Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mnarudisha huku za nini? Hakuna hata anaezitaka, zitaharibika kwenye magodown tu, wabaki nazo
Sema wewe huzitaki, ila wenye akili na wanaojielewa wanazitaka na watachanjwa!Mnarudisha huku za nini? Hakuna hata anaezitaka, zitaharibika kwenye magodown tu, wabaki nazo
Siyo wajinga ni hawa wanaochanjwa bila kujua long-term effects zake!!?Se
Sema wewe huzitaki, ila wenye akili na wanaojielewa wanazitaka na watachanjwa!
Sema wewe utachanjwa, ila wasiotaka kufanyiwa majaribio kama panya hawatachanjwa!Se
Sema wewe huzitaki, ila wenye akili na wanaojielewa wanazitaka na watachanjwa!
Misukule ya Gwajima hio mzee baba,hapo bado haijalishwa Unga wa lishe ndio maana unaona inaruka ruka.Ikishashiba Unga hua haisumbui tena.Se
Sema wewe huzitaki, ila wenye akili na wanaojielewa wanazitaka na watachanjwa!
Ambao hatuzitaki ni wengi kuliko nyie mnaojidai mna akili na mnajielewa mnaozitaka.Se
Sema wewe huzitaki, ila wenye akili na wanaojielewa wanazitaka na watachanjwa!
Hao unaowaona wana akili ndio wamezirudisha. Yani unashindwa kujiuliza swali rahisi tu kwanini wao warudishe zilizotoka Afrika ilhali Afrika zinaingia zilizotoka Ulaya? Dawa karibu zote zinazotengenezwa Afrika, hazivuki kwenda ulaya.Se
Sema wewe huzitaki, ila wenye akili na wanaojielewa wanazitaka na watachanjwa!
Hili swali najiuliza sana hata bidhaa zinazotoka viwandani hazifuki ulaya, America na asia wao wanataka raw materials tu these guys the don't want to do business with us the only things they want from us is to be their market.Hao unaowaona wana akili ndio wamezirudisha. Yani unashindwa kujiuliza swali rahisi tu kwanini wao warudishe zilizotoka Afrika ilhali Afrika zinaingia zilizotoka Ulaya? Dawa karibu zote zinazotengenezwa Afrika, hazivuki kwenda ulaya.
Nyie musubir soon mliochanjwa wote mnakua machoko.tunawatafuna kiulaini.Misukule ya Gwajima hio mzee baba,hapo bado haijalishwa Unga wa lishe ndio maana unaona inaruka ruka.Ikishashiba Unga hua haisumbui tena.
Lazima dingi ako utumbo wake mkubwa nitaurudisha kwa mti wa nyama.Nyie musubir soon mliochanjwa wote mnakua machoko.tunawatafuna kiulaini.
🤣👇Hii issue naona sababu za kibiashara zinaingilia kati, panakuwepo na mashindano kati ya haya mataifa yanayotengeneza chanjo kununua za wengine wanaona itakuwa hasara kwa kampuni zao zinazotengeneza chanjo zao, ila kwa wasioelewa hapa watakuja kuruka ruka na wimbo wao hatuchanji.