Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Nadhani wakifanya hivyo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuunganisha Unguja na Tanzania bara huku ICBM zikisimikwa Mkunazini na visiwa Anjuani huko Comoro zikiilenga Pemba kwa nia ya kuhakikisha haileti madhara kwa Muungano wa Tanzania bara na Unguja...Najaribu kuwaza tu.

mimi nakuambia hawa hawako wamoja hata siku moja kuna watu wanamhusudu mwarabu kama mkombozi wao wanapiga keleleeeee utafikiri wamelamba pilipili
 
Nadhani wakifanya hivyo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuunganisha Unguja na Tanzania bara huku ICBM zikisimikwa Mkunazini na visiwa Anjuani huko Comoro zikiilenga Pemba kwa nia ya kuhakikisha haileti madhara kwa Muungano wa Tanzania bara na Unguja...Najaribu kuwaza tu.

Waarabu mumewaita hivi karibuni wawajengee bandari ya Mtwara na mitambo ya gesi, pia kuna matajiri wa Warabu mumeshawasajili TIC kama wajasiria mali wanaifufua ATCL ndege nane za kisasa zimeshapatikana na ule mjengo unageuzwa kuwa ghorofa 25 za uhakika.
Waarabu ndio wanaleta ndege zao mnaenda Dubai kununua magari chakavu na China kufuata bidhaa hafifu.

Kama mnachukia wapemba wa Kariakoo, Ilala na Msasani subirini sasa waarabu wanunue Dar iliobaki na yale majumba ya Wakinga, pia Tabora, Shinyanga, Mwanza, Kigoma, Mtwara na ukanda wote wa pwani. Mambo yatazidi kuwa bambam maana kwanza wataongeza wake wataowa wanne wanne na watoto watapewa maisha powa kabisa majumba ya kumwaga n.k sababu hawafuati uzazi wa mpangilo yatatoka machotara na mashombe ya Kiarabu ambao watapelekwa nje kusoma wakirudi hapa watashika.nafasi za baba zao yaani miaka ishirini ijayo demography ya miji hiyo niliyoitaja itakuwa imebadilika kabisa angalau nyinyi wajomba mtaambulia udereva na mabwana shamba na walinzi group 4.
By the way Commoro ni memba wa Arab League pamoja na OIC, rudi shule huko ukajifunze au at least peruse mtandaoni sio kuingia Youtube kutafuta video za rusha roho ya jahazi modern taarab.
Teh teh teh.
 
.....
By the way Commoro ni memba wa Arab League pamoja na OIC, rudi shule huko ukajifunze au at least peruse mtandaoni sio kuingia Youtube kutafuta video za rusha roho ya jahazi modern taarab.
Teh teh teh.

Usalama wa nchi ile umo mikononi mwetu...kwa taarifa tu serikali ya Komoro imesimikwa na "waafrika", (rejea siasa na masuala ya usalama ya Komoro, hauhitaji kwenda shule kufuatilia na kujua nilichokuelekeza)
 
Mambo yatazidi kuwa bambam maana kwanza wataongeza wake wataowa wanne wanne na watoto watapewa maisha powa kabisa majumba ya kumwaga n.k sababu hawafuati uzazi wa mpangilo yatatoka machotara na mashombe ya Kiarabu ambao watapelekwa nje kusoma wakirudi hapa watashika.nafasi za baba zao yaani miaka ishirini ijayo demography ya miji hiyo niliyoitaja itakuwa imebadilika kabisa angalau nyinyi wajomba mtaambulia udereva na mabwana shamba na walinzi group 4.

kama kiwango cha kufikiri ni hapo basi una matatizo kama sio hivyo wewe ni wale wafuasi wa racism ambao akili zao sio akili inawaza utumbo huwezi katika dunia hii kwamba ngozi ya mtu ni kipimo cha akili maana umesifia sana wakati mimi niko chuo hapa hatuna mtu wa race uliyotaja anasoma degree hapa chuoni kwangu wanabanana kwenye certificate wewe mbulula kwelula kweli
 
HUyu jamaa hana akili ndugu yangu anawaza utumbo.
 
