yule babu yenu ni mpuuzi saaana kuhamishia makao makuu Dodoma...?

dullyhami;
sina hata neno la kukujibu hapa kwa sababu mi naona unajiandikia njozi za Abunwasi tu. Ati Tanganyika haina pwani. Sawa, kabisa kwa sababu Nyerere alipoupewa uhuru wa Tanganyika alijisahau akaenda kuupokea kwenye nchi jirani. Pole zako ndg yangu. Nilikuwa nadhani Daresalama ni mji mkuu wa Tanganyika kumbe ni nchi jirani? Asante mwana falsafa uliye bobea. Kama ndivyo mnavyo wadanganya hao Waarabu wa Pemba kuwa mmepangisha watanganyika Darisalama yenu, mbona mmeula wa chuya?
Kwa kheri ya kuonana UN tukiomba kile kiti cha Zanziba kilichouzwa utumwani Tanganyika. Natamani mngeondoka kesho asubuhi, ila msirudi tena kuomba muungano.
 
Back
Top Bottom