hapo nilipoweka bold.,kweli wewe unatumia ma------.., unadhani chakula kitakuwa shda kwenye kisiwa wao wataexempt tax kwenye importation ya chakula so tutakaohangaika kuwapelekea chakula ni sisi coz kutakuwa na market na pia kumbuka wanapenda sana kununua india na Thailand.., then kaa ukijua bidhaa kama sukari Tanzania unanunua 2000 per kg while ukiagiza kutoka brazil wakalipia tu port charges na import tax unaweza ukanunua 1kg kwa 1200 tena retail price hiyo na ni akili ya kitoto kuikomoa Zanzibar kupandisha kodi kwa vtu vnavyoenda Zanzibar., Tanganyika tuna umaskini wa kujitakia.., wakenya wanakuja kwetu kuchukua raw materials kama chai na maidi wanaenda kuprocess wao kwenye vwanda vyao wanauza nje na kujitangaza kuwa kila kitu asili yake Kenya,.. so hata Zanzibar wanaweza kujenga vwanda na raw materials wakafuata huku coz ni karibu mno,, na pia sisi we can do mambo mengi bila kutegemea muungano so sioni sababu za watu wa Tanganyika kuwang'ang'ania watu wanamtukana shujaa wetu nyerere wakimwita aliyelaaniwa.., for sure its time to time to start processes of ending this union ili tuheshimiane