Hata wewe ni walewale huna tofauti, tunakusoma, wewe ni Mbaguzi, unatukana watu hovyo hovyo, huheshimu utu wa mtu, unamsingizia nguruvi bure, Ninyi mmelianzisha lazima lifikie mwisho tu. Tanganyika yetu inarudi. Tutaheshimiana tu, dharau zote zitaisha

Wee bado hujafa tu!?...yaani unaendelea tu kuvuta hewa ya bure/kupumua humu duniani,sio!? Daah!

Weye Tanganyika waijuaje hata leo ifikie yakua ati una machungu nayo!?...nyie si ndo wale mabaki ya wakimbizi wa Banyamulenge mliopewa ukimbizi/hifadhi na yule Nyerere!...matokeo yake mnaishia humu mitandaoni kuleta chuki na akili zako za kibaguzi,sio!?

Sasa kama unadai ati mie "natukana" na ni "mbaguzi"...je hiyo ndo justification ya weye kujaribu kumteteta huyo Nguruvi3 wako...ili aendeleze ubaguzi,kutukana Wazanzibary mitandaoni na kueneza chuki dhidi yao!? Daah!

Jaribu kutumia akili/maarifa japo kiduchu khasa humu kwenye Public Forums...sisi Wananchi wa hali ya chini tuliopo vijijini tumepoteza nguvu zetu na kujitoa muhanga ili jamaa kama nyinyi mkapate Ilm bure kwa manufaa ya Taifa!

Acha/punguza kutumika na kuwa msukule jamaa yangu...jitambue na wakti ndo huu!

Salaam zao!

Ahsanta.
 
wewe unajua ulichoambiwa ila historia ya mtu mweusi hujui kama ungekuwa unajua usingetoa sentensi yaa kusema sisi hatuna akili. unajua wazungu walisoma africa? unajua first surjery ilifanyika afrika? je unajua kwamba 24 hour day ilikutwa africa? na kwamba mwaka una 365 na robo waliogundua ni waafrica? Na pamoja sayansi ya leo hakuna anaweza kujenga piramid iliyojengwa na black egyptian? kama hayo yote unajua unaweza kusemaje mtu mweusi hana akili. usiongee usichojua kasome.

Alosema hayo ni huyo Mzungu mnaemramba nyayo kila siku na theory yake ya TELEOLOGY (design by nature) ambayo anasema Mwafrika hana capacity ya kufikiria kitu, anasema kuwa by design ni wakufanya kazi za sulubu na kuchekesha tu.😱😡 Binafsi nawachukia wazungu kwa dharau kama hii😡😡

Ina maana Mzungu kajitukana mwenyewe kama kasoma Africa halafu akawasema waafrika namna hiyo hata kufika kuwaita "savages"

Hao unaowaita Black Egyptians ndio hao hao munaowachukia ni waarabu hao, Nubians.
Kwa taarifa yako Sudan ya Kusini taifa jipya liloundwa kwa nguvu na ushawishi wa nchi za magharibi zikisaidiwa na hata Tanzania hivi sasa ni member wa Arab League. Teh teh teh.

Halafu tupe marejeo kuhusu huo uwanafunzi wa wazungu katika Africa na vyuo gani?
 
Usalama wa nchi ile umo mikononi mwetu...kwa taarifa tu serikali ya Komoro imesimikwa na "waafrika", (rejea siasa na masuala ya usalama ya Komoro, hauhitaji kwenda shule kufuatilia na kujua nilichokuelekeza)

Mkuu,

Weye ndo yule Udadisi wa JF!?...maana naona chini ya bayana zako wamalizia na signature ya Udadisi!?

Ni maulizo tu! Shukran na Ahsanta.
 
wewe unajua ulichoambiwa ila historia ya mtu mweusi hujui kama ungekuwa unajua usingetoa sentensi yaa kusema sisi hatuna akili. unajua wazungu walisoma africa? unajua first surjery ilifanyika afrika? je unajua kwamba 24 hour day ilikutwa africa? na kwamba mwaka una 365 na robo waliogundua ni waafrica? Na pamoja sayansi ya leo hakuna anaweza kujenga piramid iliyojengwa na black egyptian? kama hayo yote unajua unaweza kusemaje mtu mweusi hana akili. usiongee usichojua kasome.

Wazungu walisoma Africa wakaelewa walichokisoma na walivyowasoma, sasa nyinyi mnasoma mnayotakiwa muyasome na wazungu. Hiyo ndio tofauti yako na mzungu.

Mwaafrica angekuwa na akili leo hii tungeona anatengeneza japo sindano ya kushonea na ilhali chuma kimejaa ardhini kwake. Kulikoni mpaka tuiagize kwa wazungu na waasia?
 
Waarabu mumewaita hivi karibuni wawajengee bandari ya Mtwara na mitambo ya gesi, pia kuna matajiri wa Warabu mumeshawasajili TIC kama wajasiria mali wanaifufua ATCL ndege nane za kisasa zimeshapatikana na ule mjengo unageuzwa kuwa ghorofa 25 za uhakika.
Waarabu ndio wanaleta ndege zao mnaenda Dubai kununua magari chakavu na China kufuata bidhaa hafifu.

Kama mnachukia wapemba wa Kariakoo, Ilala na Msasani subirini sasa waarabu wanunue Dar iliobaki na yale majumba ya Wakinga, pia Tabora, Shinyanga, Mwanza, Kigoma, Mtwara na ukanda wote wa pwani. Mambo yatazidi kuwa bambam maana kwanza wataongeza wake wataowa wanne wanne na watoto watapewa maisha powa kabisa majumba ya kumwaga n.k sababu hawafuati uzazi wa mpangilo yatatoka machotara na mashombe ya Kiarabu ambao watapelekwa nje kusoma wakirudi hapa watashika.nafasi za baba zao yaani miaka ishirini ijayo demography ya miji hiyo niliyoitaja itakuwa imebadilika kabisa angalau nyinyi wajomba mtaambulia udereva na mabwana shamba na walinzi group 4.
By the way Commoro ni memba wa Arab League pamoja na OIC, rudi shule huko ukajifunze au at least peruse mtandaoni sio kuingia Youtube kutafuta video za rusha roho ya jahazi modern taarab.
Teh teh teh.

Mkuu,

Hii mipini yako nakhis inawatosha,wacha sie wangine tuendeleze kilimo huku vijijini! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
HUyu jamaa hana akili ndugu yangu anawaza utumbo.

Ataisoma namba...! Najua hakutegemea kitu kama hicho. Toka sasa ndo ajue kuwa 'ukijua' huu wenzio 'wanaujua' huo.

Na ile kanuni ya tatu ya Newton ndipo inapopata mashiko.
 
Mkuu,

Weye ndo yule Udadisi wa JF!?...maana naona chini ya bayana zako wamalizia na signature ya Udadisi!?

Ni maulizo tu! Shukran na Ahsanta.
Wala hatuna uhusinao, na signature hii wakati naichagua sikujua kuwa kuna Udadisi wa JF.
 
Mambo yatazidi kuwa bambam maana kwanza wataongeza wake wataowa wanne wanne na watoto watapewa maisha powa kabisa majumba ya kumwaga n.k sababu hawafuati uzazi wa mpangilo yatatoka machotara na mashombe ya Kiarabu ambao watapelekwa nje kusoma wakirudi hapa watashika.nafasi za baba zao yaani miaka ishirini ijayo demography ya miji hiyo niliyoitaja itakuwa imebadilika kabisa angalau nyinyi wajomba mtaambulia udereva na mabwana shamba na walinzi group 4.

kama kiwango cha kufikiri ni hapo basi una matatizo kama sio hivyo wewe ni wale wafuasi wa racism ambao akili zao sio akili inawaza utumbo huwezi katika dunia hii kwamba ngozi ya mtu ni kipimo cha akili maana umesifia sana wakati mimi niko chuo hapa hatuna mtu wa race uliyotaja anasoma degree hapa chuoni kwangu wanabanana kwenye certificate wewe mbulula kwelula kweli
maganjwa
Mbona una-quote nusu ya nilichokiandika? kwa sababu huko ndio nilikoanzia. Kila mtu anafahamu kuwa mnachukia waarabu halafu hao hao ndio mnawaomba misaada 24/7 sababu mshazoea bwerere wao hawana masharti nawakitoa mkopo hawachukui riba.
Nilichokieleza positive kwa Waarabu wakikaribshwa pahala wanajisikia wako nyumbani so easy kuchanganyika na wenyei na zawadi kubwa wanayotoa ni kuwaolea watoto wao ili udugu uzidi.

Sasa unalalamika eti hapo chuo uliko wewe hakuna hao waarabu. Unajuwa wewe kama huna uwezo kusoma chuo anachosomeshwa mwanafunzi wa Kiarabu?

Na nnakupa changamoto fanya utafiti ujionee mwenyewe.

Mfano mmoja waangalie wale waarabu wa Irag wanavyounda makombora wenyewe wakati bongo hamna hata anaweza kuunda baiskeli. Fikiri kabla hujaongea ndugu 'Majanga'
 
Last edited by a moderator:
Alosema hayo ni huyo Mzungu mnaemramba nyayo kila siku na theory yake ya TELEOLOGY (design by nature) ambayo anasema Mwafrika hana capacity ya kufikiria kitu, anasema kuwa by design ni wakufanya kazi za sulubu na kuchekesha tu.😱😡 Binafsi nawachukia wazungu kwa dharau kama hii😡😡

Ina maana Mzungu kajitukana mwenyewe kama kasoma Africa halafu akawasema waafrika namna hiyo hata kufika kuwaita "savages"

Hao unaowaita Black Egyptians ndio hao hao munaowachukia ni waarabu hao, Nubians.
Kwa taarifa yako Sudan ya Kusini taifa jipya liloundwa kwa nguvu na ushawishi wa nchi za magharibi zikisaidiwa na hata Tanzania hivi sasa ni member wa Arab League. Teh teh teh.

Halafu tupe marejeo kuhusu huo uwanafunzi wa wazungu katika Africa na vyuo gani?

Mkuu,

Muonee huruma huyo Babu/kijana...hii mipini sio saizi yake! Daah!

Hapo nilipo-BOLD kwenye hiyo bayana yako...hawezi asilan kuja na jibu la maana,zaidi ya kuleta myths and/or theories ya zile "Black Civilizations"!?

Au labda sisi Wakulima ndo tumsaidie ili alete japo persuasive and/or logical arguments! Daah!

Ahsanta.
 
Mkuu,

Hii mipini yako nakhis inawatosha,wacha sie wangine tuendeleze kilimo huku vijijini! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.

Mwendani hawa wasiachiwe kukurupuka oh waarabu oh waarabu? Waarabu hawakuwatawala wao. Wazungu waliwatoza kodi ya kichwa na kodi ya kibanda cha nyasi. Waarabu waliwaoa na mpaka leo wamechanganya damu nyambafu watu kama hawa!
 
Alosema hayo ni huyo Mzungu mnaemramba nyayo kila siku na theory yake ya TELEOLOGY (design by nature) ambayo anasema Mwafrika hana capacity ya kufikiria kitu, anasema kuwa by design ni wakufanya kazi za sulubu na kuchekesha tu.😱😡 Binafsi nawachukia wazungu kwa dharau kama hii😡😡

Ina maana Mzungu kajitukana mwenyewe kama kasoma Africa halafu akawasema waafrika namna hiyo hata kufika kuwaita "savages"

Hao unaowaita Black Egyptians ndio hao hao munaowachukia ni waarabu hao, Nubians.
Kwa taarifa yako Sudan ya Kusini taifa jipya liloundwa kwa nguvu na ushawishi wa nchi za magharibi zikisaidiwa na hata Tanzania hivi sasa ni member wa Arab League. Teh teh teh.

Halafu tupe marejeo kuhusu huo uwanafunzi wa wazungu katika Africa na vyuo gani?

Na wewe unaungana na rafiki yangu ambaye hajui histori? Nubians are not white people na egyptian wale farao are white Egyption unaowaona sio wale wale waliojenga mapiramids katafute utajua kama ninachasema ni kweli au sio kweli.

kuhusu kwamba wazungu walisoma egypt angalia hiyo video
 
Last edited by a moderator:
Mwendani hawa wasiachiwe kukurupuka oh waarabu oh waarabu? Waarabu hawakuwatawala wao. Wazungu waliwatoza kodi ya kichwa na kodi ya kibanda cha nyasi. Waarabu waliwaoa na mpaka leo wamechanganya damu nyambafu watu kama hawa!

Nakusoma mno Malenga etu!

Wangi ya hawa jamaa zetu humu wana maradhi ya chuki kwenye nyoyo zao!...takriban lolote lenye kuhusu Waarabu/Uarabu,basi kwao tayari ni shari! Daah!...na watakuletea sources zao za vijarida vya uchwara kutoka pahala mbalimbali ili kuji-justify utumbo wao wowote ule! Daah!

Sasa embu tazama huyo jamaa yako Maganjwa...hapo chini ndo kaandika nini au argument gani isongia hata akilini kwenye hiyo bayana yake ati "alokujibu!...sasa kiumbe kama huyo ati nae ajistaajabu yakua kwanini darsa/Chuo asomacho ati hakina "Waaarabu"!?

Sasa Mwarabu yupi anaetaka kuketi na mtu mwenye fikra chovu kama hizo!?

Embu tazama hiyo post/bayana yake ,khalaf ucheke! Daah! Yaani kaweka na Clip kabisa...khalaf usikute huyo nae ati ndo mmojawapo ya "wasomi" wakubwa mno pale Tanganyika maskini!? Daah!

Kweli tuna safari ndefu na hawa jamaa zetu!

Ahsanta.
 
Na wewe unaungana na rafiki yangu ambaye hajui histori? Nubians are not white people na egyptian wale farao are white Egyption unaowaona sio wale wale waliojenga mapiramids katafute utajua kama ninachasema ni kweli au sio kweli.

kuhusu kwamba wazungu walisoma egypt angalia hiyo video

Nani alokwambia Nubians are white people au Waarabu are white people. Nimekwambia kasome husikii sasa huyo ulioniewekea kwenye clip soma hapa kafundishwa nini:

Racist-ideas
As the slave trade developed, Europeans created a racist ideology which could be used to justify the trade. Africans were thought to be sub-human, uncivilised, and inferior to Europeans in every way. And as they were ‘not one of us’, they could be bought and sold. The development of racism is linked to the slave trade. The slave trade could not have continued without this ideology to justify it. Racism cannot be ignored in any study of the slave trade.

The English had equated blackness with death and evil centuries before they met any black people. Thus the first reaction to people with black skin was to assume that they were some form of devil or monster. From this, and from travellers’ tales, arose the stereotype of the African, as barbarous, prone to excessive sexual desire, lazy, untrustworthy and even cannibalistic. There were few who challenged this prejudiced view. Richard Ligon, in his book A true & exact history of the Island of Barbados, published in 1657, wrote against the popular view. He believed ‘that there are as honest, faithfull, and conscionable people amongst them, as amongst those of Europe’.

From about 1600, with the development of science in Europe, racism could be ‘proved’ scientifically. Scientists and philosophers like David Hume could state that Africans were ‘naturally inferior to the whites’. It was widely believed that Africans and Europeans had developed separately. Many, like Sir Thomas Herbert, writing in 1634, believed that Africans must be descended from apes and were part of a separate and inferior race. This was long before Charles Darwin’s theory of evolution, which showed that all humans are part of the same species. In the 18th and 19th century, many white people campaigned for an end to the slave trade and for freedom for the slaves. But few of those white people believed in racial equality, that is equality between the black and white races.

In the 19th century, racist ideologies were strengthened by ‘fake’ sciences such as phrenology. It was believed that the shape of the skull reflected the character of the person. Phrenologists applied their theory to African skulls and classified all Africans as inferior to white races intellectually, culturally and morally. Phrenology showed Africans to be unsuited to work other than that supervised by white people. In the minds of most, this justified making Africans work as slaves.

The study of teleology looked at design in nature. This allowed men to argue that Africans were, by nature, suited to hard work but not to thinking. They were, therefore, obviously made to serve white people. “The Negro in general is a born slave” wrote Sir Harry Johnston, a British colonial administrator in Africa in the 1890s.

Anthropology, the study of mankind, looked at such things as the size of the brain and the physical appearance of people. Again, anthropologists could conclude that the African was inferior to the white man, a separate species more closely related to apes than to whites.

The English naturalist, Charles Darwin, developed a theory of evolution. It suggested that Europeans were related to Africans and that all humans were related to the apes. Whilst this upset the anthropological theories about separate species, other aspects of the evolutionary theory still ‘proved’ the superiority of the white races over all others. His theory saw the Anglo-Saxons, that is, the British, at the top of the evolutionary scale. The British were at the top of the family tree of the human race, as the most ‘civilised’ race. The African, as a ‘primitive’ race, was considered childlike and unintelligent. Such ‘inferior’ races were doomed to be either ruled by or destroyed by the ‘superior’ races. Survival of the fittest was the rule in Darwin’s theory of evolution.

The belief in the superiority of the British and European races fed the expansion of the empire. The British empire grew from the idea ‘that the British were the best race to rule the world’, a view expressed by Cecil Rhodes, the colonial administrator who founded the British colony
of Rhodesia, in Central Africa (now Zimbabwe).

These ‘scientific’ theories of the inferiority of the African were generally accepted by the British public. Racism was taken for granted. For example, books by G A Henty were seen as great reads for boys. His book By Sheer Pluck: a tale of the Ashanti war was written in 1884 and probably still available in school libraries until the middle of the 20th century. The boys reading it learned that black people are ‘just like children. They are always either laughing or quarelling. They are good-natured and passionate, indolent, but will work hard for a time; clever up to a certain point, densely stupid beyond… They are absolutely without originality, absolutely without inventive power.’

Black people living in Britain, as well as those living in their own countries under European colonial rule, had to cope with this racism. Racism has been and is central to the experience of black people in Britain, over the centuries.
------
With acknowledgement to Peter Fryer and his work on the history of black people in Britain in Staying Power.
 
Last edited by a moderator:
Na wewe unaungana na rafiki yangu ambaye hajui histori? Nubians are not white people na egyptian wale farao are white Egyption unaowaona sio wale wale waliojenga mapiramids katafute utajua kama ninachasema ni kweli au sio kweli.

kuhusu kwamba wazungu walisoma egypt angalia hiyo video

Kuna mtu kakujaza ujinga kuwa Uafrika ni kuwa mweusi. Na pia umejazwa ujinga kuwa Uarabu ni kuwa mweupe.

Pole sana, huo ndio ujinga uliojazwa.
 
Last edited by a moderator:
Na wewe unaungana na rafiki yangu ambaye hajui histori? Nubians are not white people na egyptian wale farao are white Egyption unaowaona sio wale wale waliojenga mapiramids katafute utajua kama ninachasema ni kweli au sio kweli.

kuhusu kwamba wazungu walisoma egypt angalia hiyo video

MAGWAnja,

Sometimes nakuonea huruma hutaka nikupe darasa lakini naona bora nikuachie kwanza maana hao kina Akhanaton ana Amenhoteph na kina Ramses wote hakuna katika history kama ni weupe.

Kwa taarifa yako kutokana na.definition ya neno "Arab" basi Masai na Wafugaji wote wasioishi sehem moja.kwa ajili ya ktafuta chakula cha wanyama wao pamoja na wale mbilikimo wa Msitu wa Kongo, wa Mongol katika Stepes za Kirgistan, Romans wa Rumania ambao kila siku hufukuzwa kule Ufaransa hao wote ni Arabs.

Mjomba sisi zama zetu tukisoma hovyo hivyo vitabu vya wamishionari na tumejifunza mengi sana. Sasa leo elimu ambayo zama hizo ikifanyiwa uchakachuaji na kutolewa kwa kiwango na kibaguzi iko free online. Hebu jihangaishe kidogo kutafuta mambo uelimike.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom